Kwanini Hassan Mwinyi alijiuzulu uwaziri?

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
338
Nimesikia kuwa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mh.Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.Nasikia Mzee Mwinyi alijiuzulu uwaziri Kwa kuwajibika.Nauliza in tukio gani lilisababisha Mh.Mzee Mwinyi Ajiuzulu? Kwa anayejua naomba atufahamishe kilichojili.
 
wanchari na wanchoke ndio waliosababisha ilo likatokea kila akiwapatanisha wao wanazidisha kuchinjana mzee akakubali amewashindwa na akapendekeza achaguliwe mwingine wenda amani ingetamalaki
 
Vifo vya mahabusu kule shinyanga

Back
Top Bottom