Kwani kuwa "Great Thinker" Inamaanisha Kuwa Mpinzani?

Evidence JF comments kila pahala: Mara nyingi mtu akipost comment au topic inayoonekana kuizungumzia serikali au mmoja wao (wa sasa au wazamani) positively comments zimekua zikirushwa kwamba si pahala pake (si jukwaa la kusafisha chama au hao). Najiuliza, conventionally au hata radically, fikira zilizotukuka ni lazima zisapoti hoja inayopinga serkali/chama/fisadi au kama kuna kitu positive anaweza kiibua na kutoa analysis, na iheshmiwe as long as ni mawazo yake.

Vinginevo tuache kuiiita forum za great thinkers iwe ya great political oppositionists!!! Hili ni ANGALIZO na si kusapoti uovu au kusafisha. Nasapoti fikra si unguided, induced venomenous negativity! This way tutawaondoa wapayukaji na wapigadebe walioacha vichwa chooni na kuingia hapa na shingo pekeake!

Great thinker nafikiri haina uhusiano na kupinga kitu au kukubali. Linalo fahamika haraka ni kua, great thinker ni mtu yoyote mwenye uwezo wa kuliangalia jambo na akalitolea ufafanuzi wa maana unaoambatana na ushahidi wa anachosema. Wakati mwingine ni njia iliyotumika ktk kupinga kitu au kukubali swala fulani. Kuna wale wanaoona kua kuna masharti fulani great thinker ni lazima awe nayo kama vile kiwango fulani cha elimu na kipanyi ambacho ni cha kawaida "natural" ktk kuanalayse mambo. Kwa kuangalia hali halisi ilivyo sasa dunian kwa ujumla ni ngumu kujua ni nani great thinker kwa kua kila mmoja anapojadili kitu tayari ameshajichagulia kua upande gani anasupport, sasa unaweza ukamuona mtu ana akili sana lakin anashabikia kitu ambacho hakina maana kwa kua ndio anachokipenda au kwa sababu anazozijua mwenyewe.

Ni lazima tuwe wakweli kua great thinker ni wachache sana ktk wakati wetu kwakua wamekubali kutotumia akili zao kama ipasavyo na kuangalia maslahi.
 
Of course tangu zamani, and infact in its essence, great thinking ni kufikiria beyond what exists, and that is what kutofautiana.. maana wengine wana mawazo mgando mpaka wakubali mawazo mapya mpaka uwakate shingo. so kutofautiana ni lazima. ISHU ni pale judgement ya whether wewe ni great ktk thinking inakua kwa kuwa tu unasapoti mtazamo/mrengo flani, na si kuzingatia kuwa unachoweka mbele kwa mjadala kimetumia brain. Kila mtu anafikiri, lakini haikufanyi great thinker eti tu kwa kuwa umetoa data ambazo tunazijua wote, pengine umeziokota bar!! SO IS MY QUESTION, WHETHER SOME JF MEMBERS KNOW WHAT THEY MEAN WHEN THEY DISMISS SOME ARGUMENTS WITH A CHEAP ONE THAT "JF is home of great thinkers"! tHEN START THINKING AND STOP THICKENING!

just because you support CDM or CCM or Fisadiz doesn't make you one. it is the sustance you put into what

Great thinker nafikiri haina uhusiano na kupinga kitu au kukubali. Linalo fahamika haraka ni kua, great thinker ni mtu yoyote mwenye uwezo wa kuliangalia jambo na akalitolea ufafanuzi wa maana unaoambatana na ushahidi wa anachosema. Wakati mwingine ni njia iliyotumika ktk kupinga kitu au kukubali swala fulani. Kuna wale wanaoona kua kuna masharti fulani great thinker ni lazima awe nayo kama vile kiwango fulani cha elimu na kipanyi ambacho ni cha kawaida "natural" ktk kuanalayse mambo. Kwa kuangalia hali halisi ilivyo sasa dunian kwa ujumla ni ngumu kujua ni nani great thinker kwa kua kila mmoja anapojadili kitu tayari ameshajichagulia kua upande gani anasupport, sasa unaweza ukamuona mtu ana akili sana lakin anashabikia kitu ambacho hakina maana kwa kua ndio anachokipenda au kwa sababu anazozijua mwenyewe.

Ni lazima tuwe wakweli kua great thinker ni wachache sana ktk wakati wetu kwakua wamekubali kutotumia akili zao kama ipasavyo na kuangalia maslahi.
 
Elifasi, hapa tunajadili siasa na mambo muhimu yanaoigusa jamii yetu, ushabiki wa kisiasa utakuwepo tu hilo halikwepeki, pumba pia zitakuwapo, kumbuka tumetoka maeneo tofauti na kila mtu ana mtazamo wake binafsi, wewe ukiona kero kwenye topic fulani jaribu kuitolea ufafanuzi wa kina ili kumuelemisha muhisika, hii kuwa great thinker haina mantiki yoyote kinachotakiwa ujumbe ufike panapohusika. JF members they know what they say, remember that majority of participants are average Tanzanians who are struggling with poor economic conditions, stop pretending grow up:A S 20:
 
Ni kwamba sijakwelewa au unajichanganya? Kama hili ni jukwaa la busara na pumba, it means everything goes, right? as long as una uwezo wa kutype maneno. so WHY DO I NEED TO STOP PRETENDING AND GROW UP? why dont you grow up as well and see my point as part of either busara au pumba znazostahili kuwa posted? This is one of the hoja kama zilivo zngine unazoelekea kushauri kuwe na TOLERANCE CHAMA angu! OTHERWISE, jijaribishe kuelewa argument!

Back
Top Bottom