Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Mambo wana wa JF!!
Nimejaribu kufikiria sana hili jambo nimeona nililete jamvini tulijadili, tokea nianze kutongoza mabinti sijawahi kusikia Binti anasema nina mpenzi au kijana anasema nina mpenzi mwingine wakati wakiwa wanatongozana!!!
Hii inatokea mara chache sana neno nina mpenzi mwingine kuonekana lakini huwa linaonekana baada ya mahusiano kukolea na wapenzi wao kuwabana ndo wanaanza kuombana samahan but inakuwa too late.
Kwanin tusielezane mapema mwanzo wa mahusiano kuwa wote tunaiba penzi ili tusikolezane au kwanini inatokea tunatafuta wapenzi wengine wakati tunajua tupo nao wengine????!!!!