Kwanini baadhi ya wanaume tunadanganya katika mapenzi?

karibu sana.
kwa nini unahisi unadanganywa? mapenzi ni game, ukiingia huko wewe cheza tu na jitahidi ku-have fun to the maximum. Usiusemee moyo wa mwenzio!
 
Jamani msaidieni huyo yamemkuta.


Kama una ushaidi kwamba unadanganywa basi ujue unawatunzia wenzio, hakuna mapenzi hapo. Labda kama amesepa mara moja kufanya sampling. Ila kama una hisi unadanganywa basi fuatilia ili upate uhakika. Hata hivyo chanzo cha kudanganywa au hisia za namna hiyo unaweza kuwa wewe mwenyewe. Juchunguze pia kwani inawezekana unamkwaza mwenzio.
 
pole sana kaka .. ila umejuaje kama unadangaywa? kwanini ubaki kama unahisi unadanganywa..
 
Kama imeisha kukutokea au kama bado haijakutokea jifunze kusamehe and move on
 
Considering experimental data men lie 4-5 times more than women. But women do everything in a more professional way, because they can be proud of having a great oratory skills.Thats why many pauses emerge in a speech and men usually fulfill it with various "hmm", "eee", etc. And women's stream of consciousness is so rapid that they doesn't need to make any breaks.
 
Back
Top Bottom