Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

kama vitu vina faida usihangaike kutafuta hasara zake..

kabisa mbona wengi tu, hawavai chupi maofisini acha sehemu za starehe hiyo kawaida sana tu, kama ulifuatilia big brother mwaka jana mshiriki toka kenya mara nyingi alikuwa havai chupi, yote ni mitego tu na kurahisisha kwa mlaji.
 
we need do be free, and ventilation is our right, dont keep on asking why
 
tabia hii kwa sasa imeenea sana kule america, sasa nadhani dada zetu wameichukua hii kma fashion na kuiga, kiukweli dada zetu wengi wanaojiona wanakwenda na wakata hpa dar hawavai chupi coz ni fashion
 
Kuna mmoja niliwahi kumuuliza siku za nyuma baada kugundua huwa havai chupi. Akasema ni kwasababu ana kinembe kirefu na kiko sensitive sana, eti chupi zinamfanya apate matatizo sana na mara ingine hata ajikojolee bila ridhaa yake...ni kweli alikuwa na kinembe kirefu lakini hili la chupi kusababisha ajikojolee pasipo ridhaa yake sikulikubali! Nadhani ni uchimvi tu...

Ulimpitia nini!?
 
Sidhani kama mwanamke aliye ajiriwa anaweza kwenda ofisini bila kuvaa chupi,wewe umesoma magazeti ya udaku yaliyoandika juu ya wanaojiita wasanii wa filamu ambao hawavai chupi.So usitudanganye kuwa ulimwona mfanyakazi mwenzako akiwa hivyo.Shame on you!

Sasa kwanini umambishia jamani?
 
yakheeeeeee kwa upande mwengine huna kosa kwani hukufanya kusudi,ila itanilazimu nije nijionee mwenyewe ili nipate kuwahakikishia wana jukwaa ukweli wa kauli yako,tunakuamini sana ila italazimu nije kuondosha utata.
 
Kutovaa Chupi kabisa si ajabu inategemea:
mf. wenye mimba wanashauriwa wasivae chupi ukifika muda fulani wa mimba.

lakini mfano vicheche: baadhi huwa hawavai chupi ili kurahisisha utendaji wa kazi zao yaani bao la kisigino. maana akibinjuka tu, kitu wavuni
 
Gals wengi hawapendi kuvaa chupi kwa madai ya joto mbona sasa wanavaa skin jeans ambazo nadhani zinabana mara 3 ya chupi...me nadhani ni mtindo wakuiga iga tu umeskia fulani havai chupi na we unasema ngoja usivae,ila unakua unajiweka katika mazingira hatarishi sana ya kupigwa chabo...ni sawa na ladies wanaovaa shanga afu hataki zionekane anakuta hana amani yani kila wakati anashusha shusha kiblauz chake mpaka unamuonea huruma
 
Huyu anajua anachofanya na ni anakuvizia wewe na as umemuwaza hadi kuandika humu bado kidogo atakunasa

Na siku uliyomwona lazima alijua amekaa vile na ukija muuliza utajua alijitayarisha umuone

Usishangae ni inakuwa kawaida siku hizi wanawake kutafuta wanaume

Unamuumiza roho hapo, we lete mbinti ofisini uone kama hataonyesha wivu kama umeoa awe rafiki tu
 
Back
Top Bottom