Kwakweli hivi vitu vinakera!!!sijui wewe!

bila shaka wao hawaoni kero ndio maana wanarudiarudia kuandika ila kwa msomaji kwa kweli inakera! kama ulivyosema ni utoto tu wakikua wataacha!
Yani nikama mtu mzima kuvaa mlegezo!!ndo mithili ya hawa kupe!
 
Hapana DA nikweli vitu vingine nikero!

Oder plz my fellow Jf Membars ! That's a minor issue ! For all means sisi tupo hapa kijijini Jf our population is abt 60,000.
Hatuwezi tukafanana mienendo, mitazamo, silka e.t.c
Kikubwa tuvumiliane, haitakua rahisi sana linalowakera baadhi ya membars na hilohilo likawa linapendwa na baadhi ya membars likatunyima usingizi.
Niwaache kwa nasaha kua issue ndogo kama hii ni vumilianeni.
 
Yeah ilike your comment on this topic!mtizamo wangu usikukere wewe as longer nimefikisha ujumbe wangu kwenye jukwaa husika!ukiona haikuhusu pita nanjia zako maadamu ujumbe nimefikisha nakama muhusika ukae ukijua kunawatu wanakeleka na vitu kama hizo!!Mfano mdogo ni kwa wafuga rasta kuna watu kwa mitazamo chanya wanajua wote wenye lasita ni wahuni wa kijiweni!wavuta bangi ,etc.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom