kwani lazima????

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
za weekend wana CC? me pouwa kbsa ndan ya bandari ya salama.
jaman kuna watu wanabore kweli ni wasumbu square! mf. unamtext mtu afu hajibu kwanini unaendelea?
unampigia cm hapokei / anakata kwann unaendelea kupiga. cpend tena cpend, some time huwa nachoka kuongea ama kuandika sms!
ifike mahali watu wanielewe wajameni!!!!!
 
mmmh!...tumekusoma mama,kumbe sometimes huwa unajaziba hivyo,tusamehe bure kama maandiko yatakavyo tusamehane
 
ndio umeamua umuanike hapa?...ndio kanipigia not long kulalamika ati kuna mtu hajib sms zake wala hapokei simu!...
pole icho kiraka ulichopata kimekamata....RUBA
 
Huyo mwanaume ni kwamba hakutaki. Sasa kwanini uendelee kum'DIPU DIPU. Ujue ana mkewe na watoto nyumbani, kwa ufupi analea
!
 
hiyo tabia hata mimi sipendi, ila kama hutaki mtu akutext si umwambie? ukikaa tu kimya anaweza hisi labda unaumwa au uko busy so ataendelea kukutafuta, tatizo letu sie waafrika hatuwezi kumwambia mtu ukweli.
 
good!...jibu zuri sana,nilitaka kujibu hiv lakin nilichelewa kujua mleta mada alikua ana maana gan,ukizingatia hapa ni chitchat,ingekua kule kwenye habari na hoja ningejibu fastar hivi.mfano mi huwa nakawaida ya kumuweka mtu wazi,kua ananisumbua na kuninyima raha duniani na kuniongezea karaha,akizid huwa namblock au kumjibu mkato mfano OK au YES au STAY TUNE, au LOADING,lakni pengine kama ni salamu hamna shaka kwan salamu haigombi,..
 
lakini kwa nini namba yako iwe hadharani kama ya voda huduma kwa wateja??

Mdada staha hata namba ya simu lol
toa namba kwa mambo ya kikazi na watu muhimu si matongozo.

Haya unampa mtu namba ya simu unategemea nini???

Balaa zingine twajitakia, Bishanga kupata namba yangu tu ya simu alipika pilau kwake.
 
Last edited by a moderator:
ndio umeamua umuanike hapa?...ndio kanipigia not long kulalamika ati kuna mtu hajib sms zake wala hapokei simu!...
pole icho kiraka ulichopata kimekamata....RUBA

mwambie aache jaman,mbna hasomi alama za nyakat?????
 
lakini kwa nini namba yako iwe hadharani kama ya voda huduma kwa wateja??

Mdada staha hata namba ya simu lol
toa namba kwa mambo ya kikazi na watu muhimu si matongozo.

Haya unampa mtu namba ya simu unategemea nini???

Balaa zingine twajitakia, Bishanga kupata namba yangu tu ya simu alipika pilau kwake.

teh,teh,teh....kama namuona Bishanga vile,pale nyumban kwake kwa mtogole....ha,ha,ha
 
Last edited by a moderator:
hiyo tabia hata mimi sipendi, ila kama hutaki mtu akutext si umwambie? ukikaa tu kimya anaweza hisi labda unaumwa au uko busy so ataendelea kukutafuta, tatizo letu sie waafrika hatuwezi kumwambia mtu ukweli.

yan nshamwambia bt hakomi tu!
 
good!...jibu zuri sana,nilitaka kujibu hiv lakin nilichelewa kujua mleta mada alikua ana maana gan,ukizingatia hapa ni chitchat,ingekua kule kwenye habari na hoja ningejibu fastar hivi.mfano mi huwa nakawaida ya kumuweka mtu wazi,kua ananisumbua na kuninyima raha duniani na kuniongezea karaha,akizid huwa namblock au kumjibu mkato mfano OK au YES au STAY TUNE, au LOADING,lakni pengine kama ni salamu hamna shaka kwan salamu haigombi,..

kwan lazma kusalimianaa!
 
Kongosho ndugu yangu hao hao unaowapa no. ni watu unaohusiana nao kikaz. afu smtime huez mnyima na.mtu kwan co wote wenye nia mbaya. . . mf.kaja mteja mkanegotiate mpk mkamaliza thn akakuomba no.for further action utamnyima?
 
Last edited by a moderator:
lakini kwa nini namba yako iwe hadharani kama ya voda huduma kwa wateja??

Mdada staha hata namba ya simu lol
toa namba kwa mambo ya kikazi na watu muhimu si matongozo.

Haya unampa mtu namba ya simu unategemea nini???

Balaa zingine twajitakia, Bishanga kupata namba yangu tu ya simu alipika pilau kwake.
We Kongosho wewe,unajishaua sio? Aliyeanza kuomba namba ya mwenzie nani,sio wewe?
Halafu nshakushtukia wewe ndo umem report abuse Asprin,tabia mbaya! Hivi ulitaka akulambe wewe tu,ili iweje? Unadhani vi spring chicken havioni,we kibibi wa kazi gani,fom fo yenyewe ulimaliza 1972.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom