Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,227
Nimekuwa nikifuatilia chaguzi mbali mbali hasa za jana,inavyoonekana kila ambapo CDM wameshinda ni lazima utasikia kulikuwa na fujo na kuna watu wamekamatwa na wako mahabusu.Mifano hai ni Highness yuko muhimbili,Kule kiwila watu zaidi ya kumi wako ndani,arumeru pia jana usiku kulikuwa na fujo am sure kuna watu wako ndani.
Inavyoonekana ni lazima vyama vya upinzani watumie FUJO ili haki ipatikane why?
To me thats high level of immaturity kwa chama tawala with more than 20 years of multipartism!
What a shame ulimwengu wa sasa bado mwaendekeza mabavu hata katika mambo ambayo hayaitaji nguvu.
Ifike wakati kama wananchi hawaamini system zenu za sasa its high time tuanze tumia njia za kisasa za upigaji kura kama Kenya wameweza kuadopt state of the art tech kwenye kupiga kura why not us