takashi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 905
- 188
Kwani yupo Mtanganyika anyeutaka?
ndio watanganyika wanaufagilia huu Muungano... Ukiulaza wanasema eti Baba wa Taifa Blah blah...NCHI INAONGOZWA NA MAWAZO YA MWALIMU... KAMA VILE "SAINT "FULANI...
Kwani yupo Mtanganyika anyeutaka?
ndio watanganyika wanaufagilia huu Muungano... Ukiulaza wanasema eti Baba wa Taifa Blah blah...NCHI INAONGOZWA NA MAWAZO YA MWALIMU... KAMA VILE "SAINT "FULANI...
We utakuwa mlokole!UISLAMU = JK=ZANZIBAR:bump:
Mwiba,
haya maswala ya Wazanzibar na Watanganyika unazitoa wapi mkuu wangu. Tanzania ni nchi moja, tukiendelea kupeana madaraka kwa fikra za Kibaguzi hatutafika popote. Kinachotakiwa kutazamwa ni uwezo wa watu hawa iwe Mzanzibar au Mtanganyika na tunaposahau uwezo na kufikiria zaidi tofauti zetu ndio maana tunalundika wanawake ili kuleta uuwiano bungeni, kesho Wakristu watadai ni zamu yao wanataka rais afuataye awe Mkristu na wanawake watadai, nasi Wakerewe tutakuja dai kupewa kiti hicho..
Tanzania kamwe haitaweza kuendelea kwa sababu ya vigezo kama hivi na nakuhakikishia kwa mtaji huu hatuna miaka mingi kuvunja hiyo amani na utulivu kwa sababu kila kiongozi kwa rangi yake huja ku represent kikundi cha watu wake na sii maendeleo ya Taifa. Hii ni hatari sana kwa vyama na uongozi wowote nchini na ndio maana CUF na Chadema hawataweza kuondokana na shutuma kwa sababu sisi wenyewe tunafikiria uongozi kwa tofauti ya makabila, dini na rangi za mhusika...
Kuna umuhimu gani kuendelea kuwakataza kuwa na mamlaka yao kamili (yaani tuvunje Muugano) maana wao ndio wanaotunyonya sisi Wabara?Mkuu hiyo post ni ya 2010 , yote tuliyosema yanatokea wazi
Leo wanalalamika muungano mbaya wa ukoloni, kesho wanataka access ya soko la sukari na bidhaa zao. Leo wanataka uhuru wa biashara za nje. Kesho wanataka soko la sukari kwa lazima
Mtanganyika hana cha kupoteza bali ametoa sana kwa znz. Kama hawataki,kila la kheri
Tusiwaze kuuvunja kwanza, tujaribu kuwaza namna ya kuufanya uwe na faida hizo tunazozani hazipo kwa sasa.Kuna umuhimu gani kuendelea kuwakataza kuwa na mamlaka yao kamili (yaani tuvunje Muugano) maana wao ndio wanaotunyonya sisi Wabara?
Wanatunyonya halafu tunawakatalia wao kujitenga jinsi wanavyodai, tunachoking'ang'ania kwao ni nini?
Muungano hauna faida, uvunjwe
Sidhani kama wanawakataliwaKuna umuhimu gani kuendelea kuwakataza kuwa na mamlaka yao kamili (yaani tuvunje Muugano) maana wao ndio wanaotunyonya sisi Wabara?
Wanatunyonya halafu tunawakatalia wao kujitenga jinsi wanavyodai, tunachoking'ang'ania kwao ni nini?
Muungano hauna faida, uvunjwe