Kongosho ndugu yangu hao hao unaowapa no. ni watu unaohusiana nao kikaz. afu smtime huez mnyima na.mtu kwan co wote wenye nia mbaya. . . mf.kaja mteja mkanegotiate mpk mkamaliza thn akakuomba no.for further action utamnyima?
unapisha na rizki,alafu baadae ooh Mungu anioni...
Si nasikia huwa mnadai eti kutongozwa raha?
rizki mbna zipo mpk twatafta mahal pa kupunguzia?
ha,ha,ha..... Bishanga usinivunje mbavu we unatafuta charminglady akulimboka,mi sikusaidii,chezea hasira za wakurya wee,...akanyasi karokuziga mazi kaikara kainamile,shauli yako ngoja nikae pembeni
pole ruhazwe me mjita. . . hatuna hasira hta kdg
Jita ladies are caregous! Thats what i can say.pole ruhazwe me mjita. . . hatuna hasira hta kdg
how can you judge yourself?,but anyways what i know jita are so sweet and clever.congrats for being jita
no comment!
haya bana
Tena shost ndo ukute mdada mwenyewe 'Mashallah',
Basi utakoma,
mpaka usiku mnene unasumbuliwa.
HULALI..!!??
Kazi kupiga simu na ku-text,
Ukiona mtu ha-reply chochote ktk simu yako,jiulize EBO...!!!
Nna hasira Maana mijitu hii imejaa Mtaani kwetu.
Na sijui wanapataga wapi namba zetu.
SAMAHANI JAMANI SIJAMLENGA MTU YEYOTE
NI HASIRA TU
MSININUKUU VIBAYA
yan mamie inabore kweli! mtu haelewi somo