Kwanini mbwa ni wachache lakini ng'ombe ni wengi japo kila siku wanachinjwa?

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Jamani wapendwa sijui lolote kuhusu sababu inayofanya ng'ombe wawe wengi wakati mbwa wakibakia wachache.ninavyofahamu mimi ni kwamba
1.mbwa anazaa watoto zaidi ya wawili mpaka kumi.
2.mbwa haliwi
3.anazaa x2 kwa mwaka (sina uhakika) pamoja na hayo nilitegemea mbwa wangekuwa wengi zaidi ya ng'mbe kwa sababu

1.ng'ombe anazaa x1 kwa mwaka

2. Kila siku kwa tanzania nzima wanachinjwa zaidi ya ng'ombe 200

3. Anazaa mtoto mmoja

Swali langt kwenu je? Kuna nini hapa kinachosababisha mtanziko wa kufikiri?
 
Kwa nini kulinganisha Mbwa na Ng'ombe? Umetoa takwimu ya ng'ombe wanaochinjwa kila siku, lakini hujasema ni mbwa wangapi wanapoteza maisha kila siku. Pia ni katika muktadha upi unasema mbwa haliwi? Umesahau ule msemo wa chatu na mbwa? Mbwa pia ni kitoweo kwa baadhi ya jamii sehemu mbalimbali duniani.

Je, biology ya hawa wanyama iko comparable? Je wako exposed kwenye mazingira ya aina moja.

Angalia hayo yote in case you want to reach a worthwhile conclusion.
 
dear takwimu nikifanya mlinganyo wa ng,mbe na mbwa naona kama mbwa wanaliwa haiwezi ikawa sawa na ng'ombe nadhani baada ya kuwaza na kuwazua nilifikia kikomo cha uelewa wangu katika kufikiri.that why nikaamua kukushirikisha wewe.ukinitupia mimi mpira nitashindwa kukujibu kwa kuwa u.thinker wangu umefika mwisho.
 
it's a tricky qn but to me bana i think it's all an optical illusion,i think in reality dogs are many compared to cows! You may walk from place to place and pass by at least 5 wondering dogs,you dont wonder and meet cows daily but dogs you name it! Just because you dont pay attention to them it creates an illusion that there are more cows than there are dogs! That's what i think,could it be?
 
thanx 4ur xprs man.any more?
 
Lazima mbwa wawe wachache ukiangalia siku hizi wachina walivyo wa kumwaga TZ teh teh
 
Mbona kama mada haihusiani na teknolojia aumm uwezo wangu wa kufikiri mdogo?
Btn kama alivyosema mdau ni tricky question
 
Labda kama ni trick question, lakini kulinganisha mbwa na ng'ombe ni tofauti sana.
Usukumani pekee mtu mmoja anamiliki ngombe elf5 hadi 10 wakati mbwa ukimiliki wengi basi wawili. idadi ya ngombe ya matajiri 50 tu wa kisukuma inaweza kuwa sawa na idadi ya mbwa wote tanzania bara na visiwani
Mbwa ni sehemu ya familia ngombe ni biashara
 
hata mimi naona mada haihusiani na teknolojia ila nahisi itakuwa inahusu sayansi kwa pamoja twaweza mwambia mode hii sridi (-)aitoe hapa apeleke panapo husika
 
Lazima mbwa wawe wachache ukiangalia siku hizi wachina walivyo wa kumwaga TZ teh teh

kwi kwi kwi ! Mfianchi bana umenichekesha inamaa hawa jamaa wanawindia ktk miji ya watu?thanx man kwa kunichekesha
 
Mbona kama mada haihusiani na teknolojia aumm uwezo wangu wa kufikiri mdogo?
Btn kama alivyosema mdau ni tricky question

uwezo wakufikiri unao mkubwa tu.labda user name yako itakuwa inamaani jini ulivyo cool !
 
Labda kama ni trick question, lakini kulinganisha mbwa na ng'ombe ni tofauti sana.
Usukumani pekee mtu mmoja anamiliki ngombe elf5 hadi 10 wakati mbwa ukimiliki wengi basi wawili. idadi ya ngombe ya matajiri 50 tu wa kisukuma inaweza kuwa sawa na idadi ya mbwa wote tanzania bara na visiwani
Mbwa ni sehemu ya familia ngombe ni biashara

PAULSS kumbe upo mkuu? Siku nyigi sana sijapa michango yako tangu kipindi kileeee cha ile topic yangu ya masikio.
 
Jamani wapendwa sijui lolote kuhusu sababu inayofanya ng'ombe wawe wengi wakati mbwa wakibakia wachache.ninavyofahamu mimi ni kwamba
1.mbwa anazaa watoto zaidi ya wawili mpaka kumi.
2.mbwa haliwi
3.anazaa x2 kwa mwaka (sina uhakika) pamoja na hayo nilitegemea mbwa wangekuwa wengi zaidi ya ng'mbe kwa sababu

1.ng'ombe anazaa x1 kwa mwaka

2. Kila siku kwa tanzania nzima wanachinjwa zaidi ya ng'ombe 200

3. Anazaa mtoto mmoja

Swali langt kwenu je? Kuna nini hapa kinachosababisha mtanziko wa kufikiri?

mkuu karibu kwa hoja ya kufikirika kwa kweli mbwa awapo kibiashara sana ila wanaliwa sana pia asa mikoa fulani na kipindi hiki cha utandawazi kwa kukaribisahwa wachina nchini kwa kweli tusipokuwa makini kuna hatari ya kupotea kabisa kwa mbwa na nyoka asa nyoka wanaliwa sana na hawa wachina kwa vile watu hawafuatilii sana ndio mana athari zake azionekani sana ila baada ya mda tukijazinduka kutakuwa akuna kabisa hawa viumbe afadhali wanaigeria wao wakati wa mvua wanafaidi konokono
 
Kwani ng'ombe na mbwa lazima waliwe na wanaadamu?
Wanaweza kuliwa na vitu vingine kwa viwango tofauti kama wanadamu wanavyoliwa na ukimwi kwa maelfu
 
Back
Top Bottom