Kwako marehemu baba wa taifa mwl. JK Nyerere

halafu kuna hii style ya kucheza inaita kiduku..CCM wanaicheza vizuri sana baba na wameshinda tuzo nyingi kwa hii style......
 
Baba wamekueleza karibia yooote, ila wamesahau kukwambia kuwa, baadhi ya watuhumiwa wa EPA wamekula mvua tano. Wamesahau kabisa adhabu yako ya viboko 24, yaani 12 wakati anaingia ili wamsodome vizuri, na 12 wakati anatoka akamuonyeshe mkewe.
baba kuna mchungaji mstaafu ameibuka huko samunge,mawaziri wote wameenda kupiga kikombe!!huenda angeibuka miaka ile ya 99 hadi leo na wewe ungekuwepo unadunda!!!!
 
Chuo kikubwa kimeanzishwa kinaitwa Chuo Kikuu cha Dodoma. Lililkuwa wazo lako baba
 
kwako marehemu baba wa taifa,natumaini umepunzika kwa amani hakika nataka kukujuza maajabu mengi yaliyotokea tz toka uaage dunia;


  1. Kepten john komba amekuwa mbunge lakini kazi yake ni kusinzia tu bungeni
  2. Lowasa alipata uwaziri mkuu
  3. CCM imekuwa kichaka cha mafisadi
  4. Chama Chako kimejaa magamba tu
  5. Raisi wa nchi hajui kwa nini watu wake ni maskini
  6. Madini ambayo uligoma yasichimbwe mpaka watu wako watakapokuwa na uwezo,leo yanachimbwa na wananchi wanauwawa kwa risasi wakipinga unyonyaji lakini serikali inawaita wavamizi.
  7. Magari ya ikulu yanachakachuliwa mafuta
  8. Mafisadi wanaitwa mashujaa
  9. Uongozi unapatikana kwa kuwa na pesa badala ya uwezo wa mtu
  10. Kilimo kimekuwa ni siasa tu watu wanakufa na njaa
  11. Kiongozi mkuu wa nchi (mkuu wa kaya) anahubiri udini
  12. Semina elekezi kwa mawaziri zakutosha pamoja ya kuwa wanakutana kwenye vikao vya baraza la mawaziri
  13. Yusuph makamba alishika nafasi ya katibu mkuu CCM
  14. UVCCM sio kisima cha fikra tena imegeuka kijiwe cha kahawa

Hakika baba wa taifa maajabu mengi yametokea,haya ni baadhi tu utayapata mengi leo hii, kwa sababu toka uondoke tz ya leo sio ile ambayo uliiacha au ile ulipenda iwe,tz ya leo pengo kati ya maskini na tajiri limekuwa kubwa mnno,mpaka sasa hakuna hatua zzte madhubuti za kupunguza umaskini wa watz zaidi ya usanii,upatapo walaka huu naomba utunusuru na hili ombwe la uongozi katika tz yetu yenye neema.Mungu ibariki tz na watu wake.


Hapo kwenye red, mkuu umenichekesha sana. kuna avatar fulani nadhani inathibitisha
 
halafu kuna hii style ya kucheza inaita kiduku..CCM wanaicheza vizuri sana baba na wameshinda tuzo nyingi kwa hii style......
hahahha umenichekesha sana aiseee! nikikumbuka NAPE ni pic zake duuu!
 
27.Usalama wa taifa imekuwa NGO ya CCM

28.Tofauti na enzi zako,leo watoto wa viongozi ndo watendaji wakuu wa chama
 
31. Baba viwanja vya wazi vyot wameuza, juzi juzi tu walitaka wakiuze na kile kilichopo pale mbele ya nyumba yako msasani
 
32. Nilitaka kusahau baba, watoto wako wanahama ccm sasa, wanahamia upinzani, mmoja sasa ni mbunge kupitia upinzani
 
17.Rais anaonekana anakula raha kwenye bembea,huku anasema wengine wafunge mikanda,ye wakwake analegeza.
 
33. Deni la wastaafu Afrika Mashariki limekuwa kama godoro la Tanfoam, "Alidai babu, hadi mjukuu hajalipwa."
 
30. Baba ikulu wanataka kwenda watu walioiba wake za watu

Rais wa nchi ananyumba ndogo nyingi, sasa kaamua kuzaa na kitoto mithiri ya kijukuu chake!

Baba naomba ni kutajie mademu wa rais wetu
1.mtoto wa zakia meghi
2.mtoto wa mwizi mwenzie rostam
3 mtoto wa asas pale iringa
4. vick kamata
5.betty mkwasa
 
Back
Top Bottom