Ally Hapi atatufaa kama Waziri wa Kilimo?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,224
12,729
Moja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu.

Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana anafanya umwagiliaji wa matone.
Sasa kuna huyu mlima pilipili anaitwa Ally Hapi. Jamaa toka ametoka kwenye uongozi anafanya kazi hii. Haina shaka kuwa kufikia sasa anajua uhalisia wa kilimo kwenye nchi hii. Jamaa hawezi kutusaidia kama waziri wa kilimo?

IMG_20240111_172303.jpg
IMG_20240111_172256.jpg
 
View attachment 2868628View attachment 2868629

Kwa sababu analima ? Duh you guys mnatoka wapi na hizi idea?
 
Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana anafanya umwagiliaji wa matone.
Kilimo cha umwagiliaji ndiyo chenye tija kwa Karne hii.

Ally Happy hafai kwa sababu ana utoto na ufala mwingi kichwani na hachagui la kuonge jukwaani.

Kipindi Alipokuwa kiongozi, alitukana Wastaafu wote akiwemo Kikwete. Mtu kama Kikwete pamoja na madhaifu ya binAdamu alitumikia nchi hili kwa bidii kubwa.

Awamu ya nne, Kikwete Alipanua ajira kwa Vijana, elimu ya secondary na kuimarisha sekta ya afya. Ally Happy siyo mtu wa kumtukana Kikwete kwa sababu hamfikiia hata kwa 2% kiakili na kwa mchango wake kwa Tanzania.

Ally Happy anafaa kuwa mkulima wa pilipili na siyo waziri wa kilimo. Acheni utani na ofisi ya waziri wa kilimo.
 
Moja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu.

Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana anafanya umwagiliaji wa matone.
Sasa kuna huyu mlima pilipili anaitwa Ally Hapi. Jamaa toka ametoka kwenye uongozi anafanya kazi hii. Haina shaka kuwa kufikia sasa anajua uhalisia wa kilimo kwenye nchi hii. Jamaa hawezi kutusaidia kama waziri wa kilimo?
View attachment 2868628View attachment 2868629
Ally hapi anajichokonoa!.... Na kutoa miguno yeye mwenyewe .... (Harakati za kusaka teuzi ili ukumbukwe kwenye ufalme wa mama kizimkakazi)
 
Kilimo cha umwagiliaji ndiyo chenye tija.

Ally Happy hafai kwa sababu ana utoto na ufala mwingi kichwani na hachagui la kuonge jukwaani.

Kipindi Alipokuwa kiongozi, alitukana Wastaafu wote akiwemo Kikwete. Mtu kama Kikwete pamoja na madhaifu ya binAdamu alitumikia nchi hili kwa bidii kubwa.

Kikwete Alipanua ajira kwa Vijana, elimu ya secondary na sekta ya afya. Ally Happy ni siyo mtu wa kumtukana Kikwete kwa sababu hamfikiia hata kwa 2% kiakili
Wakati wa Kikwete nchi ilijaa rushwa ya hali ya juu. Ilikuwa halali yake kupewa maneno mabaya. Kilimo cha umwagiliaji kina tija sana lakini siyo hicho cha matone. Mtu ameona watu wanamwagilia kwa matone naye anaiga bila kuangalia uhalisia.
 
Mkuu kumbe saaa hivi rushwa imeisha?
 
Back
Top Bottom