Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,314
- 2,635
- Thread starter
- #21
mkuu karibu kwa hoja ya kufikirika kwa kweli mbwa awapo kibiashara sana ila wanaliwa sana pia asa mikoa fulani na kipindi hiki cha utandawazi kwa kukaribisahwa wachina nchini kwa kweli tusipokuwa makini kuna hatari ya kupotea kabisa kwa mbwa na nyoka asa nyoka wanaliwa sana na hawa wachina kwa vile watu hawafuatilii sana ndio mana athari zake azionekani sana ila baada ya mda tukijazinduka kutakuwa akuna kabisa hawa viumbe afadhali wanaigeria wao wakati wa mvua wanafaidi konokono
kaka mkubwa najua mbwa nao wana majanga yao yanayopelekea kufa kwa wingi.ikiwepo ajali za barabarani,magonjwa,kuliwa,na hata kuuwawa makusudi pale wanapopatwa na ugonjwa wao wa kichaa cha mbwa. Ila DR.PHONE kuna kitu hapa kilicho nisumbua ni jinsi mbwa anavyo zaa watoto kuanzia 2-15 kwatakwimu hii niltegemea mbwa wangekuwa wengi sana.lakini ndo kama ulivyosema hapo juu kuna uwezekano wa kutoweka kwa viumbe hawa.