Kwanini Mafisadi wasiombe Msamaha?

Jamani mbona Misri wanawadhibiti mafisadi kisawasawa. Hawa wa Misri ndio waliokuwa miungu watu enzi hizo. Tusikate tamaa baada ya 2015, tutaomba mwongozo kutoka Misri jinsi gani tuwashughulikie hawa wakwetu.
 
hiyo abari ya kujivua gamba sasa iwe kuomba msamaha tena kwa maandishi...waandike tusome alafu tuamue tuna wasamehe vipi...!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom