Kwa wazoefu wa online application

CB227

Member
Apr 12, 2011
43
5
wapendwa nilijaza onlinejobapp form ilikuwa ikihitaji majina 3 ,basically natumia majina mawili so nikajaza 1st name & last name other name nikaandika abbreviation ya first name,wakaniita kwenye wrttn ,kulikuwa na 4m ya kujaza jina no ya mtihani na signature bt due to time i writted only 2 name i was further selected 4 oral interview and now iam worrrying kama wakiliconcile jina la kwenye online app form na kwenye sheet one name will be missing is that a big issue,natanguliza shukrani zangu za dhati!
 
Lazima utakuwa umeghushi vyeti au elimu yako ndogo ndio maana hujiamini.!
 
wapendwa nilijaza onlinejobapp form ilikuwa ikihitaji majina 3 ,basically natumia majina mawili so nikajaza 1st name & last name other name nikaandika abbreviation ya first name,wakaniita kwenye wrttn ,kulikuwa na 4m ya kujaza jina no ya mtihani na signature bt due to time i writted only 2 name i was further selected 4 oral interview and now iam worrrying kama wakiliconcile jina la kwenye online app form na kwenye sheet one name will be missing is that a big issue,natanguliza shukrani zangu za dhati!

inategemea inaweza kusumbua mda mwingine. omba Mungu
 
Nashukuru sana kwa kunitia moyo,na mungu ameyafanya maneno yako kuwa kweli kwani ile kazi ambayo nilikuwa nimeapply wameniambia nireport kazini binafsi sina cha kukupa!
 
Mkuu nimepata ile kazi binafsi nakushukuru sana,sababu ulinipa jibu ambalo lilikuwa na tumaini na kweli imekuwa!
 
Nashukuru sana kwa kunitia moyo,na mungu ameyafanya maneno yako kuwa kweli kwani ile kazi ambayo nilikuwa nimeapply wameniambia nireport kazini binafsi sina cha kukupa!

hongera mkuu,,ni wapi huko mana binafsi naonaga online application jau cz cjawah itwa ht 1
 
wapendwa nilijaza onlinejobapp form ilikuwa ikihitaji majina 3 ,basically natumia majina mawili so nikajaza 1st name & last name other name nikaandika abbreviation ya first name,wakaniita kwenye wrttn ,kulikuwa na 4m ya kujaza jina no ya mtihani na signature bt due to time i writted only 2 name i was further selected 4 oral interview and now iam worrrying kama wakiliconcile jina la kwenye online app form na kwenye sheet one name will be missing is that a big issue,natanguliza shukrani zangu za dhati!

Wrote****
Ongera mkuu kwa kupata kazi, ila tatzo ulilo nalo na mm lilinisumbua kichwa kwnye hzi application za psrs
 
Back
Top Bottom