MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 253
Jamani si kuwa naota..Ninajaribu kukumbukia Serikali yetu ya Tanzania na upana wa maamuzi yake..Tulikuwa na Gavana wa BOT na alikumbwa na Kashfa Lukuki mpaka Macho yoote ya Watanzania yakaganda kwenye Sakata Hilo.
Sasa Huyu jamaa alikufa, Nini kilisababisha Maiti isije Tanzania kwa mazishi na uhakika wa kifo Cha mtu huyu???
Serikali kutokuwa na Maamuzi mapana kuhusu sakata la BOT ilikuwa inakusudia nini??
Nimewaza nikatoka na Hili hebu tuuchambue kidogo huu uongozi tulio nao na upana wa maamuzi yake...
Haya njooni tusemezane Asema Bwana.