Hata obama anaenda kwenye ngoma za kwao nakuru mnachnch ambayo rais ni mzito kwenye maamuzi/
anafumbia macho vgogo na walanguz/
vya msingi nyuma vya mbele vya kipuuzi na juzi alikuwa kwenye mcba wa b.muvi.
kwani umeshawahi kusikia radio ya manyani?
Ametoka kuhudhuria mkutano wa "mama na mtoto" canada, anakuja kwenye "tamasha la bongo fleva" lililodhaminiwa redio ya wafu, akitoka hapo ataenda kwenye "ngoma ya kumtoa mwali" chalinze kama mgeni rasmi, "dhaifu" at his best.
Usijali mkuu huo urafiki kikomo chake ni mwaka 2015,mzee wa watu atakua Msoga tuone kama watamwita kwenye matamasha
Kumbuka rais ni mtu wa watu!!!
Jamii ya wajinga ikimchagua kiongozi wao basi huyu kiongozi huwa ni mjinga mara mbili yao!
Clouds Media wanasikiliza vichaa tu, mimi nimeshaitoa maanani kabisa na kama kuna option ya kuifuta kwenye receiver yangu ningefanya hivyo!!
Kwa mtu anayefahamu kwa undani juu ya clauds FM and Clouds TV nani mmiliki na anhusiano gani na seerikali, Kidogo nashindwa kuelewa mwenendo wa chombo hichi cha habari, hii ni kutokana na mambo yafuatao
- Ni chombo cha habari ambo watangazaji wake wamejisahau kabisa
- Ni chombo cha habari chanye mrengo wa CCM zaidi;naamainisha wanatetea utwala :Eg siku moja kwenye uchambuzi wa magazeti asubuhi moja wa mtangazaji alikuwa nilimsikia kwa kauli yangu akikejeli gazeti la Tanzania Daima na kusema ''kuna hari yoyote ya kitafiti au ni udaku'' am very sory toka siku hiyo sisikilizi hii redio tena kwasabau wako na bias
- Ni chombo cha habari ambacho kimewashahu kazi yake na kuendeleza zaidi udaku mtaani zaidi ya uelimishaji
- Ni chombo cha habari ambocho kimeshahau wajibu wake na kuwa mtetezi wa serikali au watawala ; kwa wale walio kuwa wapo chu mwaka wa 2008 kwenye mgomo wa kutaka kuongezewa accomodation allowance from 50,00Tshs to 10,000Tshs moja ya mtangazjai aksema wanataka pesa hii kwa ajili ya starehe..............ephraimu kibonde
mimi binafsi nimeacha kabisa kusikiliza redio hii kwasabu ya mambo yafuatayo
- wako na bias na vyama
- wanazarau sana wananchui: uko na mama yako kwenye daladala asubuhii unasikia ujinga kwenye redio mpaka unaona aibu
niko tayari kurekebishwa kwa mtazamo wangu lakini nataka kujua mmliki na kwa hisa ngapi anamiliki ............................................But sitasikiliza hii redio am very sory for that