Kwanini Biblia imeandikwa kwa lugha ngumu?

Sasa tatizo kwanza si hayo majibu ila tatizo ni wewe,kwa sababu jibu la swali unalouliza ushapewa kwa kuelezwa kusudio la mungu kuruhusu au kuweka maovu na mema. Sasa unachokifanya wewe unahoji kwanini kafanya hivyo na asifanye tofauti na hivyo kisa anao uwezo wa kufanya tofauti na hivyo?

Ndiyo nini sasa?
Hapana.

Tatizo majibu hayapo logically consistent.

Mtu anaweza ku solve

(x^2 + 2x + 1)/x + 2 = x

Kwa kusema x = 2

Lakini jibu hilo halina mantiki kwa sababu ukilitumia kwenye equation linakuwa la uongo.

Jibu la 2 halipo logically consistent kwa sababu ukilitumia katika equation utapata 2.25 = 2.

This is a clear contradiction.

Majibu niliyopewa yana contradiction.

Swali ni, kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Swali hili halijajibiwa katika njia iliyo logically consistent bado.
 
Well. Good points.

Na sio kwamba ni selfishness. Sometimes tunatakiwa tukubaliane na facts kuwa sio kila mwanadamu anatamani kuujua ukweli. Kuna wengine wanaona ukweli utauma, wengine wanaona ukweli ni uongo na uongo walio nao ni ukweli. Wengine wana imaginary ideas ambazo hazitoki. Na law ya mind mojawapo inasema huwezi kumsaidia mtu kufikiri. Huwezi kuchukua akili ya mtu na kumsaidia kuwaza.

Na sio kwamba secret societies zina elimu ya siri. Those knowledges are not now or hidden. We encounter them sometimes, its visible lakini wanadamu wanatofautiana katika kujifunza.

Then wale wenye nia ya kutafuta watakutana nayo tu. Haiitaji kulazimisha watu au kuwapigia makelele. Haiitaji maajabu wala vipaza sauti.

Knowledge is power and Light.
What has all that got to do with this thread? Could you enlighten me please?

Are you saying that it is pointless to enlighten people who have displayed a lack of capacity to understand certain things? If so, how do you know who reads what here?
 
Decoding machine ya Biblia ni Roho Mtakatifu, unaposema imeandikwa kwa lugha ngumu ni kwasababu unatumia LOGIC ya kibinadamu kuelewa LOGIC ya Mungu. Hapo lazima utoke kapa.

Iko simple sana, Yesu alisema alinampasa Yeye kuondoka ili msaidizi ambaye ni Roho Mtakatifu, Roho Wa Mungu apate kuja na kutusaidia katika kuelewa njia za Mungu.

Kuwa na mahusiano mazuri na Roho Mtakatifu katika maisha yako afu njoo utupe majibu kama kweli Biblia ni ngumu.
umemaliza kila kitu wale walio mpokea ndio aliowapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu nao ndio wale waliaminio jina lake huwezi kumuelewa Mungu kama hujakaa kwenye nafasi ya kumuelewa huo ndio ukweli
 
Maneno haya yanataka ujasiri mkubwa na werevu sana kuyaelewa na kuyakubali.

Wengi wanaosema Mungu yupo wanafuata mkumbo.

Ndiyo maana mpaka leo nikiwauliza inakuwaje Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani hawawezi kunijibu.

Tukiangalia vitabu vinavyosemwa kuwa ni vya Mungu, vimejaa ridiculous contradictions. Nimeweka mamia ya mistari hapa inayoonesha contradictions kwenye Biblia na Quran, hakuna aliyenipa jibu la kueleweka.
Kweli kiongozi. Naimani kuwa kama Mungu yupo basi sio huyu tunaohadithiwa kila siku.
 
What has all that got to do with this thread? Could you enlighten me please?

Are you saying that it is pointless to enlighten people who have displayed a lack of capacity to understand certain things? If so, how do you know who reads what here?

My point was: Sometimes knowledge sio siri bali ni inaachwa kwa mtafutaji akitane nayo mwenyewe. Mwenye nia, kwa sababu sio kila mtu ana nia na utayari.
 
Unajuaje hii ni logic ya mungu na si uongo tu?



Unajuaje Roho Mtakatifu yupo na si uongo tu?



Unaweza kuthibitisha kwamba Mungu na Roho Mtakatifu vipo kweli na si uongo tu?
Mungu yupo na uthibitisho tunaupata katika uumbaji wake mwanzo 1:1 na Roho mtakatifu yupo pia tunampata katika kutuongoza yohana 14:26 yohana 15:26
 
Hapana.

Tatizo majibu hayapo logically consistent.

Mtu anaweza ku solve

(x^2 + 2x + 1)/x + 2 = x

Kwa kusema x = 2

Lakini jibu hilo halina mantiki kwa sababu ukilitumia kwenye equation linakuwa la uongo.

Jibu la 2 halipo logically consistent kwa sababu ukilitumia katika equation utapata 2.25 = 2.

This is a clear contradiction.

Majibu niliyopewa yana contradiction.

Swali ni, kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Swali hili halijajibiwa katika njia iliyo logically consistent bado.
"...wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani"

Ndiyo hapo nilipokwambia kuwa unachokihoji wewe ni kwanini kafanya hivi na asifanye tofauti na hivi kisa tu anao uwezo wa kufanya tofauti na hivi.

Hiyo ndiyo tafsri ya unachokihoji,sasa watu wanashindwa kujibu kwa sababu wao wanakueleza kusudio la mungu kuumba ulimwengu wenye mema na maovu wakati wewe unahoji kwanini aamue kufanya hivyo na si tofauti na hivyo.
 
My point was: Sometimes knowledge sio siri bali ni inaachwa kwa mtafutaji akitane nayo mwenyewe. Mwenye nia, kwa sababu sio kila mtu ana nia na utayari.
Hata wanaotafuta wenyewe knowledge wanasoma vitabu vilivyoandikwa na watu.

Na JF ni kama kitabu, ila ni Zaidi ya kitabu kwa sababu tupo interactive.

Mimi sijamlazimisha mtu kuamini ninachokubali mimi. Pia, sifikiri kwamba mimi ndiye nina knowledge, hata mimi bado natafuta knowledge.

Kwa hiyo, mjadala huu ni muhimu si kwa sababu mimi ndiye nawapa watu knowledge tu, bali pia kwa sababu hata mimi najifunza pia na akitokea mtu wa kunipa sababu za kuridhisha kunieleza kwamba Mungu yupo, sitakataa. In fact nitafurahi sana.

Kwa hiyo unaweza kusema hata mimi pia ni mtafutaji wa hiyo knowledge na sijajiweka katika kundi la waliokwishaipata knowledge tayari.
 
Mungu yupo na uthibitisho tunaupata katika uumbaji wake mwanzo 1:1 na Roho mtakatifu yupo pia tunampata katika kutuongoza yohana 14:26 yohana 15:26
Nikikwambia hicho kitabu unachonukuu hakiamini kama kitabu cha Mungu kwa sababu kina makosa ya kimantiki lukuki utasemaje?
 
"...wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani"

Ndiyo hapo nilipokwambia kuwa unachokihoji wewe ni kwanini kafanya hivi na asifanye tofauti na hivi kisa tu anao uwezo wa kufanya tofauti na hivi.

Hiyo ndiyo tafsri ya unachokihoji,sasa watu wanashindwa kujibu kwa sababu wao wanakueleza kusudio la mungu kuumba ulimwengu wenye mema na maovu wakati wewe unahoji kwanini aamue kufanya hivyo na si tofauti na hivyo.
Hawajajibu, hawajaweza kujibu.

Ina maana hawamuelewi huyo Mungu kiasi cha kujibu hilo.

Ina maana hawamuelewi huyo Mungu.

Kwa sababu haeleweki.

Kwa sababu hayupo. Ni hadithi iliyotungwa na watu ambao hawakuwa na logical consistency.
 
Hawajajibu, hawajaweza kujibu.

Ina maana hawamuelewi huyo Mungu kiasi cha kujibu hilo.

Ina maana hawamuelewi huyo Mungu.

Kwa sababu haeleweki.

Kwa sababu hayupo. Ni hadithi iliyotungwa na watu ambao hawakuwa na logical consistency.
Tatizo una dhana ya kwamba hilo swali lako hawawezi kulijibu na ndiyo silaha yako.

Sijakataa kwamba hawajajibu swali lako ila nimekueleza kabisa ni kwanini hawajajibu swali lako.
 
Tatizo una dhana ya kwamba hilo swali lako hawawezi kulijibu na ndiyo silaha yako.

Sijakataa kwamba hawajajibu swali lako ila nimekueleza kabisa ni kwanini hawajajibu swali lako.
Kutoeza kujibu swali langu ni kukubali kwamba huyo Mungu hawamuelewi.

Na hawamuelewi kwa sababu haeleweki.

Na haeleweki kwa sababu hayupo.

Angekuwepo, angeeleweka bila msahafu wala kufundishwa.
 
Hata wanaotafuta wenyewe knowledge wanasoma vitabu vilivyoandikwa na watu.

Na JF ni kama kitabu, ila ni Zaidi ya kitabu kwa sababu tupo interactive.

Mimi sijamlazimisha mtu kuamini ninachokubali mimi. Pia, sifikiri kwamba mimi ndiye nina knowledge, hata mimi bado natafuta knowledge.

Kwa hiyo, mjadala huu ni muhimu si kwa sababu mimi ndiye nawapa watu knowledge tu, bali pia kwa sababu hata mimi najifunza pia na akitokea mtu wa kunipa sababu za kuridhisha kunieleza kwamba Mungu yupo, sitakataa. In fact nitafurahi sana.

Kwa hiyo unaweza kusema hata mimi pia ni mtafutaji wa hiyo knowledge na sijajiweka katika kundi la waliokwishaipata knowledge tayari.
Atapatikana vp mtu wa kukueleza kuwa mungu yupo na ukaridhika kwa hoja atakazo toa hali ya huwa unasema hutaki kuamini bali unataka kujua.
 
Atapatikana vp mtu wa kukueleza kuwa mungu yupo na ukaridhika kwa hoja atakazo toa hali ya huwa unasema hutaki kuamini bali unataka kujua.
Hakuna kujua kunakokuja bila kuamini.

Ninaposema sitaki kuamini, nataka kujua, haina maana kwamba ukiniambia kitu chenye mantiki ambacho siwezi kukijua, ila kinaaminika, nitakikataa.

Mathalani, ukiniambia, tupange kukutana kesho jua litakapochomoza, siwzi kujua kama jua litachomoka kesho. Jua linaweza kupata supernovae dakika hii na dakika nane zijazo likazima milele.

Lakini sina sababu ya kutokuamini kwamba jua litachomoza kesho, kwa mujibu wa rekodi yake na sayansi inayojulikana.

Hili siwezi kulijua kwa hakika. By definition, mambo yote yajayo hakuna tunayoyajua kwa hakika. Lakini hili halinizuii kukubali kupanga siku yangu ya kesho.

Kwa hivyo, ninavyosema "sitaki kuamini, nataka kujua" take that in context. Kwamba my ultimate goal is to have perfect knowledge, I don't want to end with a goal of merely believing.

Kwa msingi huo. akipatikana mtu wa kunieleza uwepo wa Mungu ambao utataua matatizo ya logical consistency, kama naweza kuamini kwamba jua litachomoza kesho na hilo linifanye nipange siku yangu ya kesho kwa sababu hakuna tatizo la logical consistency, kwa nini nikatae uwepo wa Mungu huyo ikiwa kuna logical consistency?

Tatizo hujanieleza uwepo wa Mungu ambao una logical consistency.

Nimeonesha contradiction katika habari ya kuwepo kwa Mungu wako.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani ni contradiction, habari hii si logically consistent.

Hamjatatua hiyo contradiction.

Hamjamuelezea Mungu katika namna ya kuifanya habari ya kuwepo kwake iwe logically consistent.
 
kitabu cha Mungu hakina makosa wala Mungu hajawai kufanya kosa

Unaweza kujibu maswali haya?

A List Of Biblical Contradictions

God good to all, or just a few?
PSA 145:9 The LORD is good to all: and his tender mercies are over all his works.

JER 13:14 And I will dash them one against another, even the fathers and the sons together, saith the LORD: I will not pity, nor spare, nor have mercy, but destroy them.

[Editor's note: Some readers have raised an objection to this alleged contradiction. They point out that PSA 145:20 states that The Lord keeps all who love Him, but that He will destroy the wicked. In other words, some see no contradiction between "The Lord is good to all" and JER 13:14. Others contend, however, that even if the Lord destroys the wicked he could do so with compassion, pity, and mercy. Further, there are biblical examples that indicate that the Lord is not necessarily "good" or merciful--even to those who are not wicked. One such example is Job. As one reader points out, "If Psalm 145:9 was not a contradiction of Psalm 145:20 or Jeremiah 13:14, it would read something like this: "The LORD is good to all, except the wicked: and his tender mercies are over all his works, except when He is punishing the wicked." In any case, the idea that the Lord is good and merciful is contradicted by countless examples in the Bible where God orders the destruction of infants, personally kills David's infant child, etc.]

War or Peace?
EXO 15:3 The LORD is a man of war: the LORD is his name.

ROM 15:33 Now the God of peace be with you all. Amen.

Who is the father of Joseph?
MAT 1:16 And Jacob begat Joseph the husband of Mary, of whom was born Jesus, who is called Christ.

LUK 3:23 And Jesus himself began to be about thirty years of age, being (as was supposed) the son of Joseph, which was the son of Heli.

[Editor's note: This contradiction has to do only with the father of Joseph, not with the father of Jesus.]

Who was at the Empty Tomb? Is it:
MAT 28:1 In the end of the sabbath, as it began to dawn toward the first day of the week, came Mary Magdalene and the other Mary to see the sepulchre.

MAR 16:1 And when the sabbath was past, Mary Magdalene, and Mary the mother of James, and Salome, had bought sweet spices, that they might come and anoint him.

JOH 20:1 The first day of the week cometh Mary Magdalene early, when it was yet dark, unto the sepulchre, and seeth the stone taken away from the sepulchre.

Is Jesus equal to or lesser than?
JOH 10:30 I and my Father are one.

JOH 14:28 Ye have heard how I said unto you, I go away, and come again unto you. If ye loved me, ye would rejoice, because I said, I go unto the Father: for my Father is greater than I.

Which first--beasts or man?
GEN 1:25 And God made the beast of the earth after his kind, and cattle after their kind, and every thing that creepeth upon the earth after his kind: and God saw that it was good.
GEN 1:26 And God said, Let us make man in our image, after our likeness: and let them have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over the cattle, and over all the earth, and over every creeping thing that creepeth upon the earth.

GEN 2:18 And the LORD God said, It is not good that the man should be alone; I will make him an help meet for him.
GEN 2:19 And out of the ground the LORD God formed every beast of the field, and every fowl of the air; and brought them unto Adam to see what he would call them: and whatsoever Adam called every living creature, that was the name thereof.

How many stalls and horsemen?
1KI 4:26 And Solomon had forty thousand stalls of horses for his chariots, and twelve thousand horsemen.

2CH 9:25 And Solomon had four thousand stalls for horses and chariots, and twelve thousand horsemen; whom he bestowed in the chariot cities, and with the king at Jerusalem.

Is it folly to be wise or not?
PRO 4:7 Wisdom is the principal thing; therefore get wisdom: and with all thy getting get understanding.

ECC 1:18 For in much wisdom is much grief: and he that increaseth knowledge increaseth sorrow.

1CO 1:19: "For it is written, I will destroy the wisdom of the wise, and will bring to nothing the understanding of the prudent."

Human vs. ghostly impregnation
ACT 2:30 Therefore being a prophet, and knowing that God had sworn with an oath to him, that of the fruit of his loins, according to the flesh, he would raise up Christ to sit on his throne;

MAT 1:18 Now the birth of Jesus Christ was on this wise: When as his mother Mary was espoused to Joseph, before they came together, she was found with child of the Holy Ghost.

[Editor's note: Jesus cannot be both the fruit of the loins AND the child of the Holy Ghost.]

The sins of the father
ISA 14:21 Prepare slaughter for his children for the iniquity of their fathers; that they do not rise, nor possess the land, nor fill the face of the world with cities.

DEU 24:16 The fathers shall not be put to death for the children, neither shall the children be put to death for the fathers: every man shall be put to death for his own sin.

Hares do not chew their cud
LEV 11:6 And the hare, because he cheweth the cud, but divideth not the hoof; he is unclean unto you.

"Gerah," the term which appears in the MT means (chewed) cud, and also perhaps grain, or berry (also a 20th of a sheckel, but I think that we can agree that that is irrelevant here). It does *not* mean dung, and there is a perfectly adequate Hebrew word for that, which could have been used. Furthermore, the phrase translated "chew the cud" in the KJV is more exactly "bring up the cud." Hares do not bring up anything; they let it go all the way through, then eat it again. The description given in Leviticus is inaccurate, and that's that. Hares do eat their own dung; they do not bring anything up and chew on it.

Fowl from waters or ground?
GEN 1:20 And God said, Let the waters bring forth abundantly the moving creature that hath life, and fowl that may fly above the earth in the open firmament of heaven.
GEN 1:21 And God created great whales, and every living creature that moveth, which the waters brought forth abundantly, after their kind, and every winged fowl after his kind: and God saw that it was good.

GEN 2:19 And out of the ground the LORD God formed every beast of the field, and every fowl of the air; and brought them unto Adam to see what he would call them: and whatsoever Adam called every living creature, that was the name thereof.

Odd genetics
GEN 30:39 And the flocks conceived before the rods, and brought forth cattle ringstraked, speckled, and spotted.

The shape of the earth
ISA 40:22 It is he that sitteth upon the circle of the earth, and the inhabitants thereof are as grasshoppers; that stretcheth out the heavens as a curtain, and spreadeth them out as a tent to dwell in:

MAT 4:8 Again, the devil taketh him up into an exceeding high mountain, and sheweth him all the kingdoms of the world, and the glory of them;

Astronomical bodies are spherical, and you cannot see the entire exterior surface from anyplace. The kingdoms of Egypt, China, Greece, Crete, sections of Asia Minor, India, Maya (in Mexico), Carthage (North Africa), Rome (Italy), Korea, and other settlements from these kingdoms of the world were widely distributed.

Snakes, while built low, do not eat dirt
GEN 3:14 And the LORD God said unto the serpent, Because thou hast done this, thou art cursed above all cattle, and above every beast of the field; upon thy belly shalt thou go, and dust shalt thou eat all the days of thy life:

Earth supported?
JOB 26:7 He stretcheth out the north over the empty place, and hangeth the earth upon nothing.

JOB 38:4 Where wast thou when I laid the foundations of the earth? declare, if thou hast understanding.

Heaven supported too
JOB 26:11 The pillars of heaven tremble and are astonished at his reproof.

The hydrological cycle
ECC 1:7 All the rivers run into the sea; yet the sea is not full; unto the place from whence the rivers come, thither they return again.

JOB 38:22 Hast thou entered into the treasures of the snow? or hast thou seen the treasures of the hail,

Storehouses are not part of the cycle

Order of creation
Here is the order in the first (Genesis 1), the Priestly tradition:

Day 1: Sky, Earth, light
Day 2: Water, both in ocean basins and above the sky(!)
Day 3: Plants
Day 4: Sun, Moon, stars (as calendrical and navigational aids)
Day 5: Sea monsters (whales), fish, birds, land animals, creepy-crawlies (reptiles, insects, etc.)
Day 6: Humans (apparently both sexes at the same time)
Day 7: Nothing (the Gods took the first day off anyone ever did)

Note that there are "days," "evenings," and "mornings" before the Sun was created. Here, the Deity is referred to as "Elohim," which is a plural, thus the literal translation, "the Gods."

The second one (Genesis 2), the Yahwist tradition, goes:

Earth and heavens (misty)
Adam, the first man (on a desolate Earth)
Plants
Animals
Eve, the first woman (from Adam's rib)

How orderly were things created?
#1: Step-by-step. The only discrepancy is that there is no Sun or Moon or stars on the first three "days."
#2: God fixes things up as he goes. The first man is lonely, and is not satisfied with animals. God finally creates a woman for him. (funny thing that an omniscient god would forget things)

How satisfied with creation was he?
#1: God says "it was good" after each of his labors, and rests on the seventh day, evidently very satisfied.
#2: God has to fix up his creation as he goes, and he would certainly not be very satisfied with the disobedience of that primordial couple. (funny thing that an omniscient god would forget things)

Moses' personality
NUM 12:3: "Now the man Moses was very meek, above all the men which were upon the face of the earth."

NUM 31:14, 17, 18: "And Moses was wroth...And Moses said unto them, "Have ye saved all the women alive? ... Now therefore kill every male among the little ones, and kill every woman, ... But all the women children ... keep alive for yourselves."

Righteous live?
PSA 92:12: "The righteous shall flourish like the palm tree."

ISA 57:1: "The righteous perisheth, and no man layeth it to heart."

Jesus' first sermon plain or mount?
MAT 5:1,2: "And seeing the multitudes, he went up into a mountain: and when he was set, his disciples came unto him: And he opened his mouth, and taught them, saying...."

LUK 6:17,20: "And he came down with them, and stood in the plain, and the company of his disciples, and a great multitude of people...came to hear him.. And he lifted up his eyes on his disciples and said..."

Jesus' last words
MAT 27:46,50: "And about the ninth hour Jesus cried with a loud voice, saying, "Eli, eli, lama sabachthani?" that is to say, "My God, my God, why hast thou forsaken me?" ...Jesus, when he cried again with a loud voice, yielded up the ghost."

LUK 23:46: "And when Jesus had cried with a loud voice, he said, "Father, unto thy hands I commend my spirit:" and having said thus, he gave up the ghost."

JOH 19:30: "When Jesus therefore had received the vinegar, he said, "It is finished:" and he bowed his head, and gave up the ghost."

Years of famine
II SAMUEL 24:13: So God came to David, and told him, and said unto him, shall SEVEN YEARS OF FAMINE come unto thee in thy land? or will thou flee three months before thine enemies, while they pursue. thee?

I CHRONICLES 21:11: SO God came to David, and said unto him, Thus saith the LORD, Choose thee. Either THREE YEARS OF FAMINE or three months to be destroyed before thy foes, while that the sword of thine enemies overtaketh thee;

Moved David to anger?
II SAMUEL 24: And again the anger of the LORD was kindled against Israel, and he moved David against them to say, Go, number Israel and Judah.

I CHRONICLES 21: And SATAN stood up against Israel, and provoked David to number Israel.

The GENEALOGY OF JESUS?
In two places in the New Testament the genealogy of Jesus, son of Mary, is mentioned: MAT 1:6-16 and LUK 3:23-31. Each gives the ancestors of Joseph the CLAIMED husband of Mary and stepfather of Jesus. The first one starts from Abraham (verse 2) all the way down to Jesus. The second one from Jesus all the way back to Adam. There are few common names at best between David and Jesus (depending on which Bible version is being referenced) to these two lists. How can this be true? And also how can Jesus have a genealogy at all when all Muslims and most Christians believe that Jesus had/has no earthly father.

God be seen?
EXO 24:9,10; AMO 9:1; GEN 26:2; and JOH 14:9
God CAN be seen:
"And I will take away my hand, and thou shalt see my backparts." (EXO 33:23)
"And the Lord spake to Moses face to face, as a man speaketh to his friend." (EXO 33:11)
"For I have seen God face to face, and my life is preserved." (GEN 32:30)

God CANNOT be seen:
"No man hath seen God at any time." (JOH 1:18)
"And he said, Thou canst not see my face; for there shall no man see me and live." (EXO 33:20)
"Whom no man hath seen nor can see." (1TIM 6:16)

CRUEL, UNMERCIFUL, DESTRUCTIVE, and FEROCIOUS or KIND, MERCIFUL, and GOOD:
"I will not pity, nor spare, nor have mercy, but destroy." (JER 13:14) "Now go and smite Amalek, and utterly destroy all that they have, and spare them not, but slay both man and woman, infant and suckling."

"The Lord is very pitiful and of tender mercy." (JAS 5:11)
"For his mercy endureth forever." (1CH 16:34)
"The Lord is good to all, and his tender mercies are over all his works." (PSA 145:9)
"God is love." (1JO 4:16)

Tempts?
"And it came to pass after these things, that God did tempt Abraham." (GEN 22:1)

"Let no man say when he is tempted, I am tempted of God; for God cannot be tempted with evil, neither tempteth he any man." (JAS 1:13)

Judas died how?
"And he (Judas) cast down the pieces of silver in the temple, and departed, and went and hanged himself. And the chief priests...bought with them the potter's field." (MAT 27:5)

"Now this man (Judas) purchased a field with the reward of iniquity; and falling headlong, he burst asunder in the midst, and all his bowels gushed out." (ACT 1:18)

Ascend to heaven
"And Elijah went up by a whirlwind into heaven." (2KI 2:11)

"No man hath ascended up to heaven but he that came down from heaven, ... the Son of Man." (JOH 3:13)

What was Jesus' prediction regarding Peter's denial?
Before the cock crow - MAT 26:34

Before the cock crow twice - MAR 14:30

How many times did the cock crow?
MAR 14:72 And the second time the cock crew. And Peter called to mind the word that Jesus said unto him, Before the cock crow twice, thou shalt deny me thrice. And when he thought thereon, he wept.

MAT 26:74 Then began he to curse and to swear, saying, I know not the man. And immediately the cock crew.
MAT 26:75 And Peter remembered the word of Jesus, which said unto him, Before the cock crow, thou shalt deny me thrice. And he went out, and wept bitterly.

LUK 22:60 And Peter said, Man, I know not what thou sayest. And immediately, while he yet spake, the cock crew.
LUK 22:61 And the Lord turned, and looked upon Peter. And Peter remembered the word of the Lord, how he had said unto him, Before the cock crow, thou shalt deny me thrice.

JOH 13:38 Jesus answered him, Wilt thou lay down thy life for my sake? Verily, verily, I say unto thee, The cock shall not crow, still thou hast denied me thrice.

JOH 18:27 Peter then denied again: and immediately the cock crew.

How many beatitudes in the Sermon on the Mount
MAT 5:3 Blessed are the poor in spirit: for theirs is the kingdom of heaven.
MAT 5:4 Blessed are they that mourn: for they shall be comforted.
MAT 5:5 Blessed are the meek: for they shall inherit the earth.
MAT 5:6 Blessed are they which do hunger and thirst after righteousness: for they shall be filled.
MAT 5:7 Blessed are the merciful: for they shall obtain mercy.
MAT 5:8 Blessed are the pure in heart: for they shall see God.
MAT 5:9 Blessed are the peacemakers: for they shall be called the children of God.
MAT 5:10 Blessed are they which are persecuted for righteousness' sake: for theirs is the kingdom of heaven.
MAT 5:11 Blessed are ye, when men shall revile you, and persecute you, and shall say all manner of evil against you falsely, for my sake.

LUK 6:20 And he lifted up his eyes on his disciples, and said, Blessed be ye poor: for yours is the kingdom of God.
LUK 6:21 Blessed are ye that hunger now: for ye shall be filled. Blessed are ye that weep now: for ye shall laugh.
LUK 6:22 Blessed are ye, when men shall hate you, and when they shall separate you from their company, and shall reproach you, and cast out your name as evil, for the Son of man's sake.
LUK 6:23 Rejoice ye in that day, and leap for joy: for, behold, your reward is great in heaven: for in the like manner did their fathers unto the prophets.

Does every man sin?
1KI 8:46 If they sin against thee, (for there is no man that sinneth not,) and thou be angry with them, and deliver them to the enemy, so that they carry them away captives unto the land of the enemy, far or near;

2CH 6:36 If they sin against thee, (for there is no man which sinneth not,) and thou be angry with them, and deliver them over before their enemies, and they carry them away captives unto a land far off or near;

PRO 20:9 Who can say, I have made my heart clean, I am pure from my sin?

ECC 7:20 For there is not a just man upon earth, that doeth good, and sinneth not.

JO1 1:8 If we say that we have no sin, we deceive ourselves, and the truth is not in us.
JO1 1:9 If we confess our sins, he is faithful and just to forgive us our sins, and to cleanse us from all unrighteousness.
JO1 1:10 If we say that we have not sinned, we make him a liar, and his word is not in us.

JO1 3:9 Whosoever is born of God doth not commit sin; for his seed remaineth in him: and he cannot sin, because he is born of God.

Who bought potter's field
ACT 1:18 Now this man purchased a field with the reward of iniquity; and falling headlong, he burst asunder in the midst, and all his bowels gushed out.
ACT 1:19 And it was known unto all the dwellers at Jerusalem; insomuch as that field is called in their proper tongue, Aceldama, that is to say, The field of blood.

MAT 27:6 And the chief priests took the silver pieces, and said, It is not lawful for to put them into the treasury, because it is the price of blood.
MAT 27:7 And they took counsel, and bought with them the potter's field, to bury strangers in.
MAT 27:8 Wherefore that field was called, The field of blood, unto this day.

Who prophesied the potter's field?
MAT 27:9-10 (mentions Jeremy but no such verse in Jeremiah) is in Zechariah 11:12-13

Do you answer a fool?
PRO 26:4 Answer not a fool according to his folly, lest thou also be like unto him.

PRO 26:5 Answer a fool according to his folly, lest he be wise in his own conceit.

How many children did Michal, the daughter of Saul, have?
2SA 6:23 Therefore Michal the daughter of Saul had no child unto the day of her death.

2SA 21:8 But the king took the two sons of Rizpah the daughter of Aiah, whom she bare unto Saul, Armoni and Mephibosheth; and the five sons of Michal the daughter of Saul, whom she brought up for Adriel the son of Barzillai the Meholathite:

How old was Jehoiachin when he began to reign?
2KI 24:8 Jehoiachin was eighteen years old when he began to reign, and he reigned in Jerusalem three months. And his mother's name was Nehushta, the daughter of Elnathan of Jerusalem.

2CH 36:9 Jehoiachin was eight years old when he began to reign, and he reigned three months and ten days in Jerusalem: and he did that which was evil in the sight of the LORD.

Marriage?
Proverbs 18:22
1 Corinthians 7 (whole book. See 1,2,27,39,40)

Did those with Saul/Paul at his conversion hear a voice?
ACT 9:7 And the men which journeyed with him stood speechless, hearing a voice, but seeing no man.

ACT 22:9 And they that were with me saw indeed the light, and were afraid; but they heard not the voice of him that spake to me.

Where was Jesus three days after his baptism?
MAR 1:12 And immediately the spirit driveth him into the wilderness.

JOH 1:35 Again the next day after John stood, and two of his disciples;

(various traipsings)

How many apostles were in office between the resurrection and ascension?
1 Corinthians 15:5 (12)
MAT 27:3-5 (minus one from 12)
ACT 1:9-26 (Mathias not elected until after resurrection)

MAT 28:16 Then the eleven disciples went away into Galilee, into a mountain where Jesus had appointed them.

Judging
1 Cor 2:15 "The spiritual man makes judgments about all things, but he himself is not subject to any man's judgment:" (NIV)

1 Cor 4:5 "Therefore judge nothing before the appointed time; wait till the Lord comes. He will bring to light what is hidden in darkness and will expose the motives of men's hearts. At that time each will receive his praise from God."

Good deeds
Matt 5:16 "In the same way, let your light shine before men, that they may see your good deeds and praise your Father in heaven." (NIV)

Matt 6:3-4 "But when you give to the needy, do not let your left hand know what your right hand is doing, so that your giving may be in secret. Then your Father, who sees what is done in secret, will reward you." (NIV)

For or against?
MAT 12:30 He that is not with me is against me; and he that gathereth not with me scattereth abroad.
(default is against)

MAR 9:40 For he that is not against us is on our part.
(default is for)

LUK 9:50 And Jesus said unto him, Forbid him not: for he that is not against us is for us.
(default is for)

Whom did they see at the tomb?
MAT 28:2 And, behold, there was a great earthquake: for the angel of the Lord descended from heaven, and came and rolled back the stone from the door, and sat upon it.
MAT 28:3 His countenance was like lightning, and his raiment white as snow:
MAT 28:4 And for fear of him the keepers did shake, and became as dead men.
MAT 28:5 And the angel answered and said unto the women, Fear not ye: for I know that ye seek Jesus, which was crucified.

MAR 16:5 And entering into the sepulchre, they saw a young man sitting on the right side, clothed in a long white garment; and they were affrighted.

LUK 24:4 And it came to pass, as they were much perplexed thereabout, behold, two men stood by them in shining garments:

JOH 20:12 And seeth two angels in white sitting, the one at the head, and the other at the feet, where the body of Jesus had lain.

God change?
MAL 3:6
JAS 1:17
1SA 15:29
JON 3:10
GEN 6:6

Destruction of cities (what said was jeremiah was zechariah)
MAT 27:9 Then was fulfilled that which was spoken by Jeremy the prophet, saying, And they took the thirty pieces of silver, the price of him that was valued, whom they of the children of Israel did value;

ZEC 11:11-13 (Note: There is nothing in Jeremiah remotely like this.)

Whose sepulchers
ACT 7:16
GEN 23:17,18

When second coming?
MAT 24:34 Verily I say unto you, This generation shall not pass, till all these things be fulfilled.

MAR 13:30 Verily I say unto you, that this generation shall not pass, till all these things be done.

LUK 21:32 Verily I say unto you, This generation shall not pass away, till all be fulfilled.

(See also 1TH 4:15-18)

Solomon's overseers
1KI 9:23 550
2CH 8:10 250

The mother of Abijah:
2CH 11:20 Maachah the daughter of Absalom

2CH 13:2 Michaiah the daughter of Uriel

When did Baasha die?
1KI 16:6-8 26th year of the reign of Asa

2CH 16:1 36th year of the reign of Asa

How old was Ahaziah when he began to reign?
2KI 8:26 22

2CH 22:2 42

The differences in the census figures of Ezra and Nehemiah.
What was the color of the robe placed on Jesus during his trial?

MAT 27:28 scarlet

JOH 19:2 purple

What did they give him to drink?
MAT 27:34 vinegar

MAR 15:23 wine with myrrh

How long was Jesus in the tomb?
Depends where you look; MAT 12:40 gives Jesus prophesying that he will spend "three days and three nights in the heart of the earth," and MAR 10:34 has "after three days (meta treis emeras) he will rise again." As far as I can see from a quick look, the prophecies have "after three days," but the post-Resurrection narratives have "on the third day."
 
Hawajajibu, hawajaweza kujibu.

Ina maana hawamuelewi huyo Mungu kiasi cha kujibu hilo.

Ina maana hawamuelewi huyo Mungu.

Kwa sababu haeleweki.

Kwa sababu hayupo. Ni hadithi iliyotungwa na watu ambao hawakuwa na logical consistency.
biblia katika kitabu cha isaya 55:7-11 tunamuona jinsi Mungu anavyothiitisha kuwa mawazo yake sio kama yenu yaani vile wewe unafikiri sivyo Mungu anavyofikiri. kwa hiyo kamwe utaweza kumchunguza Mungu tena anasema kama mbingu zilivyo juu sana kadhalika na njia zake zii juu sana kuliko njia zetu na mawazo yetu kwa hiyo acha kumchukulia Mungu wakawaida tu stari wa 11 anasema neno lake halitamrudia bure bali litatimiza mapenzi yake nalo litafanikiwa katika yale mambo aliyolituma hilo neno imaana kama Mungu alilituma neno lake katika kuumba basi hakika litaumba na neno lake ni kweli NENO LA MUNGU NDIO MUNGU MWENYEWE huwezi tofautisha neno na Mungu hawa wote ni wamoja kwa hiyo kama umuamini MUngu pia huwezi kuliamini neno lake.
 
Back
Top Bottom