Kwa ufipi hakuna Great Thinker anayeweza kuunga mkono ujinga wowote unaotaka kuioshha CCM na serikali yake. Great Thinkers lazima maoni yake yawatetee walio wengi sio Mafisadi. Mtoa maada hutaweza kuiosha CCM wala serikali kwa post yoyote mimi nitakuwa wa kwanza kukumaliza.