Kwanini kipindi cha Kikwete Madaktari na Walimu waligoma?

Lile fisadi la msoga lilikua linalipa watu mishahara tarehe 40 mpaka tarehe 50 baada ya kukopa kutoka kwa wahuni wenzake. Hapo yeye anakua katoka kuzurula huko ulaya. JPM tarehe 22-25 watu wana mishahara yao maisha yanakwenda
 
Nimegundua viongozi wengi wa kanda ya ziwa wabunge,wanasiasa,mawaziri n,k wanamisimamo na wanautata flani hivi(wakorofi).tofauti na viogozi wa pwani wengi wapole.

Kikwete alikua mpole na muungwana sana kiasi mpaka akaanza kukashifiwa,'Rais gani anachekacheka,'Rais anatumia mkorogo.Mungu akajibu maombi kikaja chuma sasa kutoka Lake zone shughuli ikaanzia hapo.
Shukrani za punda, ni wakati gani JK alicheka pasipo ukazima wa kufanya hivyo? Acha kuingilia personal life ya mtu, kila mtu ameumbika kivyake, kununa mda wote haimaanishi uongozi bora. Kuwa mpambe wa kiongozi fulani kusikupofushe na kudharau kazi alofanya kiongozi mwingine, ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi.
 
====Urais wa Jakaya M. Kikwete ulizingatia wa kidemokrasia na kiasi chake kuheshimu SHERIA na KATIBA...

Aliruhusu watu wa - exercise na kufurahia UHURU na HAKI zao za kikatiba na mara moja moja uvumilivu ulimshinda na kutumia ukatili kutuliza na kuzima baadhi ya matukio..

•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••

====Wakati wa u - Rais wa Mwendazake John P. Magufuli, nchi ilikuwa under absolute dictatorship regime. Hakukuwa na UHURU wa watu ku - exercise UHURU na HAKI zao za kikatiba..

HAKI za watu zilinyimwa na kuvunjiliwa mbali. Katiba na sheria haikuheshimiwa na utawala wa huyo mtu. Kufa kwake ilikuwa ni heri na nafuu kwa nchi na taifa hili japo mbegu mbaya aliyokwishaipanda bado haijang'oka na kutupiliwa mbali hata sasa..

Kwa hiyo jibu rahisi la SWALI lako ni, HAKUNA ALIYETAKA KUFA Kwa sababu madikteta ni WAUAJI na hawana cha msalia mtume. Huyo ndiyo alikuwa Mwendazake..!!
Kama hujui lolote bora ukae kimya,sio kila mada uchangie,hatutaki ushabiki wa kijinga,olimboka mwakigwe hakutekwa watu wa usalama wa Taifa,akateswa sana kwa kung'olewa meno na mkasi pamoja na kukatwa vidole?, walipoona amekufa wakaenda kumtupa mwambepande?

Saidi kubenea alimwagiwa tindikali na nani? Akiwa mwandiishi wa gazeti la mwana halisi? Tena alimwagiwa wakiwa ofsini kwao? Mwandishi mwenzie akakatwa mapanga?! Yoote hayo yalifanyika utawala wa jakaya mrisho kikwete,

Kama ulikuwa hujazaliwa useme, usilete ushabiki wa kijinga,
 
Shukrani za punda, ni wakati gani JK alicheka pasipo ukazima wa kufanya hivyo? Acha kuingilia personal life ya mtu, kila mtu ameumbika kivyake, kununa mda wote haimaanishi uongozi bora. Kuwa mpambe wa kiongozi fulani kusikupofushe na kudharau kazi alofanya kiongozi mwingine, ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi.
Waliokuwa wanasema jk anapenda kuchekacheka ni wapinzani na viongozi wa dini, wapinzani ilifikia wakasema anachekacheka na mafisadi kama mwanamke,wakawa wanasema Tanzania inahitaji kiongozi dikteta ili mafisadi na wahujumu uchumi wanyooshwe,
 
We mpuuzi Sana kipi ambacho huyo mfu wenu alikifanya chamaana ambacho jk hakufanya.
Kwa sababu kwenu hamjawahi kuzika,hata baba yako na mama yako kwao hawajawahi kuzika mwehu wewe,

Kila mtu anasiku zake za kuishi hapa duniani,zikiisha mungu anavuna mavuno yake,tayari gharani,
 
Mkome Sasa kumtukuza huyo mfu wenu utafikili nchii aliikuta haina maendeleo yeyote.
 
Habari,

Katka kumbukumbu zangu kipindi cha utawala wa Kikwete, walimu waliongezwa mishahara na madokta pia waliongezwa mishahara, lakini kwanini waligoma?

Katika kipindi cha JPM hakuna mfanyakazi aliyegoma hata mmoja, na mishahara haikuongezwa, kwanini?
Suala halitaki akili kulijibu. Kikwete aliweza kuongeza maslahi ya wafanyakazi wa afya kuliko kiongozi mwengine yeyote wa Tanzania. Kwa hivyo Magufuli anaingia madaraki alikuta tayari kikwete ameshatengeneza maslahi ya madaktari. Na hawakuwa na sababu ya kugoma wakati.wa Magufuli kwani 80% ya matakwa yao.kikwete aliyatekeleza.

Najua kifui tundu kama wewe huwezi kifikiroa hivyo!
 
Jibu la kisayansi ni hili. Magufuli aliweza kucommunicate vision yake kwa nchi na akaeleweka. Alipokuwa akisema tutakusanya kodi na tutaziba mianya ya upigaji ili kila senti ya mlipa kodi ilete tija kwa maendeleo ya nchi alieleweka. Na hasa pale tulipoanza kuona vitu vikianza kumea na kutokea.

JK alikuwa na namna tofauti kabisa ya kuendesha nchi, na njia yake isingeweza kumshawishi mtu yeyote rational kwamba hapa kuna future ya taifa. Huwezi kuendesha nchi ya Tanzania kwa mawazo na fikra za Washington ukategemea kwamba wenye nchi yao watakaa kimya. Wamiliki halali wa nchi hii ni watanzania wa kawaida na matatizo yetu ni ya kawaida kabisa: tunataka maji safi ya uhakika, umeme wa uhakika, na pesa zetu zionekane zikitutumikia sisi wenyewe. JK alitaka kuwaridhisha wazungu wakati JPM alijitahidi kuwaridhisha watanzania wa kawaida kabisa.

Hata kwa Mugabe, Saddam, Gaddafi kama ilivyo leo Rwanda, Uganda, China au North Korea huko, utathubutu kugoma?

Wanagoma Ufaransa, Uingereza nk, kwamba huko hawaja communicate future ila huyu?

FnzAtagX0AIXEAW.jpeg

Danganyani Mbuzi Lumumba huko.
 
Habari,

Katka kumbukumbu zangu kipindi cha utawala wa Kikwete, walimu waliongezwa mishahara na madokta pia waliongezwa mishahara, lakini kwanini waligoma?

Katika kipindi cha JPM hakuna mfanyakazi aliyegoma hata mmoja, na mishahara haikuongezwa, kwanini?
Kwasababu kulikuwa na uhuru wakukusanyika, kujieleza na kuonesha hisia zenu. Kipindi cha jiwe wangejaribu pengine angewatanguliza wote mbele za haki.
 
Jibu la kisayansi ni hili. Magufuli aliweza kucommunicate vision yake kwa nchi na akaeleweka. Alipokuwa akisema tutakusanya kodi na tutaziba mianya ya upigaji ili kila senti ya mlipa kodi ilete tija kwa maendeleo ya nchi alieleweka. Na hasa pale tulipoanza kuona vitu vikianza kumea na kutokea.

JK alikuwa na namna tofauti kabisa ya kuendesha nchi, na njia yake isingeweza kumshawishi mtu yeyote rational kwamba hapa kuna future ya taifa. Huwezi kuendesha nchi ya Tanzania kwa mawazo na fikra za Washington ukategemea kwamba wenye nchi yao watakaa kimya. Wamiliki halali wa nchi hii ni watanzania wa kawaida na matatizo yetu ni ya kawaida kabisa: tunataka maji safi ya uhakika, umeme wa uhakika, na pesa zetu zionekane zikitutumikia sisi wenyewe. JK alitaka kuwaridhisha wazungu wakati JPM alijitahidi kuwaridhisha watanzania wa kawaida kabisa.
we ni poyoyo tu umeandika upupu. JPM angewaua hadharani yule ni shetani katili wasingejaribu.
 
Nimegundua viongozi wengi wa kanda ya ziwa wabunge,wanasiasa,mawaziri n,k wanamisimamo na wanautata flani hivi(wakorofi).tofauti na viogozi wa pwani wengi wapole.

Kikwete alikua mpole na muungwana sana kiasi mpaka akaanza kukashifiwa,'Rais gani anachekacheka,'Rais anatumia mkorogo.Mungu akajibu maombi kikaja chuma sasa kutoka Lake zone shughuli ikaanzia hapo.
yule siyo wa lake zone ni banyamulenge muuaji.
 
Hata kwa Mugabe, Saddam, Gaddafi kama ilivyo leo Rwanda, Uganda, China au North Korea huko, utathubutu kugoma?

Wanagoma Ufaransa, Uingereza nk, kwamba huko hawaja communicate future ila huyu?

View attachment 2515765

Danganyani Mbuzi Lumumba huko.
Kwa hiyo mabaya ya hao watu uliowataja ni yapi unavyofikiri?.Au Washngton ikishakwambia kwamba huyu mbaya anakuwa automatically mbaya kwako pia?
 
Beberu wala hahusiki hapo.

Hiyo timu inafahamika vyema kwenye yale mambo yenu ya wasiojulikana.
 
Embu basi mjaribu kuwa critical thinkers japo kidogo kha! Msipende sana kubeba kila mnachokiangalia CNN au Fox News na kukisoma kwenye New York Times au Reuters bila kuchanganya za kwenu.
 
Ni Ben, Azory au Lijenje tuliofahamishwa na CNN au Fox news kuwa mlitokomea nao kusikojulikana?
 
Back
Top Bottom