Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Kuna mmoja niliwahi kumuuliza siku za nyuma baada kugundua huwa havai chupi. Akasema ni kwasababu ana kinembe kirefu na kiko sensitive sana, eti chupi zinamfanya apate matatizo sana na mara ingine hata ajikojolee bila ridhaa yake...ni kweli alikuwa na kinembe kirefu lakini hili la chupi kusababisha ajikojolee pasipo ridhaa yake sikulikubali! Nadhani ni uchimvi tu...

This one takes the cake.....
 
mmmmhhhh ulijuaje??
ulimchnguza??
coz sounds like unajua kinembe chake zaidi ya aliyokwambia.....
 
heheeh dah! huyo alikuwa anakwambia kwa badi lengueji "you dont know what you are missing", wewe ulitakiwa umalizane nae hapo hapo ofisini, sasa unakuja kutafta ushauri JF, imetoka iyoo! kesho atavaa makufuli mawili tena ya kipakistani kwavile ashaona kuwa jamaa ni joka la india.
 
hahahah eti makufuli mawili...umenichekesha ujue...
 
ni kweli wapo wasiovaa chupi tena akiwa ofcn... cjui nini sababu
 
Jamani tuende taratibu, eti baada ya kuona Superman ulijisikiaje? was it impressing to do something or ? mie walah ningeanza naye, sasa napata picha ndo maana Rev Masanilo alitaka ajuzwe wapi wanafundisha ufataki?? mie huwa nikiona chupi ya demu lazima nidise !!
 
Sometimes unatufurahisha Superman, hiyo picha ya bretney spear sijui, duuuu kitu live bila chenga, ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ingekuwa enzi za ujana wangu... lazima nigeweka kioo pembe mkabala na 'ze eria', napiga zangu job huku nakula chabo tartiiiibu... na kushushia maji baridiii....
Huu mchezo umefanyika umefanyika sana enzi za shule..............
 
inawezekana ikawa hivyo? Sijamhisi huyu mdada hata siku moja kama ana tabia hizo. Ni dada ambaye kikazi yuko makini wala hana mwekeo kama ana tabia za kihuni

ndugu yangu kuna madada au mama wengi huwa wanarahisisha kazi makazini au sehem nyengine kutokana na sababu mbali mbali za kutovaa chupi.

Makazini kuna sehem mbalimbali ambazo pia hurahisisha kazi kwa kufanya kazi.

Kutofavaa chupi pia moja ya kurahisisha kazi
kama mtu mkojo umemkaa basi akiinama tu. Amerahisisha

lakini kama mkojo umembana na ile sec. Ya kuivua ile chupi tu basi inaweza pia kumpa tabu kubwa sana,

kuna njia nyengine ya kuitia chupi kingoye na na kuibana pembeni inaweza kuleta madhara makubwa kwa mchumbuano wa mfumbo wa mashine inapotoa msuguano.

Nafikiria wengine kutofaa chupi pia kutokana na msuguano wa nyama za mapaja huleta joto kali na kuleta hali ya kiwingu cha masika katika chupi hiyo.

Lakini maofisi kuna watu wana tabia njema na ukiwaona huwezi kuwafikiria ni simba mwenda kinywa lakini ndiye mla nyama.

Kutokuvaa chupi ni sawa upepo unafunguo kwa hafla na kuifunika.

Huwezi kujua ni wakati wa kupeleka files au?

mie niliye mchungaji nachangia tu maada hii na wenzangu
lakini pengine wengemuuliza huyo dada kwa nini hii khali ilikuwa hivi?
 
chupi chupi chupi vaa, chupi chupi chupi vaa...
hahahahaha...
Hii thread imenifanya nitunge wimbo. Naingia studio soon.
 
Back
Top Bottom