Kwani ukubwa wa makalio ni ugonjwa jamani??

Punguza kula mafuta mengi hayo ni mafuta yamejazana....ila huwa nasikia wanawake wenye makalio kama yako .....huwa wanapenda kuliw. t.g....... Maana mk.... huwa unawash. mara kwa mara kwasababu ya mafuta.
 
Wana JF,

mimi ni binti wa miaka 23, nimeolewa na nina mtoto mmoja. Kwa maumbile, sio siri nina makalio makubwa sana kiasi kwamba kila nikipita sehemu watu wote wanawake kwa wanaume hawaachi kunitazama.................mwanzoni nilikuwa naona aibu sana, lakini sasa hivi nimeshajizoelea...............I mean naona kawaida.
Juzi nilikorofishana na baba watoto, katika kujibizana maneno akanambia, .........."kwanza mwanamke gani wewe, ni presha tupu kukaa na wewe humu ndani................kama ningejua hayo makalio yatafikia hivyo, nisingekuoa..............." kwa hayo maneno nilijihisi vibaya sana na ilibidi ninyamaze kubishana................sasa naona amenichoka na ananitafutia sababu ya kuniacha...........ciju nifanyaje coz najua huu ci ugonjwa, wapo wanaonitamani!

Hi hoja siyo jokes so peleka jukwaa la uhusiano na mapenzi, nahisi huko utajibiwa vizuri
 
hivi kwanini mademu wa kibongo wanawashobokea sana mastaa au watu wenye majina makubwa!
 
Hayo makalio yalozidi kipimo hayana dili. Ni kielelezo tosha cha obesity na umri wa uzee ukifika utaipa sana tabu skeleton na muscles kusapoti hiyo minyama uzembe. Fanya diet fasta na mazoezi.
 
Ili niweze kukusaidia ushauri nitumie picha yako nijue nakutibu nini! Usifanye mzaha unaweza usiipate hii bahati tena
 
Kiukweli ****** makubwa si kivutio cha mtu mwenye kuhitaji mke, yanawavutia wapigaji tu.

Kama kuna anayebisha na ajichunguzie mwenyewe na atagundua kuwa mambo ambayo wanaume wanayashangilia mabarabarani sio wanayoyaalika nyumbani mwao.

Wanaume wanapenda kufanyia mzaha na sio kuoa ****** na ndio maana wengi wa wanawake wa namna hii wameolewa na watu wa hovyo hovyo ambao hawajatulia na mahusiano yao hayadumu.

Kwenu wakinadada mnaojiongezea ******, wanaume hawapendi ****** makubwa for real, ni ushabiki tu wa manjiani.

Mzee umemaliza kila kitu.
Wanaume tunapenda "nasty and dirty women". Lakini hatupendi wake zetu wawe hivyo.

Wanaume tunapenda kuona mwanamke alievalia kimini cha kufa mtu;nguo zenye kuonyesha wowowo;nguo zenye kuonyesha hata mistari ya pichu. Lakini wake zetu wakivaa hivyo,ni ugomvi balaa!
 
mnawapenda sana
na mnatamani wawe wake zenu
tatizo hamjiamini, mnaogopa mtanyang'anywa na wenye meno.

Mzee umemaliza kila kitu.
Wanaume tunapenda "nasty and dirty women". Lakini hatupendi wake zetu wawe hivyo.

Wanaume tunapenda kuona mwanamke alievalia kimini cha kufa mtu;nguo zenye kuonyesha wowowo;nguo zenye kuonyesha hata mistari ya pichu. Lakini wake zetu wakivaa hivyo,ni ugomvi balaa!
 
Wana JF,

mimi ni binti wa miaka 23, nimeolewa na nina mtoto mmoja. Kwa maumbile, sio siri nina makalio makubwa sana kiasi kwamba kila nikipita sehemu watu wote wanawake kwa wanaume hawaachi kunitazama.................mwanzoni nilikuwa naona aibu sana, lakini sasa hivi nimeshajizoelea...............I mean naona kawaida.

Juzi nilikorofishana na baba watoto, katika kujibizana maneno akanambia, .........."kwanza mwanamke gani wewe, ni presha tupu kukaa na wewe humu ndani................kama ningejua hayo makalio yatafikia hivyo, nisingekuoa..............." kwa hayo maneno nilijihisi vibaya sana na ilibidi ninyamaze kubishana................sasa naona amenichoka na ananitafutia sababu ya kuniacha...........ciju nifanyaje coz najua huu ci ugonjwa, wapo wanaonitamani!

ni kweli binti...wapo wengi tuu wanaoamini bei ya kondoo ukubwa wa mkia...mmojawapo mie...kama kasusa nipe mie hataki nipe mie....karibia pm nianze logistics za kummiliki ujazo wako wa nyuma.....karibu sana
 
mnawapenda sana
na mnatamani wawe wake zenu
tatizo hamjiamini, mnaogopa mtanyang'anywa na wenye meno.

Ni kweli,binadamu wa kiume hatuko kama wanyama wenzetu wa kiume. Sisi tunapenda kumonopolise mwanamke(kwa kumfanya awe mke). Hivyo hatuko tayari kuona mwanamke huyo anatamaniwa hovyo hovyo na wanaume wengine. Kwani tamaa hizo zaweza kupelekea kwenye kuchangia mke,jambo ambalo binadamu wa kiume hatuwezi kulivumilia.

Tungekua tunafuata animal instincts zetu,suala la kunyang'anywa mke na wenye meno,lisingekua ishu sana kwetu. Kwani katika dunia ya wanyama,hivyo ndio hali ilivyo. Hakuna mnyama wa kiume anaeweza kumonopolise mnyama wa kike,kwani itafika wakati mnyama mwingine wa kiume mwenye nguvu zaidi,atamshinda na kummiliki kwa muda huyo mnyama wa kike,kabla ya mzunguko haujaendelea tena.

Nani atataka kua na mke ambae mavazi na mienendo yake tu hayaonyeshi kama ni mwanamke mwenye kujiheshimu? Mavazi na mienendo ambayo itatamanisha wanaume wengine,wakati sisi tunataka kumiliki mpaka kiama?
 
Wana JF,

mimi ni binti wa miaka 23, nimeolewa na nina mtoto mmoja. Kwa maumbile, sio siri nina makalio makubwa sana kiasi kwamba kila nikipita sehemu watu wote wanawake kwa wanaume hawaachi kunitazama.................mwanzoni nilikuwa naona aibu sana, lakini sasa hivi nimeshajizoelea...............I mean naona kawaida.

Juzi nilikorofishana na baba watoto, katika kujibizana maneno akanambia, .........."kwanza mwanamke gani wewe, ni presha tupu kukaa na wewe humu ndani................kama ningejua hayo makalio yatafikia hivyo, nisingekuoa..............." kwa hayo maneno nilijihisi vibaya sana na ilibidi ninyamaze kubishana................sasa naona amenichoka na ananitafutia sababu ya kuniacha...........ciju nifanyaje coz najua huu ci ugonjwa, wapo wanaonitamani!

Kuoa mwanamke ambaye kila mtu anamtamani inataka moyo! labda jamaa awe na vigezo vya ziada lakini lazima atajihisi vibaya, manake anytime wajanja watamnyang'anya (ukichukulia mass inayokufuata, vigezo vya wanaokufuata na akili ya mwanamke ilivyo, akisifiwa kidogo basi taabu).

Cha kufanya ni wewe kumthibitishia kwa vitendo haurubuniki kirahisi, ongeza upendo kwake na kwa familia yako kwa ujumla then naye atakupenda zaidi
 
Inahitaji moyo. Hapo lazima ukitoka tu pressure inashuka na kupanda. Hapo dada yangu ndipo kaugonjwa kamapokuja kwa mwenzio kutokana na makalio yako. Ingekuwa mimi kila unakokwenda niko nawe nalinda mali zangu hadi kieleweke.

Khaaaaaaaaa! Yaani mtu uwe unamfuata mkeo kila aendapo kisa unalinda usiibiwe, kazi utafanya saa ngapi? Kweli akili ni nywele ....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom