Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,684
- 8,833
Nasema haijawahi kuwepo
nyerere anasingiziwa kwa mengoi sana, mbaya zaidi anasingiziwa na viongozi wa dini lohhh
Nasema haijawahi kuwepo
Kwa hiyo sijaelewa hapa....reli dar-mtwara ilikuwepo au haikuwepo????
Kwani reli ya uhuru kwenda zambia, barabara ya lami kwenda zambia, Chuo kikuu cha D'salaam n.k. vilijengwa wakati wa utawala wa mama yako?Napenda kuchangia km ifuatavyo: Ni kwanini nyerere hakufanya lolote si Ujenzi wa mashule,vyuo,barabara,reli na hata majengo ya serikali kwa kipindi chote cha utawala wake zaidi ya tulivyo RITHI TOKA UTAWALA WA KIKOLONI?
Muongo mkubwa, swali halina mantiki yoyote zaidi ya uzushi kwani hakujawahi kuwepo reli ya Dar-Lindi.Kinachosumbua humu jamvini ni ushabiki. Swali lina mantik, ni juu yetu kujadili kwa mantik. Ushabiki wa dini iliyoletwa kwa mashua na ile iliyoletwa kwa meli wala havitatujenga.waafrika tumejikuta tuko katkat ya migongano ya kimsimamo wa imani(ideology?) na katkat ya vita vya dini hiz mbili; Mungu wa Mecca na Mungu wa Roma. Jamvi lisiintatein ushabiki huo. Nadhan hoja ya mjumbe kuhusu kilimo cha karanga ina mantik kama kuna mwenye ufahamu zaid atujuze lakini kukimbilia udin ktk kila hoja si sahihi !
mkuu hata wewe ukifungua saluni kwenye sehemu yenye watu wenye vipara utafunga mwenyewe. Reli ya kwenda kusini ilikuwa hailipi kabisa
Hata kama ingekuwepo ningempongeza kama angeing'oa kwa sababu watu wa huko ni wavivu hawafanyi kazi so Baba wa taifa hakuona sababu ya kuwapelekea reli ili waone changamoto na wajue wajibu wao kuwa wanatakiwa kufanya kazi na sio yale waliyozoea.:coffee:
Kwa hiyo sijaelewa hapa....reli dar-mtwara ilikuwepo au haikuwepo????
Hivi kama hakuna tena uzalishaji ndio in'golewe njia? Hee ama kweli nyerere alikua ni adui mkubwa wa waislam. Aliwahi pia kusema kua kama ana uwezo angevitupa visiwa vya zanzibar ktk bahari ya hindi.
hivi ilipongolewa ilipelekwa wapi?