Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 14,743
- 27,532
Huyo kiumbe na mkwewe ni wa hovyo kweli kweli.bado mchengerwa ameagiza wakuu wa mikoa kusimamia usambazaji wa sukari,
Huyo kiumbe na mkwewe ni wa hovyo kweli kweli.bado mchengerwa ameagiza wakuu wa mikoa kusimamia usambazaji wa sukari,
Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Nchini ipo chini ya Wizara ya Kilimo na sukari ni chakula....Kwahiyo hata bange anapambana nayo Waziri wa Kilimo Kwa sababu inalimwa?
Mlisomea ujinga?
Kwahiyo Mchengerwa na wakuu wa mikoa nimiongoni mwa wanabodi?ndugu,sukari inasimamiwa kwa sheria na ndio maana kuna bodi ya sukari ambayo imeundwa kwa sheria ya bunge,hivyo ni lazima isimamiwe
Hawezi hata kupanga bei elekezi 🐼Waziri wa viwanda na biashara amelala usingizi anakoroma. Haelewi kinachoendelea nje.
Iundwe wizara ya vinywaji ndio labda atatetea wanywa chai na juis.
Niliuliza hili swali humu wakaniambia yeye ndiye mhusika wa mashamba ya myua, nikauliza je waziri wa viwanda na biashara yuko wapi kwenye hili sakata, wakaniambia nikumbuke kuna Mwalimu alisimamishwa kazi na waziri wa Elimu badala ya yule wa TAMISEMI.Hivi Nchini Tanzania hakuna Wizara ya Viwanda na Biashara , ambayo ndio Mhusika halisi wa Biashara na Viwanda?
Naandika haya kwa Uzoefu, mimi ni Mfanyabiashara na namiliki Kiwanda (siyo cha sukari). Sijawahi kuelekezwa kusaini nyaraka yoyote kwenye Wizara ya kilimo angalau mara chache nimefika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje , hii ni kwa sababu biashara yangu kwa 95% inahusiana na Nchi za kigeni , USA , CANADA , na kwa kiasi England na S.Africa.
Swali langu ni hili. Kwanini Waziri wa kilimo ashughulikie masuala ya Biashara?
Ulitaka isimamie wizara ya ujenzi kwani imekuwa rami?Hivi Nchini Tanzania hakuna Wizara ya Viwanda na Biashara , ambayo ndio Mhusika halisi wa Biashara na Viwanda?
Naandika haya kwa Uzoefu, mimi ni Mfanyabiashara na namiliki Kiwanda (siyo cha sukari). Sijawahi kuelekezwa kusaini nyaraka yoyote kwenye Wizara ya kilimo angalau mara chache nimefika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje , hii ni kwa sababu biashara yangu kwa 95% inahusiana na Nchi za kigeni , USA , CANADA , na kwa kiasi England na S.Africa.
Swali langu ni hili. Kwanini Waziri wa kilimo ashughulikie masuala ya Biashara?
Kwani hiyo miwa ikishavunwa inapelekwa wapi?. Kama inapelekwa kiwandani ina maana wizara ya viwanda ndio inahusikakwani waziri wa viwanda na biashara ndio analima miwa humu nchini 🐒
Wakala wa Hifadhi ya Chakula Nchini iko chini ya wizara ya kilimo katika ukamilifu wake na sio wizara ya viwanda na biashara kama amabavyo unadhani. Ni katika mgawanyo wa kawaida wa majukumu ya kisekta serikalini....Kwani hiyo miwa ikishavunwa inapelekea wapi?. Kama inapelekwa kiwandani ina maana wizara ya viwanda ndio inahusika
Ndivyo sheria aliyotunga Jiwe ilitaka hivyo maana ilihamisha sukari kuwa bidhaa huria na kuwapa Haki wazalishaji ndio wawe waaagizajo na wasambazaji chini ya Wizara ya Kilimo.Hivi Nchini Tanzania hakuna Wizara ya Viwanda na Biashara , ambayo ndio Mhusika halisi wa Biashara na Viwanda?
Naandika haya kwa Uzoefu, mimi ni Mfanyabiashara na namiliki Kiwanda (siyo cha sukari). Sijawahi kuelekezwa kusaini nyaraka yoyote kwenye Wizara ya kilimo angalau mara chache nimefika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje , hii ni kwa sababu biashara yangu kwa 95% inahusiana na Nchi za kigeni , USA , CANADA , na kwa kiasi England na S.Africa.
Swali langu ni hili. Kwanini Waziri wa kilimo ashughulikie masuala ya Biashara?
Uhitaji ni tani 720,000 ( laki saba na elfu ishirini) kwa mwaka. Kati ya hizo mahitaji kwaajiri ya matumizi ya majumbani na migahawani au mahotelini, mashuleni ni tani laki tano na elfu 55 yaani 555,000 na matumizi ya viwandani yaani sukari ya viwandani ni tani 165,000 yaani tani laki moja na sitini na tano elfu ambayo si sukari hii tunayotumia majumbani ni ile nyeupe a.k.a industrial sugar kijiko kimoja.Tena waziri wa viwanda sijasikia hata kauli yake, kwa nn kama serikali isiagizie sukari yenyewe inaishia kutoa vibali Kwa wafanyabiashara. Serikali ingeagiza hata tani 500000 ili isaidie kipindi hiki
Je unadhani jambo hilo limeketa tija yoyote ?Wakala wa Hifadhi ya Chakula Nchini iko chini ya wizara ya kilimo katika ukamilifu wake na sio wizara ya viwanda na biashara kama amabavyo unadhani. Ni katika mgawanyo wa kawaida wa majukumu ya kisekta serikalini....
Sabuni za miche nazo zinatokana na kilimo , je biashara yake nayo isimamiwe na wizara ya kilimo ?buda sukari ni zao la mua unaoota chini kwenye ardhi hence ni kilimo icho.
mua ukibadilika kuwa sukari apo ndo biashara inapoanza.
grow up
ndiyo limeleta tija na nadhani pia ni muhimu zaidi likaendelea kua chini mamalaka iliyopo chini ya wizara ya kilimo, kwasababa suala la chakula kulifanya kibiashara ni hatari kwa usalama wa chakula na Taufa kwa ujumla...Je unadhani jambo hilo limeketa tija yoyote ?
Godfatherism politics!!Mamafia yameshikilia rimoti ; yanaongoza serikali ya awamu hii.
Tusitegemee sa100 atatusaidia katka hili.
Hakuna kitakachofanyika.
Ni sisi wenyewe wananchi ndio tutakaoweza kulimaliza hili (endapo tukiamua kutoka nyuma ya keyboard zetu na kuingia mtaani nchi nzima).
Godfatherism politics!Fanyeni utafiti utakunana na majibu haya,
1. Kila wizara au idara inayosimamiwa na jinsia Ile , anaye teuliwa ni mama anayeongoza ni baba ambaye hakuteuliwa
2. Kutoa maamuzi ni baba ambaye hakuteuliwa na mtekeza maamuzi ni mama aliyeteuliwa na ambaye ni magumu kuielewa au kutekeleza maamuzi Yale.
Tunakoelekea tutasimama siku Moja bila kufahami kwanini tumesimama.
Hivi Nchini Tanzania hakuna Wizara ya Viwanda na Biashara , ambayo ndio Mhusika halisi wa Biashara na Viwanda?