hayo masuala uliza Tanganyika...Ukweli hakuna mzanzibari anaetaka Muungano, bali ni kulazimishana tuu...HIVI NANI HASA ANALAZIMISHA HUU MUUNGANO?kweli mimi nakuunga ,mkono-ndo mana tunasema swala la muungano linabidi kuangaliwa kwa upya-kama tumeunagana swala la mtu wa zanzibar kuwa na power huku isingekuwa tatizo kama pia,watu wa bara wangekuwa na power visiwani,yani watu wa bara pia wangekuwa mawarizi huko visiwani-ila mimi naona hapa kuna tatizo-ni mtindo wa CHANGU CHANGU-CHAKO CHANGU-mana wao huku bara tuna wanzibar wengi tu-kwenye vyeo mbalimbali-lakini wao kutoa vyeo kwa wa bara inakuwa ngumu kidogo-nashindwa kujua kwa nini CCM inakuwa na sera ya ajbu ya mtindo huu yenye kuwalea foreigners kwa kiasi hiki-kama ni kuungana-waache wimbo wao wa taifa,bendera yao na prezda wao-mbona kuna nchi zimeungana na kumekuwa na rais mmoja na mambo mengi yanaendaeshwa kiumoja?cha ajabu zaid sasa kuna makamu wa rais 2 huko zenji-inamana kukiwa na chama kingine chenye upinzani mkubwa kunaweza kuwa na makamu wa rais 3,ili ku-please raia wa zenji-NINACHOTAKA KUSEMA NI KWAMBA-KAMA WANZIBAR WANAWEZA KUWA NA VYEO HUKU BARA-BASI IWE VIVYO HIVYO KWA W-BARA KUCHAGULIWA KUWA VIONGOZI/MAWAZIRI HUKO ZANZIBAR-BEYOND HAPO BORA MUUNGANO UFE
Ukweli utabaki kuwa ukweli hata kama ukweli huo utachukua muda watu kuuelewa na kukubali kuwa ni ukweli.
Hivi Rais akichagua mwaziri, say 5 kutoka mkoa mmoja, example Kirimanjaro kweli watu hawata lalamika??? Hivi Dr. Shein akichagua mawaziri wote kutoka upande mmoja wa zanzibar watu wataona poa tu???? Watanzania tuache unafiki bali tuwe tayari kusema ukweli palipo na ukweli.
Kuwa na mawaziri kwa uwakirishi wa sehemu inafaida zaidi kulik hasara. Kwanza inaonesha utaifa zaidi, watu watu wa maeneo toafauti kushirikishwa kwenye maamuzi ya nchi, inasaidia kuongeza umoja kwani kila jamii ya kila sehemu watajiona kupewa umuhimu katika kuongoza nchi.
UISLAMU = JK=ZANZIBAR:bump:
Inabidi Watanganyika nao wadai Tanganyika yao. Hivi wale wa G55 walishakufa wote? Hawaoni kuwa ni wakati muafa wa kuitoa hiyo agenda yao kwenye kabati walipoifungia na kuanza hata kuifuta vumbi. Wananzibari walishamla ng'ombe wao wamebakiza kumalizia mkia. Ile laana ya ubaguzi aliyosema mwl JK haitatutafuna sisi bali wao wailio anza. Tunaidai Tanganyika yetu.
Hayo ndio makubaliano ya kuulinda Muungano!
1.Shamsi Vuai Nahodha.
2.Dr.Hussein Ali Mwinyi.
3.Mahadhi Juma mahadhi.
4.Prof.Makame Mnyaa Mbarawa.
5.Dr.Abdallah Juma Abdallah[/QUOTE
Katika hii orodha umewasahau
6. Samia Suluhu
7. Pereira Ame Silima
Kweli hii forum inatoa nafasi kwa kila mwanachama kutoa mawazo yake lakini mengine huku kwetu tunasema kinehe. Sijui ni kuutokuelewa au ni makusudi? Ina maana gani ya Muungano - kwani hao mawaziri alowateua JK ni katika zile Wizara zinazoitwa za Muungano aidha kwa kuwapa Uwaziri kamili au Unaibu waziri - Jee ulitaka kama kawaida share yote itoke Bara.
Jaribu kufahamu kuwa Tanzania ni Zanzibar na Tanganyika, na Zanzibar ni Zanzibar na haya ndio makubaliano ya asili kama hamkurithika nayo ni kudai murejeshewe nchi yenu kuliko kutoa hoja isiyo na msingi kama hayawani.
hayo masuala ulaza Tanganyika...Ukweli hakuna mzanzibari anaetaka Muungano, bali ni kulazimishana tuu...HIVI NANI HASA ANALAZIMISHA HUU MUUNGANO?
Lazima tufike mahali tuukatae unafiki kwa vitendo. Inaonyesha utaifa gani wakati wengine tayari wanajivunia uzanzibara wao? Mwl JK aliwashangaa viongozi waliomfuatia kwa kuyaacha mambo ya msingi ya awamu yake na kukumbatia ya kijinga. Hili la Muungano kwa muundo wake kama ulivyo sasa nila kijinga, tunatakiwa tuujadili ili tuupate Muungano unaokubalika na pande zote mbili au muungano ufe ileweke kuwa umekufa basi.
Tanzania ni Muungano wa Serikali 2.
1) Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
2)Serikali ya Tanganyika.
Zanzibar ni nchi na ina mikoa 5.
Nafikiri hamujuwi hilo musiwe watu wanaoleta chuki kati ya watanzania na watanzania ,au ndio wale tuliombiwa katika vitabu vya dini "wana masikio lakini hawasikii na wanamacho lakini hawaoni" Mukizungumza siku zote musiangalie uwiano, muangalie katiba(Sheria).
Mawaziri wote waliotuhumiwa na kesi za ufisadi wanatoka bara basi hamujuwi tu kwanini Kikwete akaamuwa kuchukuwa wengi kutoka visiwani?
Si kila Mtanzani ni Mzazibari lakini kila Mzazibar ni Mtanzania hayo ni maneno katika katiba zetu za Tanzania.
Kama hamutaki hilo basi muombe kuundwe Serikali Tatu.
1)Serikali ya Zanzibar (Ambayo ipo)
2)Serikali ya Tanganyika (Ambayo haipo)
3)Serikali ya Muungano wa Tanzania (Ambayo mnasema kuwa ndio serikali ya Tanganyika ambayo si kweli).
M.Mungu atakufungueni vichwa vyenyu mufahamu munayozungumza
Amin
Hayo ndio makubaliano ya kuulinda Muungano!
1.Shamsi Vuai Nahodha.
2.Dr.Hussein Ali Mwinyi.
3.Mahadhi Juma mahadhi.
4.Prof.Makame Mnyaa Mbarawa.
5.Dr.Abdallah Juma Abdallah
Muhimu ni kuwa ni WATANZANIA
Yes Indeed! thread hii haina maana yoyote baada ya bandiko lako!Kwa sababu rahisi sana: Kila mzanzibar ni Mtanzania... lakini sio Kila Mtanzania ni Mzanzibar... in short Mtanzania bara sio Mzanzibar! delete the thread you have an answer.
Vidole vyako vina kigugumizi?Tunahitaji Dash board kupima mafanikio ya Mwungano......
mkuu una umrigani? naona umeelezea mambo ambayo huyaelewi hata kidogo... HUJUI NINI TANZANIA ,TANGANYIKA NA NINI ZANZIBAR...UPO UPO TU...mimi narudia tena-swala la muungano linatakiwa kuangaliwa kwa upya-kama wanzanzibar wanaweza kuwa viongozi huku-thats fine-pia nao wachague viongozi kutoka bara ambao watakuwa viongozi kule visiwani-as mawaziri n.k-thats muungano-lakini eti sisi tuwang'ang'anie tu kwa kuwapa vyeo huku bara then tuseme ndo cost za muungano itakuwa ujinga-ability ya kuongoza wanaweaa kuwa nayo-kama vile vile watu wa bara wanavyowezakuwa na ability ya kuongoza zaid yao-siamini kuw arais alikosa watu wa bara kuwaweka kwenye post alizoweka wazanzibar-KWA HIO HII KITU NI BORA IWE INA=APPLY KOTE-BARA NA VISIWANI,SI WAO WAJE HUKU TU-WHO ARE THEY?
Lazima tufike mahali tuukatae unafiki kwa vitendo. Inaonyesha utaifa gani wakati wengine tayari wanajivunia uzanzibara wao? Mwl JK aliwashangaa viongozi waliomfuatia kwa kuyaacha mambo ya msingi ya awamu yake na kukumbatia ya kijinga. Hili la Muungano kwa muundo wake kama ulivyo sasa nila kijinga, tunatakiwa tuujadili ili tuupate Muungano unaokubalika na pande zote mbili au muungano ufe ileweke kuwa umekufa basi.
UISLAMU = JK=ZANZIBAR:bump:
Acheni udini.