Kwanini Diamond hashindi tuzo kwa sasa

Msanii gani wa Tanzania ameshinda tuzo hivi karibuni kama ayupo kwa nini usitaje wengine au yeye ndio msaniI peke hapa nchini
 
Kajisahau kabisa, pale yeye anaona kashafika kabisa. Hii ndio shida tulionayo watanzania wengi sana....huwa tuna katabia cha KULIZIKA.

Na sijui management yake inafanya nini?!! Maana huyu kijana anapaswa kuboostiwa now.....atoke kwenye huo usingizi aliolala.

Ona wenzake (waliokuwa level moja) hapa namuongelea mtu kama Davido, Wizkid, savage....ona wanavyopigana. Now ukiwa marekani, ukiuliza ni msanii gani wa Africa anayetrend kidogo, utatajiwa hao watu.....ilhali hata huyu kijana wetu pia alipaswa kuwa pale, hii inasikitisha sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKISHAANZA KUJIONA MKUBWA KULIKO MEDIA NA KUANZA KUA NA BIFU NAZO LAZIMA UTASHUKA TUU
HATA MAREKANI KINA P. DIDY WANA PESA NA WANA MEDIA ZAO LAKINI HAWATHUBUTU KUDHARAU MEDIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom