Nyerere aling'oa reli ya kusini kutekeleza ule mpango wake maalum wa kuwadhulumu jamii ya kiislam period
Kale ka-babu udini ulimsumbua sana
Hili ni jambo ambalo ukimuuliza Nyerereist yoyote hatokupa jibu
Mindhali humu kuna GREAT THINKERS naamini tutapata data tuu kwa nini the so called baba wa taifa alimua hii reli ingolewe
Nawasilisha
Kwa hiyo sijaelewa hapa....reli dar-mtwara ilikuwepo au haikuwepo????
Hili ni jambo ambalo ukimuuliza Nyerereist yoyote hatokupa jibu
Mindhali humu kuna GREAT THINKERS naamini tutapata data tuu kwa nini the so called baba wa taifa alimua hii reli ingolewe
Nawasilisha
mwenye mapungufu ana hadhi ya kuwa mtakatifu?
Mbona Nyerere hakungoa ya Tanga iliyokuwa inaenda kwa Waislamu Majority
Mbona hakungoa ya Kigoma na Tabora inayopita kwenye Waislamu Majority
Hivi huu udini wa Humu JF unaletwa na nini?
Hivi ni kwa nini?
swali la msingi sana limeulizwa
lakini hakun aliyelijibu kitaalam
na yote kwa sababu watu hawana access to information
Kweli mambumbumbu mmejaa humu. sijawahi kusikia hata baba wa vilaza JK akimwita Nyerere baba wa taifa! anaishia na "mzee nyerere"Hivi kama hakuna tena uzalishaji ndio in'golewe njia? Hee ama kweli nyerere alikua ni adui mkubwa wa waislam. Aliwahi pia kusema kua kama ana uwezo angevitupa visiwa vya zanzibar ktk bahari ya hindi.
Nasema tena....Hapajawahi kuwa na reli ya Dar- Mtwara ni uwongo mkubwa...reli iliyokuwepo ni Mtwara mpaka Masasi iliyong'olewa na mkoloni kwa kutokuwa na umuhimu wa kiuchumi wakati huo....
Which information?
Nyerere aling'oa reli ya kusini kutekeleza ule mpango wake maalum wa kuwadhulumu jamii ya kiislam period
Kale ka-babu udini ulimsumbua sana
Mkuu hata wewe ukifungua saluni kwenye sehemu yenye watu wenye vipara utafunga mwenyewe. Reli ya kwenda kusini ilikuwa hailipi kabisa
When did you stop beating your wife?kwa nini nyerer aliingoa hiyo reli