kwani lazima????

hujui kutongozana kwa kidhungu ni swaga?

Afu laa kama nini.

Ngumbaru yangu nikaitestie wapi wapendwa?

Wanakera sana hawa watu Charm,
Halafu ukute ndo kasoma kidogo,un'geng'e anapapasapapasa,
basi ni 'dear,honey,swir,ok,yeah'
yote ya nini?
Kwendeni kule,
tena bora hata ningekupa namba yangu,
umemfata rafik yangu ndo kakupa.
Yani Inakerajee...!!!
 
hujui kutongozana kwa kidhungu ni swaga?

Afu laa kama nini.

Ngumbaru yangu nikaitestie wapi wapendwa?

Yani Kongosho sio swala la ung'eng'e wala nini,
ni Globlztion inawasumbua tu hao.
Halafu ukute mtu mwenyewe huo ung'eng'e kaukariri toka kwa mtu flani,basi ukitoka nje ya mada tu,Umemuacha..!!!
Yani unaweza jifungua bila miezi 9 kutimia.
Ila yote kwa yote si tabia ya kupendeza.
 
Last edited by a moderator:
Wanakera sana hawa watu Charm,
Halafu ukute ndo kasoma kidogo,un'geng'e anapapasapapasa,
basi ni 'dear,honey,swir,ok,yeah'
yote ya nini?
Kwendeni kule,
tena bora hata ningekupa namba yangu,
umemfata rafik yangu ndo kakupa.
Yani Inakerajee...!!!

yan wanabore square,limtu linakuita hayo majina utadhan we mkewe. . . cpend tena cpend!
 
Ala siuachane nae wa nini sasa wd hivyo.

issue co kuachana mamkwe Mamndenyi, issue ni kwamba kapata na. yako kupitia mtu mwngne/ umempa kwa nia njema. bt ye anaitumia kukutongoza kwa kukung'ang'aniza. mbaya zaidi unamwambia mie hapana bt kila kukicha haachi kutext na kupiga hata kama hajibiwi sms na cm hapokei lakn hakomi. . . ni kusumbua tu kwa kwenda mbele cjui anadhan ipo cku utakubali. . . .
 
Last edited by a moderator:
Lol, mtoto ana balaa huyu, lol.

issue co kuachana mamkwe Mamndenyi, issue ni kwamba kapata na. yako kupitia mtu mwngne/ umempa kwa nia njema. bt ye anaitumia kukutongoza kwa kukung'ang'aniza. mbaya zaidi unamwambia mie hapana bt kila kukicha haachi kutext na kupiga hata kama hajibiwi sms na cm hapokei lakn hakomi. . . ni kusumbua tu kwa kwenda mbele cjui anadhan ipo cku utakubali. . . .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom