kwanini Madem hawapendi ustarabu kwenye six by six

Fanya pia na Utafiti mkubwa ndio uje na ripoti kamili. Kumbuka kuwa na vipengele vifuatavyo kwenye ripoti yako:- Introduction, Research Problem/Significance of the Study, Research Questions, Methodology, Data Analysis, Gaps identified for further Researches, Conclusion na References kibao; sio kutuwekea mistari miwili tu na kudai umefanya utafiti!
Baada ya utafiti mkubwa ujitayarishe pia Kutupa STATUS yako ya VVU!
 
mheshimiwa mke wako analijua hili?

hiyo nakumbukaga zamani za kale snow
mh mke wangu halifaham hili
ila siku zingne napopataga safari nje ya ofc kama naenda mikoani nje ya mkoa wa dsm hua napataga ashk ashk sana,lol..
 
hapa tatizo ni tafsiri ya neno ustaarabu kwenye ku sex!

Kweli kuto mlizisha mwenzio ni ustaarabu?

Na sina uhakika kama unajua tasfiri ya neno fujo kwenye mapenzi!



mkuu mimi hua naona kutomridhisa ndio sio ustaarabu
tena inakua ni kero na fedheha kwake
kama vibao vya kimahaba ni furaha kwake,,sasa yanini usimpe japo kidogo ivo vibao
yan si kwa ubaya,na sio vile kama vya bigshow yule dudu wa mieleka
 
hakuna ustaarabu hata siku moja kwenye kufanya mapenzi, kama ni mkeo unamfanya kwa ustaarabu siku akitoa uroda njee kwa mtu anayefanya kwa fujo ya kimahaba, mkeo atakukimbia.
 
Back
Top Bottom