issa risasi
Member
- Mar 14, 2014
- 12
- 5
Muungano upi?
tz na zenji
Muungano upi?
tz na zenji
Nimeshangazwa, eti Kikwete ataudhuria Tamasha lililoandaliwa na Clouds Media Dodoma, tena ataambatana na mawaziri.
Najiuliza, hivi ni kwa nini Clouds wanapo mtaka Mh Rais huwa anapatikana kilahisi namna hii, lakini taasisi nyingine zinapomualika katika mambo ya msingi ya kitaifa kwa mfano, Katika mijadala ya Katiba mpya, katika midaharo ya hali ya kisiasa hapa nchini, kikwete huwa haonekani?? lakini mambo ya clouds tena mengine yanafanyika usiku kabisa kama lile tamasha la kitapeli lililowahi kufanyika pale leaders, mh rais alihudhuria mpaka late night.
hii imekaaje WADAU: au ndo ule msemo wa Lipumba unajidhiirisha kuwa kikwete ni hodari wa matamasha??
Ndo awe active kwnye matamasha ya kishenz??
Muungano upi?
Kuna tangazo nimelisikia kwenye redio moja asubuhi hii kuwa Rais na baadhi ya viongozi wengine akiwemo kiongozi wa Bunge (speaker) eti watakwenda kuhudhuria uzinduzi wa video ya miaka 50.
Najiuliza katika kipindi ambacho hata fedha za bajeti zinazidi kutokutosha eti hivi ndio vipaumbele vyetu! Maana hapo ni kutuongeza gharama tu kwa faida ambayo haijulikani kwa Wananchi isipokuwa kwa wanaoandaa (wafanyabiashara).
Akhsanteni kwa maamuzi magumu.

Mawingu Fm wanazindua video jina limenitoka hiyo video, sasa itafanyika club moja huko Dodoma so serekali nzima itakuwepo.Video ya nini..??
I totally agree with you,hii serikali i think wana luck something,ukiangalia kwa ujumla wamejaribu kubana bana sehemu nyingi mapato yaongezeke,cha ajabu utakuta wanaibua tena vimatumizi visivyokuwa na maana,so at the end of the day unakuta work done is equal to zero,sasa sijui wanatakaje!!!!!!!!!!!!!!!!!
kweli kazi bado ni nzito hapa
Mkuu watu wa pwani si wamezoea vigodoro na sasambua?au umesahau?Ndo awe active kwnye matamasha ya kishenz??
Mkuu ukizindua video ya hivyo hata ukimwalika rais hatakuja,na hata clouds tv hawataionyesha,maana wana element za u CCM,wanataka usifie mambo wanayoyapenda wao na CCM yao.Jee hiyo video mwananchi wa kijijini ataionea wapi?naomba hiyo video ionyeshe viwanda vya nguo vilivyokufa,mashamba makubwa ya kahawa katani chai,ranchi yaliyokufa,shirika la ndege reli na bandari zilivyokufa