GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,884
- 109,592
Kwa anayetaka kujua Uwezo wake atafute ile Video ya Kanda Bongoman ya Live aliyopiga nchini Kenya kabla aliyekuwa Rais wa Kenya Daniel Arap Moi kumpa Saa 24 Kanda Bongoman aondoke nchini Kenya kwakuwa alisababisha Wakenya wasiende Kazini na wakawa wanapigana Vikumbo kuingia katika Shows zake Uwanja Mkubwa na katika Kumbi kubwa za Jijini Nairobi.
Mpiga Solo Gitaa huyu Nene Tchacou alifanya Balaa Kubwa na hasa katika Wimbo pendwa na Uliotamba sana wa Inde Monie ambao wakati Unarekodiwa aliyepiga Solo Gitaa alikuwa ni Mwamba Dally Kimoko.
Na huyu huyu Mpiga Solo Gitaa Nene Tchacou pia alipiga na Yondo Sister na ule Wimbo mtamu wa Bazo Solo lile tamu alilikunguta Yeye na hata Msanii Alain Kounkou na Kundi la Soukouss Stars bado Nene Tchacou ndiyo alikuwa Mpiga Gitaa la Solo wao.
Ana Sura ya Kike ila ni Hatari mno.