VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
kama vitu vina faida usihangaike kutafuta hasara zake..
kama vitu vina faida usihangaike kutafuta hasara zake..
si kuna yule baba juzi alishauri tusivae chupi.
alisema upepeo ni dawa,labda ndo watu wameanza kufuata ushauri.
Jotooo!!!
Kuna mmoja niliwahi kumuuliza siku za nyuma baada kugundua huwa havai chupi. Akasema ni kwasababu ana kinembe kirefu na kiko sensitive sana, eti chupi zinamfanya apate matatizo sana na mara ingine hata ajikojolee bila ridhaa yake...ni kweli alikuwa na kinembe kirefu lakini hili la chupi kusababisha ajikojolee pasipo ridhaa yake sikulikubali! Nadhani ni uchimvi tu...
Sidhani kama mwanamke aliye ajiriwa anaweza kwenda ofisini bila kuvaa chupi,wewe umesoma magazeti ya udaku yaliyoandika juu ya wanaojiita wasanii wa filamu ambao hawavai chupi.So usitudanganye kuwa ulimwona mfanyakazi mwenzako akiwa hivyo.Shame on you!