Kwani nani kazaliwa na Baba!!!!!

quote_icon.png
By Mungi

Anayedai fulani ni mtoto wa mama, inabidi afafanue kutujuza kuwa yeye siyo mtoto wa mama. Ina maana abba yake alilala na ng'ombe akamzaa yeye. Hata hivyo itabidi bado ataitwa mtoto wa mama japo amezaliwa na ng'ombe. Baba hawezi kuzaa bila mama, kadhalika mama hawezi kuzaa bila baba.

KISWAHILI NI ZAIDI NA VILE UNAVYOKIFAHAMU
 
Kuna mtu leo amemtukana mtu, amemwambia we mtoto wa Baba nini!! sasa sijui naye anamaanisha nini!! Duh!
 
Back
Top Bottom