Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,755
- 107,104
I must confess that nilikua sijui kama kuna rapper anaitwa Lil Durk, But I'm a big fan of Jermaine Cole (J Cole) so involvement ya J Cole kwenye huu wimbo ndio umefanya niupende sana na beti yake kaua kinoma noma.
Wimbo umekua national anthem ya dunia zima Beat kali flow za kibabe za Cole zilizoshiba facts nyingi zinazohusu jinsi Vijana weusi hasa Rapper wa USA wanavyouana wao kwa wao.
Lil Durk Ft J Cole _ All My life
Ni moja kati ya nyimbo nilizozisikiliza zaidi mwaka huu ukiondoa za 2Pac.
Naweza kusema world wide huu ndio wimbo bora wa mwaka 2023
View: https://youtu.be/Z4N8lzKNfy4?si=N7Q5ZRw3nj-8FkvW