Kwanini ili chadema ishinde lazima ushindi uambatane na vurugu

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Nimekuwa nikifuatilia chaguzi mbali mbali hasa za jana,inavyoonekana kila ambapo CDM wameshinda ni lazima utasikia kulikuwa na fujo na kuna watu wamekamatwa na wako mahabusu.Mifano hai ni Highness yuko muhimbili,Kule kiwila watu zaidi ya kumi wako ndani,arumeru pia jana usiku kulikuwa na fujo am sure kuna watu wako ndani.
Inavyoonekana ni lazima vyama vya upinzani watumie FUJO ili haki ipatikane why?
To me that’s high level of immaturity kwa chama tawala with more than 20 years of multipartism!
What a shame ulimwengu wa sasa bado mwaendekeza mabavu hata katika mambo ambayo hayaitaji nguvu.
Ifike wakati kama wananchi hawaamini system zenu za sasa its high time tuanze tumia njia za kisasa za upigaji kura kama Kenya wameweza kuadopt state of the art tech kwenye kupiga kura why not us
 
Tutafika tu ndugu yangu, kila kitu kina mwisho wake, na nikuhakikishie kwamba cku hii nchi inakombolewa ccm hakitakua chama cha upinzani bali kitakufa kabisa., mwisho wa dhuluma ni aibu...
 
Nimekuwa nikifuatilia chaguzi mbali mbali hasa za jana,inavyoonekana kila ambapo CDM wameshinda ni lazima utasikia kulikuwa na fujo na kuna watu wamekamatwa na wako mahabusu.Mifano hai ni Highness yuko muhimbili,Kule kiwila watu zaidi ya kumi wako ndani,arumeru pia jana usiku kulikuwa na fujo am sure kuna watu wako ndani.
Inavyoonekana ni lazima vyama vya upinzani watumie FUJO ili haki ipatikane why?
To me that’s high level of immaturity kwa chama tawala with more than 20 years of multipartism!
What a shame ulimwengu wa sasa bado mwaendekeza mabavu hata katika mambo ambayo hayaitaji nguvu.
Ifike wakati kama wananchi hawaamini system zenu za sasa its high time tuanze tumia njia za kisasa za upigaji kura kama Kenya wameweza kuadopt state of the art tech kwenye kupiga kura why not us

Kwa hiyo unataka kutuambia CDM ndio walio wapiga wabunge wao mapanga? Kweli ujinga ni mzigo, yaani uwezo wako wa kuainisha mambo ndio huu! Nape kazi unayo!
 
Tatizo viongozi wa chadema wanapandikiza chuki baina ya Vijana wao na Serikali, vijana wao ndiyo huwa wanaanza vurugu kiukweli, hata ukiangalia yaliyotokea jana chanzo ni vijana wa chadema. Najua utatoa matusi ila ukweli ndiyo huo.
 
Nimekuwa nikifuatilia chaguzi mbali mbali hasa za jana,inavyoonekana kila ambapo CDM wameshinda ni lazima utasikia kulikuwa na fujo na kuna watu wamekamatwa na wako mahabusu.Mifano hai ni Highness yuko muhimbili,Kule kiwila watu zaidi ya kumi wako ndani,arumeru pia jana usiku kulikuwa na fujo am sure kuna watu wako ndani.
Inavyoonekana ni lazima vyama vya upinzani watumie FUJO ili haki ipatikane why?
To me that's high level of immaturity kwa chama tawala with more than 20 years of multipartism!

In This beloved country of ours, YOU DON'T GET WHAT YOU DESERVE, YOU GET WHAT YOU FIGHT FOR. Utasubiri sana upewe haki yako, utaozea kwenye ndoto zako. Hyo ndo habari mkuu
 
"Inavyoonekana ni lazima vyama vya upinzani watumie FUJO ili haki ipatikane why?"

Ndugu Mtoboasili is that statement too philosophical that you don't understand?
 
siku hiyo tukichukua inch sisiem tutaifanya kama chama kilchokuwa tawala kilichofutwa Zambia!
 
Tatizo viongozi wa chadema wanapandikiza chuki baina ya Vijana wao na Serikali, vijana wao ndiyo huwa wanaanza vurugu kiukweli, hata ukiangalia yaliyotokea jana chanzo ni vijana wa chadema. Najua utatoa matusi ila ukweli ndiyo huo.

na kilichowapata wabunge wa CDM mwanza chanzo ni vijana wa cdm???
 
Nimekuwa nikifuatilia chaguzi mbali mbali hasa za jana,inavyoonekana kila ambapo CDM wameshinda ni lazima utasikia kulikuwa na fujo na kuna watu wamekamatwa na wako mahabusu.Mifano hai ni Highness yuko muhimbili,Kule kiwila watu zaidi ya kumi wako ndani,arumeru pia jana usiku kulikuwa na fujo am sure kuna watu wako ndani.
Inavyoonekana ni lazima vyama vya upinzani watumie FUJO ili haki ipatikane why?
To me that's high level of immaturity kwa chama tawala with more than 20 years of multipartism!
What a shame ulimwengu wa sasa bado mwaendekeza mabavu hata katika mambo ambayo hayaitaji nguvu.
Ifike wakati kama wananchi hawaamini system zenu za sasa its high time tuanze tumia njia za kisasa za upigaji kura kama Kenya wameweza kuadopt state of the art tech kwenye kupiga kura why not us
Inawezekana mleta mada hujaishi hapa nyumbani kwa miaka mingi sana, kama unaishi bongo basi umeamua kufunga macho usione kinachoendelea niliweka jana kwenye facebook yangu kabla ya matokeo kuwa ukisikia yanapigwa mabomu ya machozi basi ujuwe wapinzani wameshinda hata kama matokeo hayajatangazwa. Kwa nini?? Kwa sababu wasimamizi wa uchaguzi hupata kigugumizi cha kutangaza due to remote control ya CCM kwenye chaguzi zote na hapo wapiga kura huleta shiniko la nguvu ya uma kudai haki yao bila hiyo pressure matokeo yatatangazwa ndivyo sivyo, so ni vema uwashauri wanaoamuru Askari kupiga mabomu wanakwamisha wasimamizi kusema ukweli halisi kubadililka na kukubali kuwa this is a mult-party country na lazima wapinzani wapewe haki zao pale wanapochaguliwa
 
Kwa hiyo unataka kutuambia CDM ndio walio wapiga wabunge wao mapanga? Kweli ujinga ni mzigo, yaani uwezo wako wa kuainisha mambo ndio huu! Nape kazi unayo!

Mkuu, Nadhani hukusoma post yake vizuri, ungeisoma yote ungemwelewa na usingemshutumu. Yeye anasema chanzo cha matatizo siyo chadema bali ni uchanga wa kisiasa wa ccm. Ccm hawawezi kutoa haki bila kulazimishwa, na hapo ndo vurugu zinapoanzia.
 
Umkontosizwe unajua zamani nilishawai kuwa mwalimu nikaacha usikute ulishwai kuwa mwanafunzi wangu.
Kwa kifupi ni kwamba Kila CDM wanapotumia nguvu ndo kunakuwa na ushindi.
Witha 20 years experience Chama Tawala kwa nini hakioni kuwa vyama vya upinzani in one way or the other wakishinda wapewe haki yao na si mpaka nguvu zitumike.Nguvu in msot of the ways nguvu hutumika ili kufanikisha wizi wa kura.
Na ninashangaa mpaka leo hii CCM hawajazoea kushindwa wakati CDM wana wabunge wasiopungua 48.
Ni matumaini yangu ushindi wa Arumeru pamoja na Lisbon+Kiwira+Mwanza CCM watakuwa wamejifunza kushindwa.
Na asiyekubali kushindwa si mshindani
 
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1694.jpg
First Name: Livingstone
Middle Name:Joseph
Last Name:Lusinde
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mtera
Political Party:CCM
Office Location:Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mbigili Primary SchoolPrimary Education19801987PRIMARY
CCM College IhemiCertificate20072008CERTIFICATE

CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency20102015

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant20062007
CHADEMAMember - National Executive Board1995
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency19921995
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary
 
Siku zote anaedai haki yake huonekana mkorofi, ila poa vyovyote vile haki haipatikani ila kwa shuruti.
 
Kwa hiyo unataka kutuambia CDM ndio walio wapiga wabunge wao mapanga? Kweli ujinga ni mzigo, yaani uwezo wako wa kuainisha mambo ndio huu! Nape kazi unayo!

Wacha kukurupukia hoja wewe!!
Msome tena umuelewe.
Analaumu CCM kwa kuweka mazingira ili mtu upate haki yako basi lazima uidai kwa nguvu.
Ukishamuelewa muombe msamaha
 
lusinde alishawahi kuwa mwanachama wa chadema before ?? au macho yangu yameona vibaya hapo kwenye biography ya ubunge.
 
2006-2007 alikuwa Accountant!!.....elimu yake darasa la saba!!......no wonder nchi hii kuwa na kila aina ya matatizo.
 
I think that is not a good analysis unless you want say it is your own parception. Hatuna uhakika kuwa hao wanaleta fujo na kukamatwa na watu wa Chadema au CCm au chama fulani. Sio kweli kuwa eti chadema wakishinda basi ni lazima waleta fujo ni watu wa chadema. Acha kuargue kwakutumia hisia. Try to be objective and analytical
 
kila sehemu ya nchi ambapo kuna chama kimetawala kwa muda mrefu matukio ya vurugu hutokea, nayo ni kutokana na chama kuwa kinganganizi katika madaraka na kutumia njia chafu katika chaguzi,misri mubarak ilikuwa ikifika uchaguzi nachika wapinzani wake na kuwajaza magerezani ili abaki kilichotokea mnakijua, na hapa ni hivyo hivyo matokeo ya uchaguzi hayatoki mpaka wananchi watumie nguvu, ila kwa cdm wao hawajui ni kipindi gani awtumie nguvu na kipindi hani watumie busara hapo ndio kuna tatizo.
 
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1694.jpg
First Name: Livingstone
Middle Name:Joseph
Last Name:Lusinde
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mtera
Political Party:CCM
Office Location:Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mbigili Primary SchoolPrimary Education19801987PRIMARY
CCM College IhemiCertificate20072008CERTIFICATE

CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency20102015

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant20062007
CHADEMAMember - National Executive Board1995
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency19921995
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary
Hii njema kumbe haina shule kabisa ndo maana ana mdomo mchafu kama mwanamke wa uswazi. Subiri 2015 mhishimiwa Lusinde. Lazima tukuwekee video yako kwanza wakati wa kampeni. Utaipata mpaka BBC umetukana mbele ya watoto. Jifunze adabu!!
 
Back
Top Bottom