Kwanini huwa tunaficha ukweli????

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
745
23
Mambo wana wa JF!!
Nimejaribu kufikiria sana hili jambo nimeona nililete jamvini tulijadili, tokea nianze kutongoza mabinti sijawahi kusikia Binti anasema nina mpenzi au kijana anasema nina mpenzi mwingine wakati wakiwa wanatongozana!!!

Hii inatokea mara chache sana neno nina mpenzi mwingine kuonekana lakini huwa linaonekana baada ya mahusiano kukolea na wapenzi wao kuwabana ndo wanaanza kuombana samahan but inakuwa too late.

Kwanin tusielezane mapema mwanzo wa mahusiano kuwa wote tunaiba penzi ili tusikolezane au kwanini inatokea tunatafuta wapenzi wengine wakati tunajua tupo nao wengine????!!!!
 
Mambo wana wa JF!!
Nimejaribu kufikiria sana hili jambo nimeona nililete jamvini tulijadili,
tokea nianze kutongoza mabinti sijawahi kusikia Binti anasema nina mpenzi au kijana anasema nina mpenzi mwingine wakati wakiwa wanatongozana!!!

Hii inatokea mara chache sana neno nina mpenzi mwingine kuonekana lakini huwa linaonekana baada ya mahusiano kukolea na wapenzi wao kuwabana ndo wanaanza kuombana samahan but inakuwa too late.

Kwanin tusielezane mapema mwanzo wa mahusiano kuwa wote tunaiba penzi ili tusikolezane au kwanini inatokea tunatafuta wapenzi wengine wakati tunajua tupo nao wengine????!!!!

Well well Smasha....

Wakati wewe unatongoza huwa unawaambia una mpenzi / mke?
 
basi wewe hujatongoza sana....

mimi cha kwanza kabisa huambiwa

mi mke wa mtu,
halafu mazungumzo ndo yanaendelea
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom