Kwanini makalio yao wanawake ndio kivutio zaid?

ishu ni kulitomasa tomasa, maana waweza kuta lingine lainiiiiiiiiiiiiiiiiiii na lingine gumuuuuuuuuu, sasa lile laini zuri hasa kwa kubinua.
 
mi nikiona mwanaume bapa nyuma ndio navutiwa nae, mi naona kila mwanaume na test zake
 
Laiti ungalijuwa kuwa na wanawake wengi huvutiwa na makalio ya wanaume, ungeanza kutafuta "mchina". Binafsi huvutiwa sana na huyatamani makalio ya wanaume.
eeeh?makubwa hayo aunt faiza wapenda makalio ya wanaume,hii kali ya mwaka ndo naskia kwako yakheee
 
Mi nshaskia 'uzuri wa nyumba choo', na mie kimoyo moyo nikasema 'msisahau jiko'. Manake mie nyumba isiyo na choo kizuri na jiko hata staki kuiskia
Umenyimwa nini?

Jamani kuna kijana siku moja nimemsikia, nikacheka kutwa nzima kila nikikumbuka huwa nacheka, kasema "mwanamke shuzi!", ikabidi nimuulize ana maana gani? akanambia "mijambo mama ndio muhimu, mwanamke bila mijambo huchosha", sasa hiyo mijambo? mtajza wenyewe. Asiyejuwa maana haambiwi maana.
 
kila jambo lina kianzio chak bana!
Hapo ndio centre ndugu zangu!
Kila kitu muhimu kipo maeneo hayo ya kati...kwa meee na nke!.
Duh!
 
Umenyimwa nini?

Jamani kuna kijana siku moja nimemsikia, nikacheka kutwa nzima kila nikikumbuka huwa nacheka, kasema "mwanamke shuzi!", ikabidi nimuulize ana maana gani? akanambia "mijambo mama ndio muhimu, mwanamke bila mijambo huchosha", sasa hiyo mijambo? mtajza wenyewe. Asiyejuwa maana haambiwi maana.

Dada Faiza: mimi ni mmoja wa wasiojua maana ila naomba niambiwe maana.
Tigo?
 
Dada Faiza: mimi ni mmoja wa wasiojua maana ila naomba niambiwe maana.
Tigo?

Hapana.

Kuna milio fulani inayofanana na mashuzi hutoka shughuli inaponoga nzito, hiyo ndio alikusudia. Usiniulize zaidi tafadhali.
 
wallah mi niapo ile kitu naitwa ndembendembe huwa napata ushungu na bashraf ndani ya mtima.mana huwa inaleta raha sn wkt wa kukazana na hii inakuwa ndio tofaut who is jike n who is dume.hii kitu we acha mana baada ya kupiga mzigo mujarabu huwa nayatumia kwa kupumzikia,teh teh teh dunian kwel raha.
 
Ukisoma commentaries nyingi ZA CREATION sTORIES, utagundua kwamba baada ya Mwenyezi Mungu kumlaza na kumpa Adamu usingiZi mzito na kufanya operation ya kwanza Duniani ya kutoa ubavu wa me kwenda kwa ke; Adamu alipoamka usingizini, ;


  1. Neno la KWANZA alilotamka baada ya kumuona mrembo Hawa ni WO..! mAN!!! ndio kuna neno woman
  2. Mwanaume ana mbavu chaChe kuliko ke
  3. Mwanaume akilala chini nguvu zake zinapungua (sio za Kiume)
  4. Aligeuka na mumuona mwanamke, ndi sababu leo hii wanaume wakimuona mwanamke wanageuka lakini ni aghalabu kwa wanawake (Ugeuko huu una tafsiri mbili, kwamba ukimuona mwanamke kwa mbelE utataka umuone kwa NYUMA)

 
Utamu uko siku zote kusikoruhusiwa, lakini tahadhari kuna wanawake nao siku hizi lazima wamgeuze mwanaume na kumnanihii kwa ulimi na vidole huko makalioni.

Mweeeeeeeeh! tena anamwagia valuu halafu anaanza kufuta kwa ulimi. kwa wale wenye kigonera huishia kumaliza haja zao kabla hata safari haijaanza kabisa! wanawake wataalamu jamani acha tu, lol!
 
Back
Top Bottom