Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Waendelee hivyohivyo, hawa ndo wanafaa maofini
Nafikiri hata katika intavyuuu hili liwe linaangaliwa
Asiyevaa chup* apewe kipaumbele
 
Gademu!! Hii nyuzi imenipitapitaje hadi kufikia kurasa tano sijatia neno???

Mimi napenda sana chupi za wanawake aisee. Wakati niko darasa la pili nilikuwaga naiba chupi za hausigeli wetu halafu nazifanyia matusi.

Duh mapema hivyo? ok sasa mpaka sasa utakua unafanya vituko zaidi ya hivyo. LOL
 
Inategemea na nguo uliyovaa!ila kwa mchana mh!ucku nguo nyingi za kutokea hazihitaji chupi!sivaagi kbs ucku nikiwa natoka!

Kwani kwa mwanamke kutokuvaa chupi inasumbua kivipi katika hisia? maana kwa mwanaume naweza kuhisi uncomfortability fulani nyie inakuaje?
 
Kwani kwa mwanamke kutokuvaa chupi inasumbua kivipi katika hisia? maana kwa mwanaume naweza kuhisi uncomfortability fulani nyie inakuaje?

Yani haina shida kabisaaaa!very comfortable yani!sometmies ata kuvaa chupi kunaeza leta nuissance sema tu ni wajibu!ila ucku kwenye mitoko!aah!chupi hazina nafasi kwa upande wangu!
 
Hapa naanza kuwa na mashaka kama ni kulahisisha kazi na maboss! Okay lakini inategemeana upo wapi kwa joto la Dar usikute wanakwepa Joto kali hivyo kuiacha wazi kwaajili nayo ipate hewa
Mhh, teh teh angevaa pana si kuiacha wazi kabisa! May be alikuwa na kaugonjwa flani ambako kuvaa chupi anajitonesha! Au kuna mtu ofisini alikuwa akimtega na possibly ni Superman. Huuuwii
 
Salaaale! Interesting . . . . kumbe kuna sababu za kutovaa eeh . .
 
Duh hii ni kweli hata mimi nimeshuhudia madada ya ukweli kibao hayavai..nilipofanya uchunguzi yakinifu nikagundua kuwa wengi wao wanafanya hivyo kuwatega wanaume...na maumbile yanaonekana zaidi bila chupi ndo ule tentemesha inaonekana...na cyo wakiwa wamejibanabana...
 
Back
Top Bottom