Kwanini mawaziri wasimame kama mawaziri kampeni za CCM?

Wassira naye alikuja na hii:

"Mimi hapa ninayezungumza ni waziri ninao uwezo wa kuhamisha pesa hata kutoka sehemu nyingine kuja huku".

Amesahau kwamba bunge ndo lenye mamlaka ya kuidhinisha matumizi ya serikali na kwamba ni makosa kufanya re-allocation bila idhini ya Bunge. Huyu alipaswa kujiuzulu na kushtakiwa kwa kauli hii tu.
 
Hilo ndiyo tatizo lenu nyie mabwege, mnaona jinsi serikali inavyokandamiza wananchi wake sababu ya siasa ambazo kiutashi ukishakuwa madarakani huduma kwa wananchi wote ni jukumu lako wewe serikali.sasa iweje ukandamize wananchi eti kisa jimbo lao limechukuliwa na upinzani?
The day will come and we will take this counrty for good na mtakuwa wapinzania milele maana mlimuua mwalimu ili mfanye ufisadi wenu.mbaaaaaf zenu.
Wana haki yakutetea chama chao, acha woga . Na ukifanya tathmini utaona majimbo ya upinzani yako hohe hahe kabisa, hakuna kinacho endelea. Hilo ni funzo kwa wananchi kuchagua chama chenye meno ili kitekeleze

sijui kwanini lakini mara nyingi huwa ninafikiria matatizo ya tanzania yote yanachangiwa na jambo kuu moja...HATUNA MFUMO ULIO BORA UNAOJITOSHELEZA!kuna matatizo makubwa sana ktk system nzima!nahofu yangu kubwa ni kwamba wakitoka watawala wa leo wakaingia watawala wengine ktk mifumo ileile hatutapata wananchi kile tunachotaka toka kwa viongozi!haya mambo yote dawa yake ni Katiba mpya-wimbo unaopotezwa kila mara ukianza kupigwa
 
Usanii umepitiliza ndani ya CCM.. Hawana cha kuwaambia wapiga kura wao.. Kwa akili zao wanaamini Mawaziri wakitoa matamko katika kampeni basi itasaidia kuwaaminisha kwa Wananchi..! Bahati nzuri Wananchi wameamka na inawalizimu CCM kutumia dola na kuiba kura ili wapite katika chaguzi.. Ciku c nyingi zijazo CCM kitakuwa ni chama cha upinzani.. sheria hizi hizi zitawarudia.. Wakumbuke mtenda akitendewa..
 
Inawezekana Serikali ina ushahidi kwamba vyama vya siasa vinakwamisha juhudi za Serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo kutokana na siasa za upotoshaji sinazofanywa na vyama vya upinzania majukwaani na hivyo kuchelewesha maendeleo ya haraka kufikiwa.
Hata kule Karatu maendeleo yamedorora kutokana na CDM kupotosha watu majukwaani? nadhani huo ndio muono wako kama sikosei.
 
Usanii umepitiliza ndani ya CCM.. Hawana cha kuwaambia wapiga kura wao.. Kwa akili zao wanaamini Mawaziri wakitoa matamko katika kampeni basi itasaidia kuwaaminisha kwa Wananchi..! Bahati nzuri Wananchi wameamka na inawalizimu CCM kutumia dola na kuiba kura ili wapite katika chaguzi.. Ciku c nyingi zijazo CCM kitakuwa ni chama cha upinzani.. sheria hizi hizi zitawarudia.. Wakumbuke mtenda akitendewa..
Waulizeni Igunga na lile daraja la Magufuli, nasikia haata kifusi cha mchanga hakuna na Mzee Pombe haonekani. Akipita Igunga na VX yake kwenda Chato kafunga viyoo wananchi anawapepea na bendera kuwapunguzia jasho.
 
Hii ndio inawaonyesha wazi jinsi Mbunge akiwa waziri anavyoweza kujenga Conflict of interest! Ni wakti muafaka tupoige vita mfomo mzima wa Utawala. Chini ya katiba mpya, Mbunge awajibike kwa Wananchi wote, Waziri awajikibike kwa serikali na rais wake, Mahakama iwajibike kwa Sheria na kiongozi wa chama awajibike kwa wanachama wake.
 
Nafikili karibia kila mtu anaweza kuwa shahidi ktk chaguzi ndogo mfano igunga na aru meru mawaziri wamekuwa wakionekana wakiwanadi wagombea wa chama chao ili waweze kupitishwa kuwa wabunge.
Ktk nchi yoyote inayojinadi kuwa inafuata misingi ya kidemokrasia nchi hiyo huwa na mihimili mitatu ambayo ni bunge, mahakama na serikali kuu.
Lakini hapa tuzungumzie hii serikari kuu ambayo huwa chini ya Raisi.
Kama raisi ni taasisi ambayo ndani yake mawaziri wamo.
Na raisi anapoapishwa huapa kuwatumia wananchi wote kwa uaminifu bila kujali itikadi za kichama.
Swali langu je mawaziri wanapokwenda kwenye kampeni na wao wakiwa kama sehemu ya raisi huku sio kukiuka hicho kiapo !
 
Pamoja na kwamba swali lako lilitakiwa kusubiri wewe kujifunza kiswahili fasaha badala ya huu uzigua uliounyesha, unapouliza sahihi au la unauliza kwa misingi ya kisheria, kisiasa au ustaarabu wa kawaida? Kwani mawaziri siyo wanasiasa au hawana vyama wanavyoviunga mkono? Kwani waziri na mbunge wa upinzani wana haki tofauti katika siasa? Mbona Obama amekuwa akipiga kampeni kuwanadi wagombea wa chama chake katika chaguzi ndogo?
 
Acha kuhusisha hoja ya mtu na kabila hata kama ni lake au unamjua kabila lake ni lipi. Uzigua umeingiaje hapo?
 
Pamoja na kwamba swali lako lilitakiwa kusubiri wewe kujifunza kiswahili fasaha badala ya huu uzigua uliounyesha, unapouliza sahihi au la unauliza kwa misingi ya kisheria, kisiasa au ustaarabu wa kawaida? Kwani mawaziri siyo wanasiasa au hawana vyama wanavyoviunga mkono? Kwani waziri na mbunge wa upinzani wana haki tofauti katika siasa? Mbona Obama amekuwa akipiga kampeni kuwanadi wagombea wa chama chake katika chaguzi ndogo?[/QUOTE

mawaziri wote wa obama hawaruhisiwi kushiriki kwenye kampeni yeyote ile unless wanajiuzuru nyadhifa zao kwanza kwani huwezi kutumia fedha za kodi za wananchi kutumikia siasa kama anavyofanya wasira. swali ambalo ningependa waandishi wa habari watusaidie ni kwamba wasira anapoacha ofisi ya serikali mwezi mzima na kwenda kutumikia kushiriki kwenye kampeni za siasa za kuwagawa watu kwa msingi ya kivyama huwa anachukua likizo bila malipo au anaendelea kulipwa kama kawaida? na je uhalali wa kulipwa huko wapi wakati hayupo ofisini kuifanya kazi yake? obama ni halali kwake kufanya kampeni kwa sababu anagimbea kupata kipindi cha pili. je wasira alipokuwa anafanya kampeni igunga au arumeru alikuwa anagombea wadhifa gani??
 
Jamani mimi naona hata kichefuchefu kuyajadili haya majambazi ya ccm ambayo siku hizi hayataki hata kusimamishwa hata trafic barabarani kama vile yenyewe ndo yalipewa hatimiliki ya dunia hii.
Siyapendi magamba toka moyoni. Amen
 
Pamoja na kwamba swali lako lilitakiwa kusubiri wewe kujifunza kiswahili fasaha badala ya huu uzigua uliounyesha, unapouliza sahihi au la unauliza kwa misingi ya kisheria, kisiasa au ustaarabu wa kawaida? Kwani mawaziri siyo wanasiasa au hawana vyama wanavyoviunga mkono? Kwani waziri na mbunge wa upinzani wana haki tofauti katika siasa? Mbona Obama amekuwa akipiga kampeni kuwanadi wagombea wa chama chake katika chaguzi ndogo?

yaani maelezo marefu kiasi hiki lengo lako ni ujitahidi usielewe tu !
Haya umeelewa unaanza kufananisha tz na usa ivi kwanini unapenda kuwa mtegemezi hadi mawazo !
Kwa hiyo tubariki hata kama kosa kisa usa wapo kama unavyotaka !
Hata hivyo sishangai maana nasikia hata wasira humu tunaye sema tu anatumia id bandia !
 
Pamoja na kwamba swali lako lilitakiwa kusubiri wewe kujifunza kiswahili fasaha badala ya huu uzigua uliounyesha, unapouliza sahihi au la unauliza kwa misingi ya kisheria, kisiasa au ustaarabu wa kawaida? Kwani mawaziri siyo wanasiasa au hawana vyama wanavyoviunga mkono? Kwani waziri na mbunge wa upinzani wana haki tofauti katika siasa? Mbona Obama amekuwa akipiga kampeni kuwanadi wagombea wa chama chake katika chaguzi ndogo?[/QUOTE

mawaziri wote wa obama hawaruhisiwi kushiriki kwenye kampeni yeyote ile unless wanajiuzuru nyadhifa zao kwanza kwani huwezi kutumia fedha za kodi za wananchi kutumikia siasa kama anavyofanya wasira. swali ambalo ningependa waandishi wa habari watusaidie ni kwamba wasira anapoacha ofisi ya serikali mwezi mzima na kwenda kutumikia kushiriki kwenye kampeni za siasa za kuwagawa watu kwa msingi ya kivyama huwa anachukua likizo bila malipo au anaendelea kulipwa kama kawaida? na je uhalali wa kulipwa huko wapi wakati hayupo ofisini kuifanya kazi yake? obama ni halali kwake kufanya kampeni kwa sababu anagimbea kupata kipindi cha pili. je wasira alipokuwa anafanya kampeni igunga au arumeru alikuwa anagombea wadhifa gani??

mkuu maswali yako ni ya msingi sana tafadhali mkuu nape kama utapitia huu uzi tunaomba msaada wa majb.
 
Wassira naye alikuja na hii:

"Mimi hapa ninayezungumza ni waziri ninao uwezo wa kuhamisha pesa hata kutoka sehemu nyingine kuja huku".

Amesahau kwamba bunge ndo lenye mamlaka ya kuidhinisha matumizi ya serikali na kwamba ni makosa kufanya re-allocation bila idhini ya Bunge. Huyu alipaswa kujiuzulu na kushtakiwa kwa kauli hii tu.
Thubutu! Mawaziri wa chama cha magamba hawajiudhuru ng'o! Serekali ni yao, na maamuzi yote ni yao.
 
Back
Top Bottom