mashambani kwao
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 370
- 56
pamoja na hayo wazee lazima wawepo ili kutuliza pressure za vijana chukulia darasani mkiwa wanafunzi wa umri mmoja hakuna wa kumtuliza mwenzake basi hata kwenye maendeleo ni hivyo mkuu,fikiria nchi kama Italia wao wana aminikuwa mchezaji mzuri ambaye ni bora lazima awe na miaka kuanzia ishirini na nane na kuendelea pia ukiona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi,mimi mwenyewe ni kijana lakini namtamani sana angekuwepo mzee Nyerere,angalia jana,leo ikulu wanaishi kambale.