Kwanini Lavalava hana kiki kama wasanii wengine wa Wasafi

Realboynicky

Senior Member
Mar 31, 2023
134
230
Tumeona the way harmo,rayvanny,zuchu mbosso wakipewa support na attention wanayoitaka. Wamepewa interviews za kutosha.wameandaa ma ep na kutoa album kadhaa huko wakifanya collabo na wasanii wakubwa wa kinigeria na wapiwapi huko.

Lakini hali ni tofauti kwa lavalava. Akitoa nyimbo hakuna msanii anayepost. Pili hafanyiwi media tour wala press akitaka kuandaa kazi.

Toka aingie anatoa tu singles tena kwa msimu. Licha ya kwamba ana miaka kama 6 pale wasafi hajawahi kutoa album wala hata Ep. Hajawahi fanya collaboration na msanii yeyote mkali wa kinigeria wala South Africa. Ni kama hapewi attention yeyote pale wasafi yani hawamjali ni kama wamemsusa.
 
Ipi hiyo? Ilikuwa na nyimbo gani
F11462F0-F6CB-48BD-8D8E-3EB7FB6EF648.jpeg
 
Kwani muziki ni kiki? Atoe ngoma kali tu, zitaenda mpka Billboard, na O2 Arena ataijaza!
 
Back
Top Bottom