Kwa Yaliyotokea Meru na Igunga Mwigulu Una Nini cha Kujifunza?

Kingcobra

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,000
309
Kama sikosei Campain Manager wa chaguzi ndogo za Majimbo ya Meru na Igunga kwa chama cha mapinduzi alikuwa Mchumi Nambari wanu wa Dunia Bw. Mwigulu Mchemba. Je, kwa hali ilivyotokea katika majimbo yote, una chochote ulichojifunza unachoweza kutushirikisha?
 
Kazi anayo wasubiri moto wa M4C, walituzidi kama kura 2000 hivi wakati huo hatukuwa hata na tawi uko sasa hivi tuko vizuri kule lazima tupige kitu cha Arumeru.
 
Mchumi gani aliyepewa mtaji mara 2 (igunga na arumeru) biashara zote hazijazalisha ajilize yeye namba 1 ama 0?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Huyo ni mzizi namba1 sio mchumi namba1,. Na damu za watu aliowasabishia kifo zinamlilia mwigulu,. Mwigulu unalaana
 
kauli mbiu "hakuna kulala mpaka kieleweke" CDM tutamshinda mwigulu kwa kishindo
 
Sijui huyu Mwigulu atajichimbia wapi maana amewangusha magamba wote ambao walimuamini kuwa ni mchumi No one
 
Mh.Lameck Mkumbo ndio jina lake nadhani kama vitabu vya shule ya msingi vinavyoonyesha wakuu ila baada ya kurudia darasa ndo Nchemba likapatikana au wadau mmesahau hiyo scandle ya mchumi wetu first class?
 
Aiseeee baba yangu wale wake wa magamba hawajatowa kauli,,mi nadhani hawata simamisha mgombea

leo napata mbege mpaka asubui
 
Kama sikosei Campain Manager wa chaguzi ndogo za Majimbo ya Meru na Igunga kwa chama cha mapinduzi alikuwa Mchumi Nambari wanu wa Dunia Bw. Mwigulu Mchemba. Je, kwa hali ilivyotokea katika majimbo yote, una chochote ulichojifunza unachoweza kutushirikisha?

Umesema vema, namba wanu, ingekuwa namba one (wani) ningekupinga. Huyu jamaa analaana sana. Wale watu aliowasababishia kifo na kumwagiwa tondikali akaitubu, akumbuke Mwenyezi Mungu si Mkama au mkapa au kikwete au lusinde.
Mwigulu damu zinakulilia hizo.
 
Mh.Lameck Mkumbo ndio jina lake nadhani kama vitabu vya shule ya msingi vinavyoonyesha wakuu ila baada ya kurudia darasa ndo Nchemba likapatikana au wadau mmesahau hiyo scandle ya mchumi wetu first class?

Kumbe vyeti vya kuunga unga na sijua kama sup na repeat course kama hazikumpitia i was wondering mbona huwa hoja zake anavyopresent utajua tu ni ileile same level of thinking ya magamba. Dah jamaa alikariri darasa primary?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ccm na mwigulu wake wote ni vipofu na vipofu wakiongozana hudumbukia shimoni
 
si kila tikiti maji lina seeds zenye ubora wa kupanda katika msimu unaofuata.mchemba na wana ccm wajifunze kwamba watu wanataka mabadiliko na siyo kulazimisha kutawaliwa na ccm kwa ahadi lukuki zisizo na mshiko.waanze kupeleka mahindi ya msaada mara nyingine na mkuu wa wilaya aanze kuhamisha maendeleo ya vijiji ili wakati wa election asijaribu kuharibu furaha yetu.
Mungu aliyepasua bahari ya shamu kwa fimbo ya Musa na sasa atapasua bahari ya mafisadi inayojaribu kuzuia mabadiliko ya tz kuelekea kwenye neema ya kufaidi rasilimali
 
Back
Top Bottom