Kwani ukubwa wa makalio ni ugonjwa jamani??

Oti Kate

Member
Dec 20, 2011
58
59
Wana JF,

mimi ni binti wa miaka 23, nimeolewa na nina mtoto mmoja. Kwa maumbile, sio siri nina makalio makubwa sana kiasi kwamba kila nikipita sehemu watu wote wanawake kwa wanaume hawaachi kunitazama.................mwanzoni nilikuwa naona aibu sana, lakini sasa hivi nimeshajizoelea...............I mean naona kawaida.

Juzi nilikorofishana na baba watoto, katika kujibizana maneno akanambia, .........."kwanza mwanamke gani wewe, ni presha tupu kukaa na wewe humu ndani................kama ningejua hayo makalio yatafikia hivyo, nisingekuoa..............." kwa hayo maneno nilijihisi vibaya sana na ilibidi ninyamaze kubishana................sasa naona amenichoka na ananitafutia sababu ya kuniacha...........ciju nifanyaje coz najua huu ci ugonjwa, wapo wanaonitamani!
 
Inahitaji moyo. Hapo lazima ukitoka tu pressure inashuka na kupanda. Hapo dada yangu ndipo kaugonjwa kamapokuja kwa mwenzio kutokana na makalio yako. Ingekuwa mimi kila unakokwenda niko nawe nalinda mali zangu hadi kieleweke.
 
Pole sana...kama hayakuwa makubwa wakati baba watoto anakufukuzia.....ni kitu gani uliyapaka au kutumia yakaanza kuumuka...Ukweli ni kwamba hata wale wanazaliwa na makalio makubwa haikubaliki kuwa umejaaliwa bali inakubalika kuwa umetumia dawa za kuyakuuza. pole sana:juggle:
 
Mzee lazima awe na wasiwasi kwani wahitaji wa makalio makubwa wameongezeka, mhakikishie usalama wakeeeeeeeeeeeee.

:A S-heart-2:
 
Pole sana dada angu,inabidi uzoee,jichukulie kawaida na wala huo si ugonjwa wala usihuzunike ukaja kuugua presha bure.
 
kama mtoto wako ni wa kike fikiria kumpiga chini baba watoto wako nitafute mimi nitakuoa nitamuadopt huyo binti yako na kutunza na nita kupatia gari ya kutembelea kuwakata ngebe hao wanaume na wanawake wanaolikatia shingo taarabu lako bibie. Thamani ya kondoo ni mkia wake bana!!!!!!
 
Wana JF,

mimi ni binti wa miaka 23, nimeolewa na nina mtoto mmoja. Kwa maumbile, sio siri nina makalio makubwa sana kiasi kwamba kila nikipita sehemu watu wote wanawake kwa wanaume hawaachi kunitazama.................mwanzoni nilikuwa naona aibu sana, lakini sasa hivi nimeshajizoelea...............I mean naona kawaida.

Juzi nilikorofishana na baba watoto, katika kujibizana maneno akanambia, .........."kwanza mwanamke gani wewe, ni presha tupu kukaa na wewe humu ndani................kama ningejua hayo makalio yatafikia hivyo, nisingekuoa..............." kwa hayo maneno nilijihisi vibaya sana na ilibidi ninyamaze kubishana................sasa naona amenichoka na ananitafutia sababu ya kuniacha...........ciju nifanyaje coz najua huu ci ugonjwa, wapo wanaonitamani!

Umemalizia vizuri sana wapo wanaokutamani ila hawakupendi kama mumeo anavyokupenda wanataka tu wakutumie waishie zao so kuwa mwangalifu na ni vyema kama umejitambua kwa hilo
 
pole sana ila kama atakuacha mm niko tayari kukuoa maana napenda sana wanawake wenye makalio makubwa sitojali unamtoto ila kama utanipenda kwa dhati....kwa hili sitaniii wewe ni PM tu utaona mwenyewe...wanaume wengine bana yaani anaona kero kwa wewe kujaliwa makalio hajui wengine ndo tunatafuta ama kweli watu tuko tofauti.
 
paaa!! paaa!!! paaaa!!!! jamaa yako hapendi mlio huu....
inaonekana shem hawezi kulitumia bolibo lako duh....ni PM tumwibie basi......
 
Duh, pole na hongera..bt is dis a gosip or a joke? Bt i insist hongera, b proud 4 hu ua.
 
Umemalizia vizuri sana wapo wanaokutamani ila hawakupendi kama mumeo anavyokupenda wanataka tu wakutumie waishie zao so kuwa mwangalifu na ni vyema kama umejitambua kwa hilo

Shine nimependa ushauri wako hata mimi nafikiri hivyo2 2.pole xana.
 
Wana JF,

mimi ni binti wa miaka 23, nimeolewa na nina mtoto mmoja. Kwa maumbile, sio siri nina makalio makubwa sana kiasi kwamba kila nikipita sehemu watu wote wanawake kwa wanaume hawaachi kunitazama.................mwanzoni nilikuwa naona aibu sana, lakini sasa hivi nimeshajizoelea...............I mean naona kawaida.

Juzi nilikorofishana na baba watoto, katika kujibizana maneno akanambia, .........."kwanza mwanamke gani wewe, ni presha tupu kukaa na wewe humu ndani................kama ningejua hayo makalio yatafikia hivyo, nisingekuoa..............." kwa hayo maneno nilijihisi vibaya sana na ilibidi ninyamaze kubishana................sasa naona amenichoka na ananitafutia sababu ya kuniacha...........ciju nifanyaje coz najua huu ci ugonjwa, wapo wanaonitamani!

Hapo kwenye nyekundu pananitia shaka. Siyo za kichinachina kweli zimekuponza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom