Kwakuwa kizazi chetu kimeshindwa... Tuwekeze katika kizazi kijacho!

pamoja na hayo wazee lazima wawepo ili kutuliza pressure za vijana chukulia darasani mkiwa wanafunzi wa umri mmoja hakuna wa kumtuliza mwenzake basi hata kwenye maendeleo ni hivyo mkuu,fikiria nchi kama Italia wao wana aminikuwa mchezaji mzuri ambaye ni bora lazima awe na miaka kuanzia ishirini na nane na kuendelea pia ukiona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi,mimi mwenyewe ni kijana lakini namtamani sana angekuwepo mzee Nyerere,angalia jana,leo ikulu wanaishi kambale.
 
Haya ndio majambazi tanzania.yanaishia kuvalishana mataji na huko yamekaa chini ya vibanda vya nyasi.eti ndio nyumba za watanzania wanaowaongoza.wanaowaongoza?
 
Haya ndio majambazi tanzania.yanaishia kuvalishana mataji na huko yamekaa chini ya vibanda vya nyasi.eti ndio nyumba za watanzania wanaowaongoza.wanaowaongoza?

hiki kizazi kipite upesi tuendelee, wachache wenye moyo wanarudishwa nyuma na hawa waliokula kiapo
 
kwa taarifa yako vijana ndo wanayoipa ushindi ccm kila uchaguzi kwa sababu hawapigi kura. Vizee na vibibi ndo hupiga kura siku zote. Kura wanazopata wapinzanii sanasana ni za watu walika la lati wenyeuelewa wa mambo, vijana mzaha mwingi na hawaoni hasara ya kutopiga kura.

Siku ya uchaguzi wa mwaka jana nilikasilika sana nilipokuwa ninapita kwenye vijiwe na kukuta vijana wamekaa tu wakisikiliza bongo flava huku mistari mirefu ya akina mama na wazee ndo ilikuwa inaonekana.

Vijana wengi hujaa kwenye mikutano ya kampeni na wako tayari kumbeba hata mgombea lakini siku ya kura ndo hao na safari zao kuelekea kwenye vijiwe na Kata K zao. Sababu kubwa inaonyesha tunakundi kubwa la vijana ambao ni mbumbu wasiojua umuhimu wa kupiga kura. Hii inakera sana maana pamoja na kuwa ndo kundi kubwa katika jamii yetu lakini ndiyo jalina time na kupiga kura na ccm huwa hawahangaiki sana na kundi hili maana impact yake ni ndogo. Ccm huhakikisha wanawateka wananwake na wazee maana ndo reliable voters.
Kama tunataka ushindi lazima vijana watambue umuhimu wa kura yao.
 
Namuomba Mungu akipukutishe kizazi cha 1900 hadi 1975 kipite ili Tanzania ipate mabadiliko.

Nasema hivyo kwa sababu kizazi hiki KILIAPA kwa mioyo yao yote kwa Mwenyezi Mungu, walisema

...Naapa, naapa, mbele za Mungu CCM nitakulinda mpaka kufaaaaa,
...Naapa, naapa, mbele za Mungu Mapinduzi nitakulinda mpaka kufaaa...

Kwa kiapo kile nina hakika mabadiliko ya kweli yatakuja kizazi hicho kitakapokwisha choote

Katika mambo yote nchi inayopitia bado kizazi hiki kimeendelea kushika kiapo chake, laana ya kiapo kile haitawaisha
Mwenyezi angesikia dua yangu Kizazi hiki angekipukutisha haraka iwezekanavyo ili tuendelee.

kumbukumbu zangu znaonyesha CCM imezaliwa 1977 au nakosea?
 
Kote tulikoshindwa ni matokeo ya uzembe wa hao unaowaita vijana, tuseme wale wa kuanzia miaka ya 1980. Sasa tutaendeleaje kuwategemea nyie wachovu nyie? Mara utasikia hawakuwa na vitambulisho vya mpiga kura, mara hawakuona majina yao kwenye daftari la mpiga kura, mara utasikia wale walioaminiwa na kupewa uwakala walipokea mlungula wa Tsh. 5,000/=. Sasa saa ngapi nyie wachovu mtatuvusha nyie?

Tafuta sababu nyingine hiyo imechemsha!!
 
Namuomba Mungu akipukutishe kizazi cha 1900 hadi 1975 kipite ili Tanzania ipate mabadiliko.

Nasema hivyo kwa sababu kizazi hiki KILIAPA kwa mioyo yao yote kwa Mwenyezi Mungu, walisema

...Naapa, naapa, mbele za Mungu CCM nitakulinda mpaka kufaaaaa,
...Naapa, naapa, mbele za Mungu Mapinduzi nitakulinda mpaka kufaaa...

Kwa kiapo kile nina hakika mabadiliko ya kweli yatakuja kizazi hicho kitakapokwisha choote

Katika mambo yote nchi inayopitia bado kizazi hiki kimeendelea kushika kiapo chake, laana ya kiapo kile haitawaisha
Mwenyezi angesikia dua yangu Kizazi hiki angekipukutisha haraka iwezekanavyo ili tuendelee.

Wangapi waliozaliwa baada 1975 waliokwisha tangulia? au una uhakika wa wewe kuwa hai kama upendavyo? usikufuru, kazi ya kuhuisha na kufisha ni ya mmoja tu, tusimuingilie.

Kuna Mzee Mmoja alitangaza (UDSM kwenye mdahalo wa katiba mpya) hafi mpaka aone kifo cha CCM, hakumaliza wiki toka alivyosema, tusiingize haya mambo kwenye siasa.
 
Not so fast mkuu,we still need their experience..If we can filter the shortcomings and grab the virtue and wealth of experience,all is well.
 
'What you learn from failure....is a failure Itself'---Mtulutumbi
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom