Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Doctrine ya uislam ni kwamba muislam ni ndugu kwa muislam!

Nikiwa bado mdogo hivi nikiingiz msikitini wakati wa kuswali unapiga mstari huku vidole vya mwisho miguuni vile vidogo vya mwisho vinagusana na vya mwenzako kuonesha jamaa!!

Sasa basi,utajiri uliopo nchi tajiri za kiislam ungeeenea kwa waislam wenzao bila shida yoyote na kustawi kote sana hasa kijamaa zaidi na ustawi was maisha!!

Marekani akihofia hayo yote na nchi za kibepari duniani wakaanzisha ugaidi hapo September 11 na vikundi hivyo vikazaliwa kama donda ndugu Kote duniani!!

Kanuni ni rahisi sana;-

Uislam:-ujamaa

Ukristo:-ubepari

Sisi tulioamua kuwa huru tupo mixed!!
Si muungane na mrusi na mchina, wajamaa wenzenu.

Hamna kitu sipendi kama hiii ya kusingizia watu kwa kufeli kwako.
 
Uzushi ni uonavyo wewe , Kilwa kulikuwa na waislamu na mji Mkubwa wa kibiashara hata kabla kuja hao wakristo wareno , wewe kama una ushahidi kuwa kulikuwa na watumwa tuwekee hapa

The East African Slave Trade Edward A. Alpers

Chapter

The East African Slave Trade Edward A. Alpers​

BookAn Economic History of Tropical Africa
Edition 1st Edition
First Published 1977
Imprint Routledge

Pages 10
eBook ISBN 9780203043035

ABSTRACT​

The East African slave trade has attracted much less attention from both professional historians and popular writers than has its West African counterpart. The reasons for this are not difficult to find. Most of the people who have written about the slave trade have been European, or American, or Afro-American, people whose relevant historical traditions link them intimately and overwhelmingly with West Africa. West Africa was the great reservoir for the Atlantic slave trade; East Africa entered that story only as a single, final chapter. Where the Atlantic Ocean provided the world setting for the West African slave trade, the Indian Ocean was the stage for the East African slave trade. Consequently, relatively few Western writers have been concerned with the latter, as it only marginally forms part of their heritage. Even more regrettable is the fact that the major work which has been done to date on the East African slave trade is not at all satisfactory .
Sioni chochote hapo cha kupinga Historia ya Utumwa katika Pwani ya Afrika ya Mashariki iliyofanywa na Waarabu

The first written record of Mozambique dates from the 10th century AD, when Arab writer al-Mas'udi mentioned the town of Sofala (south of present-day Beira) and the iron-using people called the Wak Wak who lived there.

Waarabu walikuwa Wakitawala hiiyo Pwani kuazia Karne ya 10 na walikuwa wakifanya Biashara za ikiwemo ya Utumwa Wareno waliingia karne ya 14 15 sasa ukiambiwa kuwa Waarabu walianzisha unarukia Dola ya Rumi.

Ndugu tunachoongelea hapa ni BIASHARA YA WATUMWA WEUSI KUTOKA AFRIKA NI NANI ALIEIANZISHA naona unatumia Hoja za kujaribu kunikoroga na kupinga ukweli.

Huwezi ukaipinga HISTORIA ni Vigumu sana.
 
Msome Ibin Batuta kwenye hili ambaye alienda Kilwa kipindi hicho na sio Random You tube video.

Ibn Battuta tells us several times that he was given or purchased slaves. Side Trip: Explore the many faces of slavery in Ibn Battuta's world. He also tells us very briefly how slaves were taken and given as gifts. Kilwa was important as a trading city for gold and its citizens enjoyed a high standard of living.

Home | ORIAS › journey

The Red Sea to East Africa and the Arabian Sea: 1328 - 1330 - ORIAS

Sioni chochote hapo cha kupinga Historia ya Utumwa katika Pwani ya Afrika ya Mashariki iliyofanywa na Waarabu

The first written record of Mozambique dates from the 10th century AD, when Arab writer al-Mas'udi mentioned the town of Sofala (south of present-day Beira) and the iron-using people called the Wak Wak who lived there.

Waarabu walikuwa Wakitawala hiiyo Pwani kuazia Karne ya 10 na walikuwa wakifanya Biashara za ikiwemo ya Utumwa Wareno waliingia karne ya 14 15 sasa ukiambiwa kuwa Waarabu walianzisha unarukia Dola ya Rumi.

Ndugu tunachoongelea hapa ni BIASHARA YA WATUMWA WEUSI KUTOKA AFRIKA NI NANI ALIEIANZISHA naona unatumia Hoja za kujaribu kunikoroga na kupinga ukweli.

Huwezi ukaipinga HISTORIA ni Vigumu sana.

Sikatai kuwa biashara ya watumwa na waarabu pia walikuwemo , hata waafrika wenyewe walikuwemo. ni kama biashara ya unga hivi sasa.

Umeandika kuwa slave trade ilianza east africa 10th century na ilifanywa na waarabu .

waarabu wa wapi walikuwa na dola east africa karne ya 10.

Sultan said alikuwa mfalme zanzibar 1828 Soma history
 
Yote ya kupikwa tu hayo.

Hujawajuwa wazungu mpaka leo?

Mandela walisema gaidi.
Ghaddafi gaidi.
Saddam gaidi.

Ukitazama hao wamefanya ugaidi upi, hukuti hata moja.

Wao wanauwa watoto na wazee, mpaka wagonjwa mapospitali wanawauwa, sio magaidi?

Dunia ya leo ukii control media umei control dunia nzima. Akili za wengi ni za kushikwa, hazina uwezo wa kufikiri, zimezowea kujazwa ujinga.
 
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi.

Sisemi tu kwa sababu nasema bali nasema kwa sababu zipo nadharia nyingi zinazoonesha kuwa ni kweli maeneo hayo ukumbwa na matukio ya kigaidi ama Vita.

Hata Tanzania miaka kadhaa ya nyuma kulikuwa na tetesi za matukio ya kigaidi maeneo ya Kibiti na jirani na maeneo hayo ambayo kwa wingi ukaliwa na watu wa Dini ya uislamu kitendo kilichopelekea Jeshi la Tanzania kuwekeza nguvu huko Kibiti na kutokomeza ugaidi huo ambao ulikuwa umeanza kumea katika maeneo hayo ya pwani ya Tanzania. Hata kijana mmoja wa kitanzania mwenye mlengo wa Dini ya kiislamu aliwahi kukamatwa Kenya akitumikia kikundi cha kigaidi cha Al-Shabab.

Ukiachilia mbali hayo, Duniani ukitamka neno ugaidi alafu ukasema tutajie dini yenye kuhusishwa na ugaidi moja kwa moja hata mtoto atakutajia Uislamu. Na hii ni kwa sababu Watu wote wanaokamatwa katika matukio hayo basi ujinasibu kama wanapigania Dini ama maslahi yao ya kidini. Ukiachilia mbali kupigania Dini au Maslahi ya Kidini. Nchi hizo hizo au maeneo hayo hayo yamekuwa yakikumbwa na Mapinduzi ya kijeshi na watu hao wakitaka kusimika dola la kiislamu.

Alikadharika maeneo hayo uwa yanakumbwa na vurugu za kivita za mara kwa mara.

Hapa Afrika ukitoa Congo DRC tu ambayo haina waislamu wengi, nchi nyingi zilizobaki zenye vita za mara kwa mara maeneo hayo yenye vita ukaliwa na waislamu kwa idadi kubwa.

Ukanda wote wa Sahel, yani kusini mwa mpaka wa jangwa la Sahara, nchi kama Sudan, Niger, Mali, Burkinafaso, Chad na nyinginezo na nchi zinazokumbwa na vikundi vya kigaidi mara kwa mara. Na ni nchi zenye uislamu mwingi na kama unavyoona zinapakana na nchi za waarabu wa kiafrika ambazo kwa asilimia 90 raia wa nchi hizo ni waislamu.
View attachment 2943395
Nigeria pia ni miongoni mwa nchi inayokumbwa na matukio ya kigaidi sana hususani Maeneo ya kaskazini ya nchi hiyo ambayo ukaliwa na waislamu wengi. Nchini Nigeria wakristo wengi wanapatikana Kusini katika majiji kama Lagos, na Abuja, na waislamu wengi upatikana maeneo ya Kaskazini mwa nchi ambayo mara nyingi majimbo ya Maeneo hayo uongozwa kwa Sheria za kiislamu, pia nadhani juzi kati katika mfungo wa ramadhani watu wa maeneo hayo walikamatwa kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani na waliadhibiwa. Maeneo hayo hayo ndio kituo cha Kundi la Boko Haram na vikundi vingine vya namna hiyo.

Tukiama barani Afrika tukaamia bara la Asia ukanda ya Middle East (Mashariki ya Kati) ambapo ndiko uislamu umeanzia huko ndiko kuna vikundi vingi vya kigaidi, na karibia kila nchi ina vikundi vyake. Nadhani wengi mnavifahamu vikundi kama Hamas kilichoishambulia Israel na kuteka na kuua watu katika tamasha la mziki, na kupeleka vita ambayo imeigharimu ardhi ya Palestina ukanda wa Gaza. Vilevile haikupita miezi mingi kuna kikundi kutoka Yemen nacho kinaitwa Hauthi kikaanza kulipa mashambulizi kwa kupiga meli zinazopita ukanda wa bahari ya sham bila kujali kuwa anaepigwa ni raia wa nchi gani.

Ukiachilia mzozo huo wa Israel na maadui zake, hakuna asiyejua kundi la kigaidi lenye mlengo wa kiislamu lililotikisa Dunia kwa matukio ya kutisha kwa kuchinja, kupiga risasi au kujitoa Mhanga. Hii ya kujitoa mhanga ikapelekea Waislamu hasa waliojifunika mwili mzima kuogopwa sana kuhisi labda wamebeba mabomu ya kujitoa mhanga. Chini ya Osama Bin Laden, kundi hili liliisumbua Dunia hasa Marekani kwa kuipa Jeraha lisilosahaulika la Septemba 11.

Kwa kifupi huko Middle East (Mashariki ya Kati) kuna vikundi vingi sana vya kigaidi, vingine vinakuwaga vimelala tu, vinakuwa (Inactive) lakini viko tayari kwa mashambulizi. Na vikundi hivi ndivyo vinafanya Dola za kiislamu zinaendelea kusimama na sheria kali za kiislamu zifatwe, mfano moja wapo ni Kundi la Taliban kutokea pale Afghanistan ambalo baada ya kushika dola tu likaweka sheria kali za kiislamu ikiwemo wanafunzi kusoma madarasa kwa kuzingatia jinsia mpaka chuo kikuu yani mtoto wa kike na wakiume kila mtu darasa lake.

Kundi jingine la Kigaidi ni kundi la ISIS yani Islamic State. Kundi hili juzi kati limekiri kupiga Tukio pale Russia kwa kumimina Risasi katika Mall moja pale Moscow kwenye tamasha la mziki na kuua watu zaidi ya 150 na kuchoma jengo kwa vilipuzi. Lakini Rais wa Russia Vladimir Putin hajawaacha salama, kawadaka watu kadhaa ambao wanahusika na tukio hilo ambao wengi wao wanasema wamekodiwa kutokea nchi ya Uturuki ambayo ni yenye mlengo wa kiislamu.

Kwa ufupi makundi haya ni mengi sana na yana uhusiano wa moja kwa moja, kwa sababu mengi yanakuwa na link au uhusiano.

Kwani ndugu zetu waislamu mnapokuwa mnafundishwa Dini uwa mnapewa maelezo gani yanayowatia baadhi yenu mioyo ya kikatili, kutaka kumwaga Damu?
Mkuu, dini yenyewe ni ya kigaidi. Kwani Muddy alikuwa anafayaje na wafuasi wake? Tena yeye alienda mbali zaidi kwa kubaka vitoto, kutomba mkwe wake (mke wa mwanaye aitwaye Bint Jahs) na kuua watu wasio Waislam makusudi tu.
 
Hakuna dini njema duniani na ndio dini pekee, kwa Mwenyezi Mungu ila Uislam.

Wewe huna dini ni heri ukae kimya tu.
 
Ni kweli dini ya upendo ni hii uliyoolewa na mchungaji wa kizungu kanisani kwenu

1711558103900.jpeg
 
Sikatai kuwa biashara ya watumwa na waarabu pia walikuwemo , hata waafrika wenyewe walikuwemo. ni kama biashara ya unga hivi sasa.

Umeandika kuwa slave trade ilianza east africa 10th century na ilifanywa na waarabu .

waarabu wa wapi walikuwa na dola east africa karne ya 10.

Sultan said alikuwa mfalme zanzibar 1828 Soma history
Huyo imhotep yuko sahihi, sema wewe hauna hiyo knowledge ya lini waarab walianza kuua ndugu zetu na hutaki tu kujuwa. Kama unataka kujuwa mbona vitabu na kumbukumbu ziko nyingi tu hata mitandaoni utapata.
 
Jifunze na jielimishe kwanza!

ugaidi

/ugaidi/

vitendo vya kutisha; kutumia nguvu; mauaji na mashambulizi yanayofanywa kwa ajili ya kufikia malengo fulani ya kisiasa au kidini.

Huyu alikuwa dini gani???

The U.S. Government Had Nelson Mandela on Terrorist Watch Lists Until 2008. Here’s Why​

list/
Umezunguka sana, ila unasumbuliwa na :

chuki

/t∫uki/

1. tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya

2. maneno ya kugombanisha watu

3. hali ya kukasirika

Sote tungekuwa na "reasoning" kama yako, hakika Tanzania na dunia kwa ujumla ingekuwa mahala salama kwa binadamu yeyote kuishi.
 
Hakuna dini njema duniani na ndio dini pekee, kwa Mwenyezi Mungu ila Uislam.

Wewe huna dini ni heri ukae kimya tu.
Aliyekudanganya Uislam ni dini ni nani? Achana na ujinga huu, rudi shule ukasome ujuwe ukweli utakaokusaidia maishani mwako. Watu mnajiaminisha ujinga kwa vitu via hovyo kabisa, Jiulize kama Uislam ni dini ya Mungu kwanini Muddy na kundi lake walikuwa wanaua watu na kuwalazimisha wamuite Muddy mtume wa Mungu wakati hakuwa mtume kweli? Je, ni Mungu ndiye aliyemtuma kuua watu na kutomba wake zao?
 
Sikatai kuwa biashara ya watumwa na waarabu pia walikuwemo , hata waafrika wenyewe walikuwemo. ni kama biashara ya unga hivi sasa.

Umeandika kuwa slave trade ilianza east africa 10th century na ilifanywa na waarabu .

waarabu wa wapi walikuwa na dola east africa karne ya 10.

Sultan said alikuwa mfalme zanzibar 1828 Soma history
Hapa tunaanza kukubaliana vizuri na ni kwamba Utumwa ilikuwa ni Biashara kama Biashara nyingine lakini Waswahili walikuwa hawana access ya Masoko ya Mashariki ya Kati kwahiyo Mwarabu alikuwa akisomba na kuwapeleka kwenye Masoko ya huko.

Na huko Mashariki ya kati Mababu zetu walikuwa wakikutana na Watumwa wengine kutoka Ulaya na Bara Hindi na Watumwa Local.

Tufunge Mjadala kwa kuafikiana kuwa Watumwa wa Afrika ya Mashariki walipelekwa Uarabuni na Waarabu na Waliokuja kupiga Marufuku Biashara hiyo ya Kikatili katika Pwani hii ya Afrika ya Mashariki ni British Empire.
 
Ni kweli dini ya upendo ni hii uliyoolewa na mchungaji wa kizungu kanisani kwenu

View attachment 2946175
Sielewi point yako, unaonekana una jazba kutaka ku-justify upuuzi wako. Nikuulize wewe ndugu Muislam uliyelostika, hivi kwa akili yako unaweza kuoa mwanamme mwenzako au kunyonya tu mboo ya mwanamme mwenzako? Au unaweza kutomba katoto ka Maika 9 kama Muddy alivyofanya kwa Aisha?
 
Huyo imhotep yuko sahihi, sema wewe hauna hiyo knowledge ya lini waarab walianza kuua ndugu zetu na hutaki tu kujuwa. Kama unataka kujuwa mbona vitabu na kumbukumbu ziko nyingi tu hata mitandaoni utapata.
Uzuri wa JF tunaelimishana kiroho safi bila kuchukiana.

Sisi sote ni Ndugu moja AFRIKA MOJA sio kwamba lengo letu ni kuwachukia Waarabu HAPANA Waarabu wamechangia mengi mazuri katika Bara letu.
 
Uzuri wa JF tunaelimishana kiroho safi bila kuchukiana.

Sisi sote ni Ndugu moja AFRIKA MOJA sio kwamba lengo letu ni kuwachukia Waarabu HAPANA Waarabu wamechangia mengi mazuri katika Bara letu.
Well said ila tatizo linakuja kwa ndugu zetu Waislam, mpaka leo bado wanaishi in denial......ukiwaambia ukweli ambao upo hata kwenye historia ya nchi yetu wao wanakataa na kubisha, yaani hawataki kusikia ukweli wowote kuhusu unyama waliofanyiwa mababu zetu na waarab. Ni ujinga uliopitiliza kwa kweli.
 
Back
Top Bottom