Kwanini fresh graduate au wanamda mfupi ujiona wajanja sana kwenye life za maisha na utafutaji?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,742
nimeleta hii mada tuwa tafakari hawa vijana wamalizapo chuo au kama wamemaliza chuo mda zaidi ya miaka miwili na zaidi ujiona kila kitu kwao wapo zaidi ya walio mtaani kimaisha.

maana hayashauriki
 
Wanakuwa bado wanawaza ajra ila baadae kidogo utasikia "Guys karibu kweny ofisi yetu furniture zipo kwa bei nafuu" wengine utasikia "Samsung imetumika kidogo tu nipe laki 4"
 
nimeleta hii mada tuwa tafakari hawa vijana wamalizapo chuo au kama wamemaliza chuo mda zaidi ya miaka miwili na zaidi ujiona kila kitu kwao wapo zaidi ya walio mtaani kimaisha.

maana hayashauriki
Nchi Ina watu milioni 60! Unapata nafasi ya kufika chuo, elimu ya juu! Kwanini usilinge? Hebu fikiria, mpaka Leo, wahandisi hawafiki hata 2000! Kati ya watu milioni 60!
Lazima ulinge bro!
Ukimaliza chuo, linga,siku ukipata kazi, linga! Ukikwea pipa kwenda nje, linga, ukinunua ndinga, hata kama ni IST, linga tu!
Let people live their life, the way they want.
 
Degree / MA sio macalio kwamba kila Mtanzania anayo. Wacha waringe aisee
 
nimeleta hii mada tuwa tafakari hawa vijana wamalizapo chuo au kama wamemaliza chuo mda zaidi ya miaka miwili na zaidi ujiona kila kitu kwao wapo zaidi ya walio mtaani kimaisha.

maana hayashauriki
Sasa jichanganye uoe fresh graduate, atakuvimbia na umuch_know wakati haingizi hata mia mbovu !
 
Back
Top Bottom