Kwakweli hivi vitu vinakera!!!sijui wewe!

Halafu km kitu kinakukera dawa yake ni kukipotezea tu then hapo utakuwa na amani kuliko kukifuatilia sanaaaaa
 
Wewe kinacho kuwasha nini hapo?nenda ka msaidie mkeo kupaka wanja uko,yako yanakushinda kazi kufata ya watu t@ko wee,Mx
 
Hivi binadamu wa kawaida unapata wapi muda??kuandika ulichokiandika na mwisho ukakumbuka kuweka neno,MIA,MX,NALOG OFF!!Kwa ninavyojua siyo kwamba umetengeneza kama sign yako bali nilazima uandike kila unapoposit bandiko lolote!!Je hamuoni usumbufu??Kazi mnayo labda ni barehe mtaacha!mkikua!

KakaKiiza ni hivi kila mtu anatafuta heshima jukwaani u kutambulika kirahisi jukwaani kwa upekee na siyo uniformity. Assume watu wasingekuwa na kuweka avator katika ID zao bila ya shaka ingebore kidogo.

Hivyo ni swaga tu wala usikuchanganye na kuwaona hawana la kufanya au wana muda wa kutosha kila anapo post kuweka mia, nalog off n.k

Siyo hilo tu naomba hata hizi ID zetu zenye majina ya ajabu ajabu nazo uzichukulie kama namna ya pekee ya kujitofautisha na hatimaye kugain simple populality.

Nikuope mfano hebu mtu ajiite K.U.M.A au M.B.O kama ID yake nadhani italalamikiwa sana na watu na kwa muda mchache ambao ID haitaadilshwa atakuwa popular kwa kufanya kile wengine wasichokiweza kukufinya kwa sababu mbali mbali ustaarabu ukiwemo.
 
Umesomeka kaka,Mx
 
Hivi binadamu wa kawaida unapata wapi muda??kuandika ulichokiandika na mwisho ukakumbuka kuweka neno,MIA,MX,NALOG OFF!!Kwa ninavyojua siyo kwamba umetengeneza kama sign yako bali nilazima uandike kila unapoposit bandiko lolote!!Je hamuoni usumbufu??Kazi mnayo labda ni barehe mtaacha!mkikua!

wivu mbaya sana.
Na wewe tafuta style yako utoke nayo.
Sawasawa?
 
Hivi binadamu wa kawaida unapata wapi muda??kuandika ulichokiandika na mwisho ukakumbuka kuweka neno,MIA,MX,NALOG OFF!!Kwa ninavyojua siyo kwamba umetengeneza kama sign yako bali nilazima uandike kila unapoposit bandiko lolote!!Je hamuoni usumbufu??Kazi mnayo labda ni barehe mtaacha!mkikua!

Barehe!! Ha ha ha ha haaaaaaa!!
 
Wewe kinacho kuwasha nini hapo?nenda ka msaidie mkeo kupaka wanja uko,yako yanakushinda kazi kufata ya watu t@ko wee,Mx
Unaendeleza ubwege wako unadhani hapa ni sehemu yakuchukulia umaarufu kenge wa blue!
 
bila shaka wao hawaoni kero ndio maana wanarudiarudia kuandika ila kwa msomaji kwa kweli inakera! kama ulivyosema ni utoto tu wakikua wataacha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom