Kwa wenye huruma

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Wana jf mimi nikijana mwenye umri wa miaka 19 nimeshindwa kuendelea na masomo yangu ya sekondari toka mwaka jana kwa sababu ya uduni wa maisha katika familia yetu, nahitaji sana kusoma lakini sina namna, nimekomea kidato cha kwanza ila nilijaribu kufanya vibarua lakini jitihada zangu zimeshindwa kuzaa matunda, mwenye kujali, kuguswa, huruma na hli plz naomba anisaidie katika hli ukinisaidia mimi hakika umemsaidia mtoto wako, mdogo wako au vingnevyo

Ahsanteni kwa ushikamano wenu.
 
Shule gani ,mkoa gani contact yako

Ndg yangu

nilikuwa nasoma shule ya sekondari shinyanga, lakini kwa sasa niko Arusha mawasiliano yangu nitafute kupitia 0685234854 utakuwa umenipata. Ahsante
 
Pole kwa matatizo yaliyo kukumba ilopo ni kumkabidhi Mungu shida zako na kuomba sana kwani kwake yeye hakuna litakalomshinda
 
Back
Top Bottom