Kwanini makalio yao wanawake ndio kivutio zaid?

maana naona hata hapa jamaa mwanamke akishaanza kwenda wao ndio wanamwangalia kwa nyuma!
Hii kitu yaumiza mawazo yangu sana!
 
Makalio yawe balanced hapo utapata raha kumwangalia mwanamke. Lakini yakiwa makubwa extremely kero, akiwa kama kapigwa pasi pia kero.
Wadada msinichukie kwani naamini kunavitu huwa vina supplement hizo kasoro ndogondogo!
 
Una maana mwanaume kama Steven Wassira anakupagawisha sana?
Laiti ungalijuwa kuwa na wanawake wengi huvutiwa na makalio ya wanaume, ungeanza kutafuta "mchina". Binafsi huvutiwa sana na huyatamani makalio ya wanaume.
 
yangu makubwa kiasi ya mwili wangu. Kwan nanyie wakina dada mnavutiwa kwa makalio?
Au ndio uhuni wenu mnaanza?
 
Uwe nalo, huna ili mradi wajua mambo, ndio naridhika!
Ila kuna wanaume wengine wanapenda makalio ya mbele ya wadada!
 
Uwe nalo, huna ili mradi wajua mambo, ndio naridhika!
Ila kuna wanaume wengine wanapenda makalio ya mbele ya wadada!

Hayaitwi hivyo wewe, muulize "mzee wa vitumbuwa" aka "The Boss" aka "El Basha".
 
Uwe nalo, huna ili mradi wajua mambo, ndio naridhika!
Ila kuna wanaume wengine wanapenda makalio ya mbele ya wadada!
Ha ha ha ha umenfurahisha jion hii.
Kumbe wakina dada wana makalio mbele? Hizo b.a.k.u.l.i zina ukubwa tafauti.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom